mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,422
- 1,790
Mwakyembe ndiye alitusaliti kwa kutuficha ukweli wa Ripoti ya Richmond mpaka Lowasa akaja kuusema ukweli yeye mwenyewe mbele ya kikao cha NEC pale Dodoma na ndio maana mpaka leo zile ngonjera za Magamba zimeyuka.
Kanisa katoliki haliwezi kuentaertain watu wapuuzi kama Mwakyembe ambaye amekalia kufitinisha watu bila kutuambia ni nini anachoumwa. huyu ni mnafki.
Ndugu ile Report siku ile iliposomwa Bungeni, je, uliifuatilia??
Mbona kila kitu kiliwekwa wazi na kwenye TV alikuwa anaonyeshwa E.L akihangaika kiti cha moto. Kakunja Uso.
ULIIFUATILIA KWELI AU UNASIKILIZA USHABIKI WA MITAANI??
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!