assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
Ukweli hembu Usemwe, bila kutukana wala kumuonea MTU.
Kanisa katoliki ni taasisi ambayo kipindi cha Rais Kikwete ilikuwa Vocal SN.
walitoa waraka,nyaraka Za kitume,miongozo kupinga pale kwa uoni wao walihisi kuna madhaifu.
Tazama!!!!
Magufuli ameshuhudia mwenyewe kuwa aliomba ushauri kwa kadinali Pengo kwakuwa kazi ya uraisi ni Ngumu.
Kwa mapungufu makubwa alioyaonyesha mbn hamjitokezi kama taasisi inayokemea uovu unapoibuka?
Niwakumbushe!
suala la kutoajiri
suala la vyeti feki refer bashite kukimbilia kulia madhahabuni
ugumu WA maisha
fedha Za maafa bukoba
Uhuru WA kujieleza
Uhuru WA kufanya mikutano ya kisiasa.
kudharauliwa mchakato wa katiba ambao hata nyie mlishiriki mpk hapo ulipofikia.
mbn mnakosa moral authority kusema kipindi hiki?
je hapo nyumba hio courage ya kukemea uovu ilitoka wapi Na sasa imeenda wapi?
let us think critically not like idiots
let us think big
Assadsyria3.