Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,770
- 10,665
Nimekuwa siku zote nikisema SOMENI ndugu zangu. Mtu mwenye elimu kamwe hawezi kuendeshwa na failure.
Kanisa katoliki ndio baba wa imani na ni merits kwa nchi ya TZ . Tujivunie…. Dini zote ni janja janja but Catholic Church means a lot to our country
Kanisa katoliki linasimamia haki bila uoga, imani nyingine hazina msaada kwenye taifa letu, wanapigania vitu visivokuwa na faida kama taifa… ni imani zinazopigania pepo na mbingu ya kufikirika thru enslavement …. What a shame!
Kanisa katoliki limesimama waziwazi na watanzania kuanzia mwanzo hadi mwisho. A standard 7 failure anaongoza nchi , anaamini watu hawampendi kwa imani yake au anapotoka… ni mambo ya hovyo sana head of the state kuwa na mentality hii na ina justify ignorance na incompetency yake ..
Imani ya mtu itasaidia nini kwenye taifa letu ….. mambo ya kipuuzi sana
Kama unafanya vema hata ukiwa unaamini katika mbwa, we will appreciate your work and cherish for your life.
Watanzania wamekukataa…. You are incompetent and hopeless, I Know , you know and everybody knows
You will never make it, historical bloodshed kwenye taifa letu you will pay you have to note that .
A genius gesture ingeweza kuzuia upuuzi wote uliotokea……but kupeana nchi kihawara harawa imetufikisha kwenye hizi moment zisizosahaulika…. and the biggest shame in our history
The storm is never over mpaka muwajibike wote and it is always a matter of time
Dr Megalodon Mushi (PhD
Canada
Rue 52