MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,623
- 42,605
Punguza pombe Mkuu.Alcohol is hellHili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.
Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.
Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
bado hamjasema mbona!Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.
Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.
Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.

Dkt Magufuli alikuwa mkatoliki asiyeheshimu maa Askofu. Dkt Samia hana shida kabisa na Kanisa Katoliki na anawapenda mno tofauti na Dkt Magufuli aliyewashughulikia kwa kuwabambika kodi kibao. In short waliomharibia Dkt Samia ni hao kina duli na kikundi chake cha wauaji na watekajiHili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.
Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.
Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Kwa taarifa yako tu ni kwamba kuna siku Tanzania kama nchi yenye hii mipaka unayoijua itakoma kuwepo ila hiyo taasisi ya dini ya Ukristo wa Ukatoliki utakuwepo. Kwa kifupi wao wapo mpaka Yesu Arudi. Ila sidhani kama Tanzania ina miaka 10 toka leo kabla ya Zanziabr na Tanganyika kutenganaHili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.
Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.
Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Kila mtu ashinde mechi zake
Catholic will never bow down to anyone!Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.
Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.
Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.
Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.
Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Kanisa limejiingizakwenye siasa weeeee sasa limeshtuka ikiwa lateHili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.
Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.
Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
CCM ni mazwazwa sanaEti Kisa pombe😂😂😂