Kanisa katoliki wamwibia mjane

ngaiwoye anaeleweka vizuri kanisa linatumia nguvu kubwa
 
Last edited by a moderator:
Usituhadae mkuu, this is second registration ya wewe mleta mada huwezi jiunga jf leo kwa ajli ya suala la huyo mjana jana 26.08.2014 please lete lease kwanza ndo tukuamini tumeenda shule cc na c bla blah u. Jipange ksha urudi kivingine mkuu




 
Kesho nitakuja na ushahidi mzima, nimelihusisha kanisa lote maana haya malalamiko kanisa katoliki Tanzania bara wanayo,hii kesi aridhi kilimanjaro na polisi wanaizungushwa sana danadana nyingi hiyo ni dalili tosha ya mazingira ya rushwa

kwakuwa huwa sipendi kukurupuka, basi mi nasubiri huo ushahidi. na kwa ninavyojua sheria inayozungumzia masuala ya ardhi iliyopo wilayani ni The Village Land Act, Cap 114, R.E. 2002.

sasa nasubiri huo ushahidi wako utakuwa ni wa aina gani.
 

sawa, umesema "ana lease" halali, lakini je unajua maana ya LEASE na je unaijua kazi yake?.
 
Hii Taasisi mwisho umefika, kila siku matatzo tele Mapadre kulawiti, Padri lwambano kafumaniwa, macsta malaya balaa!
 
Teh teh teh teh!! Mbavu zangu jamani weye
 
unajua maana ya kutaifisha au umejisikia kuandika tu?
 
Ndugu NATTA WITO kama kweli wewe ni msomi utakubaliana na mimi kua hakuna jambo lisilokua na mwanzo, hata ULIMWENGU yani dunia ilikua na mwanzo, kwa hiyo nami baada ya kujiunga jamiiforum mwanzo wangu umekua hivi, nilipendezwa na hii mada sababu shule na mjane ni majiran zangu na nimeeleza nachokijua, utaendelea kuniona kwenye uchangiaji wa mada nyingine zitakazonivutia. Nina imani hata wewe ulikua na mwanzo fulan
 
Chagga king, mimi si mwanasheria ila kwa upeo wangu mdg naamin kwamba ile lease itamsaidia yule mama nikirefer cases nyingi ambazo ni similar na hii hapa, juzi tu niliona kwenye vyombo vya habari mkuu mmoja wa kanisa alipojaribu kuchkua ardhi ya mjane, hati(lease) ilimsaidia yule mama na serkali ilivunja zile nyumba if am not mistaking hii issue ilitokea mbezi daresalam, ama labda unisaidie maana ya lease ni nini labda na nini kazi yake
 
jamani na sadaka zetu ndio wanatumia.....?
 
I see.....



 
Hebu tuwekane sawa kwanza wanajamvi na kama kuna mwanasheria atuweke sawa juu ya TOFAUTI ILIYOPO KATI YA LEASE NA TITLE DEED???
Maaana mi kwa uwelewa wangu natambua ya kuwa hivyo vitu viwili ni tofauti(kwa maana ya kwamba vina makusudi tofauti),tena hasa kwa case husika baina ya mama mjane na kanisa.

Hivyo naomba wanasheria jitokezeni mtusahihishe hapa,na kuepusha watu kujichumia dhambi za burebure pasipo kujua.
 

Maneno ya kuambiwa changanya na yako!!we io lease umeiona???wajane wengine feki!!!huyo muitaliano c alienda kwao sasa kawaje mjane Huyo mama!!!?
 
Mkuu ni kweli c sahihi title deed ndio hati milki ila lease ni makubaliano ya kisheria kuhsu kutumia propery lke land or building yaweza kuwa operational au finance ambayo unatransfer both risk & reward to lessee na anaweza inunua mwisho wa mkataba akipenda maana huwa ni kama imeisha muda wake kabisa wa hyo property
 
Kesho nitakuja na ushahidi mzima, nimelihusisha kanisa lote maana haya malalamiko kanisa katoliki Tanzania bara wanayo,hii kesi aridhi kilimanjaro na polisi wanaizungushwa sana danadana nyingi hiyo ni dalili tosha ya mazingira ya rushwa

huo ushahidi mzima uko wapi? au kesho haijafika? au na wewe in mjane wa huyo muitaliano?
 
sawa, umesema "ana lease" halali, lakini je unajua maana ya LEASE na je unaijua kazi yake?.
'
Nashangaa kila mmoja anangangania lease lease! Lease kwa maana gani, kwamba ana hati ya kumiliki (right of occupancy?) alipewa chini ya sheria ipi miaka hiyo ya 1970?
.
Huyu Dr Balleto sio yule aliyekuwa na dispensari pale Maua Parish pia? Alikuwa akishirikiana sana na Kanisa. Namkumbuka huyu maana aliniaibisha sana aliponipima enzi za shuleni pale akapiga kelele UNA MINYOO VEEEEVE. Nilipata aibu sana enzi hizo.

Inawezekana huyo Mama hafahamu umilikaji wa eneo alilokuwa anaishi umekaa vipi! Inawezekana sana ni eneo la kanisa alilopewa Dr Balleto ili asaidie kanisa, kama ilivyokuwa kule Maua Parokiani
 
Msifikiri Kanisa Katoliki ni kama yale makanisa yanayomilikiwa na watu hadi akaunti za benki ni majina yao .......Ukisema Kanisa Katoliki kuiba unamaanisha nani? Askofu,Mapadre , walei au nani? wafanye dhuluma ili wafaidike na nini while hawamiliki hata kijiko cha Kanisa?

Kanisa kwa muunganiko wake kama unaufahamu na tena mnasema 99% ya wanakijiji ni wakatoliki sasa nani alaumiwe? Unafikiri Askofu ndio Kanisa? waamini wote na viongozi wote wa Kanisa wanamuonea huyo mjane? Sidhani na ni nadra sana kusikia Kanisa Katoliki ktk migogoro kama hii ..............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…