Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

Watatoa tu mkiwapiga tena mabomu au
uchaguzi ukikaribia ,to a shaka. Sasa hivi ata wao wapo kwenye phase ya sintofahamu kama were ,njia panda.
Ukweli hembu Usemwe, bila kutukana wala kumuonea MTU.

Kanisa katoliki ni taasisi ambayo kipindi cha Rais Kikwete ilikuwa Vocal SN.

walitoa waraka,nyaraka Za kitume,miongozo kupinga pale kwa uoni wao walihisi kuna madhaifu.

Tazama!!!!

Magufuli ameshuhudia mwenyewe kuwa aliomba ushauri kwa kadinali Pengo kwakuwa kazi ya uraisi ni Ngumu.

Kwa mapungufu makubwa alioyaonyesha mbn hamjitokezi kama taasisi inayokemea uovu unapoibuka?

Niwakumbushe!

suala la kutoajiri

suala la vyeti feki refer bashite kukimbilia kulia madhahabuni

ugumu WA maisha

fedha Za maafa bukoba

Uhuru WA kujieleza

Uhuru WA kufanya mikutano ya kisiasa.

kudharauliwa mchakato wa katiba ambao hata nyie mlishiriki mpk hapo ulipofikia.

mbn mnakosa moral authority kusema kipindi hiki?

je hapo nyumba hio courage ya kukemea uovu ilitoka wapi Na sasa imeenda wapi?

let us think critically not like idiots

let us think big

Assadsyria3.
 
Wakuu ni kweli, ila siasa ya kibongo imetawaliwa xaana saaana na unafiki anzia wapiga kura hadi wapigiwa kwa hiyo hao wanadini n mkumbo tu
 
Kinachowasumbua ni njaa tu. Safari hii mtalia na kusaga meno. Mmekalia udini tu ndiyo kazi ya wenye shule ndogo kifikra.
Mbona hata ile radio yao ya mji kasoro bahari nayo iko kimya tena imekua mfano bora wa kusisitiza amani. Enzi za JK ilikuwa na vipindi motomoto au nayo inaendeshwa na hao unawatuhumu.
 
Ukweli hembu Usemwe, bila kutukana wala kumuonea MTU.

Kanisa katoliki ni taasisi ambayo kipindi cha Rais Kikwete ilikuwa Vocal SN.

walitoa waraka,nyaraka Za kitume,miongozo kupinga pale kwa uoni wao walihisi kuna madhaifu.

Tazama!!!!

Magufuli ameshuhudia mwenyewe kuwa aliomba ushauri kwa kadinali Pengo kwakuwa kazi ya uraisi ni Ngumu.

Kwa mapungufu makubwa alioyaonyesha mbn hamjitokezi kama taasisi inayokemea uovu unapoibuka?

Niwakumbushe!

suala la kutoajiri

suala la vyeti feki refer bashite kukimbilia kulia madhahabuni

ugumu WA maisha

fedha Za maafa bukoba

Uhuru WA kujieleza

Uhuru WA kufanya mikutano ya kisiasa.

kudharauliwa mchakato wa katiba ambao hata nyie mlishiriki mpk hapo ulipofikia.

mbn mnakosa moral authority kusema kipindi hiki?

je hapo nyumba hio courage ya kukemea uovu ilitoka wapi Na sasa imeenda wapi?

let us think critically not like idiots

let us think big

Assadsyria3.
Mdau watu wa aina hii hata kwenye Biblia Takatifu wapooo
 
Anayepingana na ukweli huu lazima akapimwe akili na kuna uwezekano mkubwa akawa ana fanana kabisa na huyo anayeomba kila siku kuombewa@Faru John!
 
LAKINI SI NI NINYI HAWA HAWA MLISEMA MAASKOFU WAACHE KUJIHUSISHA NA SIASA WAHUBIRI NENO LA MUNGU,leo hii mnasema tena WAKO KIMYA SANA,wakitoa waraka mtasema WAVUE MAJOHO WAPANDE KWENYE MAJUKWAA YA SIASA,,,,this is a mystery of a human being
 
Soma kitabu cha John Syvallone : Kanisa Katoliki na Siasa za Tanzania (1985) humo ndio utapata kila jibu la maswali yako mkuu
 
Hivi Kanisa ndilo lililowachagulia hao viongozi? Ndilo lililowaimbisha nyimbo za "wacha waisome NAMBA"? He lilifanya kampeni likiwataka wtz wamchague mgombea kwa tiketi ya katoliki? Tuacheni ujinga wtz wa kuchanganya Imani na siasa.
Kanisa katika kutekeleza mjukumu take hujipa nafasi/ muda wa kutosha kupima nini liseme,likemee, na kuonya.
Wanakanisa, kama walivyo wTz wote, wanaweza kutoa maoni yao. Ila kanisa hutoa nyaraka rasmi
 
Kipindi cha JK ma sheikh hawakujitokeza? Mbona walianzisha hadi movements za udini. Leo hii umewasikia wakiongea ? Shida yako ni kusikia kauli ya kanisa tu ? Fanya yako kama ni kutoa waraka toa tu wa kwako usililie wa kanisa
Kanisa limekaa kinafki pamoja na waumini wake
 
Kanisa limekaa kinafki pamoja na waumini wake
Inawezekana lakini unaposema na waumini wake nahisi unakosea, kwa kuwa mi ni mmoja wao lakini hata mimi kufumbia macho matatizo yanayowakumba watanzania katika uongozi wa awamu hii ya tano! Bila kusema neno kwa huyu 'CHEPE'ili roho zetu zitulie, Nna mashaka na unafiki wao! Hata yule paroko wa songea, simsikii tena kisa Chepe ni mkatoliki sijui!!
 
Hivi Kanisa ndilo lililowachagulia hao viongozi? Ndilo lililowaimbisha nyimbo za "wacha waisome NAMBA"? He lilifanya kampeni likiwataka wtz wamchague mgombea kwa tiketi ya katoliki? Tuacheni ujinga wtz wa kuchanganya Imani na siasa.
Kanisa katika kutekeleza mjukumu take hujipa nafasi/ muda wa kutosha kupima nini liseme,likemee, na kuonya.
Wanakanisa, kama walivyo wTz wote, wanaweza kutoa maoni yao. Ila kanisa hutoa nyaraka rasmi
Ndio kanisa ndilo linalopanga raisi awe nani.
Walivyo mtaka jk, walisema "JK ni chaguo la mungu"
 
mkuu wapi hujaelewa? jadili hoja km great thinker sio km wajinga Na wapumbavu wasiojielewa. what is wrong with that.

great thinker hatukani Bali hueka hoja,ukiona unatikana ur idior
tatizo unaongea sana, hujanijibu swali bali umekurupuka tu kwa matusi, lakini si hoja nadhani tayari ujumbe ulifika na uliguswa usipopenda.
 
Back
Top Bottom