kweli kabisa. LIKEDini ipo kwa ajili ya wenye dhambi na sio watakatifu,fikiria upya,acha wenye dhambi wakatubu na kutoa walichochukuwa,hakuna mahala pengine pa kufanya kitubio zaidi ya kwenda huko kanisani..
Dini ipo kwa ajili ya wenye dhambi na sio watakatifu,fikiria upya,acha wenye dhambi wakatubu na kutoa walichochukuwa,hakuna mahala pengine pa kufanya kitubio zaidi ya kwenda huko kanisani..
unajua nini hatupaswi kumuhukumu mtu bali mtoa hukumu ni mungu pekee, na hata kwenye biblia Yesu alisema ambaye hana dhambi na achukue jiwe mrushie huyu mama akuna aliyefanya hivyo unajua kwa nini? kwa sababu no one is perfect in this world, na pia Yesu aliandaa kalamu na wenye dhambi wale wanojihisi ni wasafi wakakasirika lakini Yesu akasema sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu.
Aliye mzima hahitaji tabibu, kumbuka hata Yesu alikula na kunywa na watoza ushuru na wenye dhambi kama Zakayo, Lawi na wengineo, lengo lake ni kuwahubiria ili watubu hivo hawa wenye pesa chafu (ambao wewe umeshawahumu pamoja na kuwa biblia inatukataza tusihukumu tusije kuhukumiwa) kama wanakuja kanisa acha waje ili wapate kutubu na kuokoka.
Paulo hapo awali akijulikana kama Saulo alikuwa mtu mbaya sana akiwaua na kuwatesa waliomuabudu kristo lakini Yesu mwenyewe alimuita akamfanya chombo chake kitakatifu so hawa uliowahukumu wewe acha nao wapate fursa ya kuongoka kama mtakatifu Paul
I am very serious, ila kumbuka ya kaisari mwachie kaisari, na ya mungu mwambie mungu. na biblia inasema heshimuni taratibu na sheria za nchi zenu.Are you serious?
Kama ni hivyo, mahakama na polisi vinafanya kazi gani? Kwa nini tunapoteza pesa nyingi sana za walipa kodi kughalimia vyombo hivi?
Babu DC!!
kuitikia wito kwanza ni jambo la busara mana anaweza kuitwa na asiende vile vile au akawakatalia, hivi wale wote wanaotoa michango unajua hela wametoa wapi?EL haendi kanisani mwenyewe bali anaitwa na kupokelewa kwa mikono miwili na wachunga kondoo wenye tamaa ya pesa zake....Can't you see that difference?
Babu DC!!
I am very serious, ila kumbuka ya kaisari mwachie kaisari, na ya mungu mwambie mungu. na biblia inasema heshimuni taratibu na sheria za nchi zenu.
kwa hiyo akitubu unataka atangaze kama ametubu?Kwani Lowasa anaenda makanisani kutubu? Ni ili akatubu lazima aarikwe?
Makanisa yote yaliyoingia kwenye mtego wa Lowasa yamepotoka na yanajichimbia makaburi yake.....!
Babu DC!!
kuitikia wito kwanza ni jambo la busara mana anaweza kuitwa na asiende vile vile au akawakatalia, hivi wale wote wanaotoa michango unajua hela wametoa wapi?
kwa hiyo akitubu unataka atangaze kama ametubu?
Tunaliheshimu sana Kanisa Katoliki, Tunawaheshimu sana viongozi wake. Kanisa Katoliki angalau mpaka ninapoandika uzii huu ni Kanisa tajiri sana, linamiliki Taasisi muhimu sana, Hospitali, Zahanati, vituo vya Afya, Shule za chekechea, msingi Sekondari, Vyuo, na vyuo vikuu, Bahati mbaya sana kanisa Katoliki linamiliki hadi Mkombozi Benk.
Kanisa Katoliki linapata sadaka na michango mbalimbali toka kwa waumini wake, ni kanisa ambalo kweli halipaswi kulia njaa, hadi kiwango cha kukimbilia Pesa ambazo zinazua maswali mengi.
Walioandaa Chakula cha Hisani kwa ajili ya uanzishwaji wa Jimbo Katoliki Ifakara, walikosa mtu mwingine hadi wamwite Lowassa tu? Wameenda wapi viongozi wa dini wenye maadili mazuri, mfano Balozi wa baba mtakatifu, mwadhama Kardinali, Maaskofu wakuu, Wakuu wa Mashirika au watu wengine? CCM walitamka wao kwa kinywa chao kuwa Lowassa ni FISADI.
Nimejisikia vibaya sana kuona Kanisa limeamua kutoangalia upandaji wa maisha ya watanzania wa sasa kwa sababu ya gharama za Umeme amabazo chanzo chake kimekuwa Richmond, Dowans. Kweli mmeamua kuyaishi yale mliyoyalaani?. Angalau kwa ajili ya wenye dhamiri changa mngeacha hili. Mihi Vivere Christus est......................
kwa hiyo akitubu unataka atangaze kama ametubu?