Kanisa Katoliki mko wapi kulinda amani ya nchi?

Nomile

Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
99
Reaction score
122
Ikiwa suala la amani ni moja ya majukumu yenu kuhakikisha amani inakuwepo katika nchi lakini kwa kipindi kirefu sasa tunaona kama viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vipo tena vingi sana na vinaonekana waziwazi.

Wasiwasi wangu ni kwamba huenda kuna jambo halipo sawa, hivi kule ambapo Amani ilitoweka ilikua ni tukio la ghafla au ilikuwa ni mwendelezo wa kutojari concern za watu? hivi mnavyofanya ndivyo matatizo yaliyoleteleza machafuko duniani yalivyo anza.

Mnapo ona chombo Kama bunge kinatumika kupora HAKI za wananchi kwa Spika kutumia nafsi yake atakavyo na wala si sheria inavyoelekeza hili sio jambo dogo nduguzanguni.

Unapoona Taasissi kama tume YA uchaguzi inatoa majina kinyume na sheria inavoelekeza ujue kwamba utawala wa sheria ndo unaondoka hivo. Ukiondoka utawala wa sheria haitabaki vaccum kuna jambo litakuja kujaza uwazi huo.

Nimalizie kwa kuasa kwamba kwa kua mlikaa kimya wakati wa viashiria kamwe msijejitokeza wakati wa kusaka ushuruhishi pindi mambo yakishafika huko maana mtaonekana wazi kwamba nyie ni wanafiki.

Mwenye masikio na asikie
 
Huwa linasubiri rais akiwa muislamu ndipo linaanza kumsakama,angalia mwinyi NA kikwete walivyosumbuliwa NA kanisa hili,

Ni kama idara ndogo ya ccm hili kanisa,hata lenyewe lina historia chafu ya mauaji huko ulaya dhidi ya watu waliolikataa,

Kwa ujumla kanisa katoliki limeua sana binadamu NA limeenezwa kwa mkono wa damu,ni kanisa lisilotaka mabadiliko

Dunia ilianza kupata maendeleo ya kifikra,kisayansi,kisiasa NA kiuchumi baada ya kulivunja vunja kanisa katoliki NA kuzaliwa KKKT,wasabato,Anglican, na mengine

Hili kanisa lina historia chafu sana NA mpaka leo mapadri wana kesi za kubaka NA kushawishi NA kudhalilisha WATOTO kingono
 
Nikikumbuka utawala wa kikwete ulivyokua unapata tabu na hawa uliyowataja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Linasubur kidgo chato boy anyooshe nchi ikae kwenye muhimili wake baada ya hapo litaanza kutoa hayo matamko kuwa na subira
.

.
kyenekyaka nkighanile une

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa linasubiri rais akiwa muislamu ndipo linaanza kumsakama,angalia mwinyi NA kikwete walivyosumbuliwa NA kanisa hili,

Ni kama idara ndogo ya ccm hili kanisa,hata lenyewe lina historia chafu ya mauaji huko ulaya dhidi ya watu waliolikataa,

Kwa ujumla kanisa katoliki limeua sana binadamu NA limeenezwa kwa mkono wa damu,ni kanisa lisilotaka mabadiliko

Dunia ilianza kupata maendeleo ya kifikra,kisayansi,kisiasa NA kiuchumi baada ya kulivunja vunja kanisa katoliki NA kuzaliwa KKKT,wasabato,Anglican, na mengine

Hili kanisa lina historia chafu sana NA mpaka leo mapadri wana kesi za kubaka NA kushawishi NA kudhalilisha WATOTO kingono

Nenda pole pole kijana! Kasome historia vizuri ili ukituhumu utoe na ushahidi halisia! Maneno & hoja za vijiweni hazipaswi kuwa nafasi kwa mtu unayetaka kuwa GT.
 
Dunia ilianza kupata maendeleo ya kifikra,kisayansi,kisiasa NA kiuchumi baada ya kulivunja vunja kanisa katoliki NA kuzaliwa KKKT,wasabato,Anglican, na mengine
Unaandika huku unajazba...

Kanisa Katoliki halijawahi kuvunjwa vunjwa wala haitokaa itokee...

Yalivunjika ni hayo ukiyoyataja ..maana walikuwa KKKT na Mwanzilishi wao...ila nini kilitokea baada ya hapo...leo tuna makanisa zaidi ya laki moja..

Ila Moja Takatifu Katoliki lipo tangu Yesu alipolianzisha mwenyewe
 
Uovu unatakiwa upingwe na yeyote yule, taasisi ya kidini, kijamii, na hata watu binafsi.
Watu waovu wapo kwenye siasa, dini na pia raia wa kawaida, hivyo kunawezekana kabisa ukawepo ushirika wao katika jamii kutimiza malengo yao dhidi ya uma.
Siyo lazima kutegemea taasisi moja kama kanisa kukemea maovu katika nchi.
 
Unaandika huku unajazba...

Kanisa Katoliki halijawahi kuvunjwa vunjwa wala haitokaa itokee...

Yalivunjika ni hayo ukiyoyataja ..maana walikuwa KKKT na Mwanzilishi wao...ila nini kilitokea baada ya hapo...leo tuna makanisa zaidi ya laki moja..

Ila Moja Takatifu Katoliki lipo tangu Yesu alipolianzisha mwenyewe
Brother sawa bado lipo ila limepungua ile nguvu ya ushawishi after fall of the Roman empire to new independent States hawa jamaa walikua wanafanya uvamizi katika mataifa mbali mbali wakasahau kulinda empire yao

Kustuka ikawa imeanguka hivyo wakaamua kuyaacha mataifa waliyovamia kwenda kulinda milki yao Ila wakawa wamechelewa ndipo ikaanguka moja kwa moja walikua worldwide

Hii ni kwa ufupi tu ila kuna mengi sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kanisa katoliki ndio linahusika kulinda amani ya nchi?
 
Back
Top Bottom