The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,077
Ha haaaa Tanzania inusurike wapi? Ni vile tu haijahalalishwa, ma-underground kweye hiyo sector ni wengi sana na usiwasahau "goTi" imeshamiri sana siku hizi.Dalili za ule mwisho mkuu! Ila zitaangamizwa zile nchi zenye madhambi ya kutisha kama hizi
Tanzania itanusurika
Mungu atatenda muujiza tuzidi kupiga goti na kukazana na maombi na tobaHa haaaa Tanzania inusurike wapi? Ni vile tu haijahalalishwa, ma-underground kweye hiyo sector ni wengi sana na usiwasahau "goTi" imeshamiri sana siku hizi.
Haya tusubiri muujizaMungu atatenda muujiza tuzidi kupiga goti na kukazana na maombi na toba
Mungu ni mwema na kwa neema tutakombolewaHaya tusubiri muujiza
askofu uchwara, hajui anachosimamamiaView attachment 534345
Jamaa akiwa na mke wake huko Malta.
Kanisa katoliki nchini Malta labariki ndoa za jinsia moja au maarufu kama ushoga. Askofu Charles Scicluna aliliambia kanisa moja nchini humo kua kanisa halipingani na ushoga na halina nia ya kupingana na ushoga kama watu wengi walivyodhani.
Nchi hiyo pia imetunga sheria za kuruhusu ndoa za jinsia moja kama ilivyo kwa nchi nyingi za ulaya.
Unaweza kusoma hapa.
BBC News | Catholic Malta embraces gay marriage - Catholic Malta embraces gay marriage - BBC News
Siku tukikombolewa nishtueMungu ni mwema na kwa neema tutakombolewa
Nitakuwa karibu yako trust meSiku tukikombolewa nishtue
View attachment 534345