Chichi Theboy
JF-Expert Member
- Feb 20, 2015
- 429
- 499
Kila ikifika jumapili huwa nakua na mzuka sana wa kwenda kanisani ila nikifikiria kinachoendelea huwa naona bora nifanye ishu zingine,sio walokole,walutheran wala wasabato wote lao moja tu mniache[emoji124]Habari wanabodi..
Awali ya yote ninaomba niwapongeze wale wote ambao wamefanikiwa kuuona mwaka mpya wa 2017.
Pili nawapa pole wale wote ambao wameanza mwaka kwa matatizo mbalimbali. Ninaamini MUNGU atawapa Faraja.
NAOMBA NIJIKITE KWENYE MADA.
Labda nianze kueleza taratibu za Kanisa Katoliki katika ibada zake.
Kanisa Katoliki lina sehemu kuu mbili za katika Ibada;
1. Liturjia ya Neno
2. Liturjia ya Ekaristi
Sehemu hizo zote mbili hazimruhusu mtu kusema neno lolote lililo nje ya utaratibu wa Kikanisa. Hata wakati wa matangazo hutakiwi kutangaza jambo ambalo Kiongozi Mkuu (Paroko au Askofu) halifahamu.
Pia Kanisa halina utaratibu wa kuruhusu mambo ya SIASA ndani ya Kanisa bali hutoa msimamo usiofungamana na upande wowote ili kutoadhiri msimamo wa Waumini. Japo linaruhusu KUKOSOA na KUPONGEZA PIA.
WAPI KANISA LINATAKA KUTUHARIBIA NCHI?
1. Kuruhusu hotuba za Kisiasa ndani ya Kanisa. Hili nionavyo mimi litaharibu Nchi. Wanasiasa wanayo majukwaa yao ya kuzungumzia mambo yao ya siasa na siyo Kanisani. Siku za hivi karibuni Kanisa Katoliki limekuwa likiwaruhusu wanasiasa kusimama Madhabauni na kutoa hutoba zao za Kiserikali na Kisiasa ama kwa kujibu hoja fulani au kutoa matamko ama kusambaza Kauli Mbiu fulani, (tafsiri yangu ya haraka hapa ni kwamba wanasiasa wanahitaji "mass support" hata kama wanafanya jambo baya). Kwa hili Kanisa halitendi haki maana viongozi wa Nchi hii ni wetu sote. Kama viongozi wetu wanahitaji kujibu hoja, kutoa matamko au kusambaza kauli mbio wasitumie NYUMBA ZA IBADA.
KANISA KATOLIKI WAPENI WATU NAFASI KANISANI YA KUSALIMIA TU NA KUSISITIJA JUU YA AMANI, UPENDO, MSHIKAMANO NA UWAJIBIKAJI NA SIYO VINGINEVYO.
2. Matamko ya viongozi wa Kanisa Katoliki. Hawa viongozi ni lazima wajikite kwenye ukweli na siyo kujipendekeza. Nyakati hizi viongozi wa Kanisa Katoliki wamekuwa ni watu wa kupongeza tu bila kukosoa ukilinganisha na nyakati za nyuma.
a. Mmepongeza yale mazuri = VEMA.
b. Kwa nini hamkosoi na kusema ukweli juu ya mambo ambayo Serikali inakosea au hata kuhoji tu?. Mfano sijasikia mkikosoa au kuhoji juu ya,
i. Ukiukwaji wa Katiba na Sheria za nchi.
ii. Matumizi ya fedha za wahanga wa Kagera.
iii. Nyongeza ya mishahara ambayo ni haki ya mfanyakazi.
iv. nk
KANISA KATOLIKI MKIENDELEA HIVI MTATUHARIBIA NCHI YETU.
Nawasilisha.
Habari wanabodi..

Soon naachana na roman bora niwe mpaganuHabari wanabodi..

Ila wasabato kweli wako vizuri. Sijaona wakijikomba kwa wanasiasa na huwezi kuta wanasiasa wanaingia kwenye makanisa yao kutoa hotuba za kisiasa. Mwanasiasa ukimpa jukwaa lazima alitumie kisiasaUnataka nchi iharibike mara ngapi! Viongozi wa dini ni wachumia tumbo tu hawana lolote. Ni wasabato pekee ndio hawaruhusu ujinga huo makanisani kwao kwa sababu hawategemei misaada ya serikali na wanasiasa kuendesha mambo yao
Basi asipewe nafasi. Asali tu na kuondokatatizo siyo kanisa..tatizo ni yule anaepewa nafasi kusalimia waamini ndo hajielewi nahisi mnamjua mdomo wake usivokuwa na mipaka
Na yamefanyika kanisani si ndo kelele hizi..!?Maneno yako sawia maana haya yangefanyika misikitini ingekuwa kelele sana ni vyema nyumba za ibada zikawekwa mbali na siasa
Wasabato sio Wakristo.....Ndio,
Wasabato wako vizuri
Sasa mimi ni Mkatoliki..Nakuambia hivi Pengo ni Askofu Mkuu wa Metropolitan ya Dar es Salaam tu....Mwadhama Cardinal Polycarp Pengo.
Uliza Wakatoliki juu ya hicho cheo watakuelekeza wadhifa alionao Cardinal Pengo.
Kanisa halipo kwa ajili ya kuridhia utashi wako! Kwa sababu tu hujasikia unachokitaka ndio kanisa liharibu nchi? Umekosa utii, nenda katubuHabari wanabodi..
Awali ya yote ninaomba niwapongeze wale wote ambao wamefanikiwa kuuona mwaka mpya wa 2017.
Pili nawapa pole wale wote ambao wameanza mwaka kwa matatizo mbalimbali. Ninaamini MUNGU atawapa Faraja.
NAOMBA NIJIKITE KWENYE MADA.
Labda nianze kueleza taratibu za Kanisa Katoliki katika ibada zake.
Kanisa Katoliki lina sehemu kuu mbili za katika Ibada;
1. Liturjia ya Neno
2. Liturjia ya Ekaristi
Sehemu hizo zote mbili hazimruhusu mtu kusema neno lolote lililo nje ya utaratibu wa Kikanisa. Hata wakati wa matangazo hutakiwi kutangaza jambo ambalo Kiongozi Mkuu (Paroko au Askofu) halifahamu.
Pia Kanisa halina utaratibu wa kuruhusu mambo ya SIASA ndani ya Kanisa bali hutoa msimamo usiofungamana na upande wowote ili kutoadhiri msimamo wa Waumini. Japo linaruhusu KUKOSOA na KUPONGEZA PIA.
WAPI KANISA LINATAKA KUTUHARIBIA NCHI?
1. Kuruhusu hotuba za Kisiasa ndani ya Kanisa. Hili nionavyo mimi litaharibu Nchi. Wanasiasa wanayo majukwaa yao ya kuzungumzia mambo yao ya siasa na siyo Kanisani. Siku za hivi karibuni Kanisa Katoliki limekuwa likiwaruhusu wanasiasa kusimama Madhabauni na kutoa hutoba zao za Kiserikali na Kisiasa ama kwa kujibu hoja fulani au kutoa matamko ama kusambaza Kauli Mbiu fulani, (tafsiri yangu ya haraka hapa ni kwamba wanasiasa wanahitaji "mass support" hata kama wanafanya jambo baya). Kwa hili Kanisa halitendi haki maana viongozi wa Nchi hii ni wetu sote. Kama viongozi wetu wanahitaji kujibu hoja, kutoa matamko au kusambaza kauli mbio wasitumie NYUMBA ZA IBADA.
KANISA KATOLIKI WAPENI WATU NAFASI KANISANI YA KUSALIMIA TU NA KUSISITIJA JUU YA AMANI, UPENDO, MSHIKAMANO NA UWAJIBIKAJI NA SIYO VINGINEVYO.
2. Matamko ya viongozi wa Kanisa Katoliki. Hawa viongozi ni lazima wajikite kwenye ukweli na siyo kujipendekeza. Nyakati hizi viongozi wa Kanisa Katoliki wamekuwa ni watu wa kupongeza tu bila kukosoa ukilinganisha na nyakati za nyuma.
a. Mmepongeza yale mazuri = VEMA.
b. Kwa nini hamkosoi na kusema ukweli juu ya mambo ambayo Serikali inakosea au hata kuhoji tu?. Mfano sijasikia mkikosoa au kuhoji juu ya,
i. Ukiukwaji wa Katiba na Sheria za nchi.
ii. Matumizi ya fedha za wahanga wa Kagera.
iii. Nyongeza ya mishahara ambayo ni haki ya mfanyakazi.
iv. nk
KANISA KATOLIKI MKIENDELEA HIVI MTATUHARIBIA NCHI YETU.
Nawasilisha.
Kuna wakati Kilaini alikuwa Jimbo Kuu la Dar es salaam. Je nani alikuwa boss wake?Sasa mimi ni Mkatoliki..Nakuambia hivi Pengo ni Askofu Mkuu wa Metropolitan ya Dar es Salaam tu....
Tz kuna Metropolitan 6 ...Zote zina maaskofu wakuu ambao wapo Answerable to Pope moja kwa moja..
Umeshasema alikuwa Jimbo la Dar....Kama alikuwa jimbo la Dar basi alikuwa chini ya Metropolitan ya Dar yenye Askofu mkuu Pengo...Kuna wakati Kilaini alikuwa Jimbo Kuu la Dar es salaam. Je nani alikuwa boss wake?
Ni vyema mambo msiyoyajua wuwe mnaomba ufafanuzi kutoka kwa wanaofahamuAnyway tuachane na habari ya vyeo tujikite kwenye hoja ya msingi.
Nenda katubu!!!!Umewahi kuona mtu anatubu kwa kusema ukweli?
Hili kanisa ni sinagogi la yule aliyehubiriwa enzi na enzi ambae hatutauza wala kununua bila chapa ...kama lilikaa kimya na kubariki biashara ya utumwa kwa jina la YESU wategemea nini ktk karne hii????????????????Habari wanabodi..
Awali ya yote ninaomba niwapongeze wale wote ambao wamefanikiwa kuuona mwaka mpya wa 2017.
Pili nawapa pole wale wote ambao wameanza mwaka kwa matatizo mbalimbali. Ninaamini MUNGU atawapa Faraja.
NAOMBA NIJIKITE KWENYE MADA.
Labda nianze kueleza taratibu za Kanisa Katoliki katika ibada zake.
Kanisa Katoliki lina sehemu kuu mbili za katika Ibada;
1. Liturjia ya Neno
2. Liturjia ya Ekaristi
Sehemu hizo zote mbili hazimruhusu mtu kusema neno lolote lililo nje ya utaratibu wa Kikanisa. Hata wakati wa matangazo hutakiwi kutangaza jambo ambalo Kiongozi Mkuu (Paroko au Askofu) halifahamu.
Pia Kanisa halina utaratibu wa kuruhusu mambo ya SIASA ndani ya Kanisa bali hutoa msimamo usiofungamana na upande wowote ili kutoadhiri msimamo wa Waumini. Japo linaruhusu KUKOSOA na KUPONGEZA PIA.
WAPI KANISA LINATAKA KUTUHARIBIA NCHI?
1. Kuruhusu hotuba za Kisiasa ndani ya Kanisa. Hili nionavyo mimi litaharibu Nchi. Wanasiasa wanayo majukwaa yao ya kuzungumzia mambo yao ya siasa na siyo Kanisani. Siku za hivi karibuni Kanisa Katoliki limekuwa likiwaruhusu wanasiasa kusimama Madhabauni na kutoa hutoba zao za Kiserikali na Kisiasa ama kwa kujibu hoja fulani au kutoa matamko ama kusambaza Kauli Mbiu fulani, (tafsiri yangu ya haraka hapa ni kwamba wanasiasa wanahitaji "mass support" hata kama wanafanya jambo baya). Kwa hili Kanisa halitendi haki maana viongozi wa Nchi hii ni wetu sote. Kama viongozi wetu wanahitaji kujibu hoja, kutoa matamko au kusambaza kauli mbio wasitumie NYUMBA ZA IBADA.
KANISA KATOLIKI WAPENI WATU NAFASI KANISANI YA KUSALIMIA TU NA KUSISITIJA JUU YA AMANI, UPENDO, MSHIKAMANO NA UWAJIBIKAJI NA SIYO VINGINEVYO.
2. Matamko ya viongozi wa Kanisa Katoliki. Hawa viongozi ni lazima wajikite kwenye ukweli na siyo kujipendekeza. Nyakati hizi viongozi wa Kanisa Katoliki wamekuwa ni watu wa kupongeza tu bila kukosoa ukilinganisha na nyakati za nyuma.
a. Mmepongeza yale mazuri = VEMA.
b. Kwa nini hamkosoi na kusema ukweli juu ya mambo ambayo Serikali inakosea au hata kuhoji tu?. Mfano sijasikia mkikosoa au kuhoji juu ya,
i. Ukiukwaji wa Katiba na Sheria za nchi.
ii. Matumizi ya fedha za wahanga wa Kagera.
iii. Nyongeza ya mishahara ambayo ni haki ya mfanyakazi.
iv. nk
KANISA KATOLIKI MKIENDELEA HIVI MTATUHARIBIA NCHI YETU.
Nawasilisha.
Umeshinda, jikite kwenye Main Topic.Umeshasema alikuwa Jimbo la Dar....Kama alikuwa jimbo la Dar basi alikuwa chini ya Metropolitan ya Dar yenye Askofu mkuu Pengo...
Ni vyema mambo msiyoyajua wuwe mnaomba ufafanuzi kutoka kwa wanaofahamu