Kanisa Katoliki lapinga matokeo ya uchaguzi DRC


badison

badison

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2015
Messages
251
Likes
143
Points
60
badison

badison

JF-Expert Member
Joined May 29, 2015
251 143 60
Kabila ameona mbali. Angeshinda shadari ingekuwa lawama bora huyo felix awe mshindi kuliko fayulu mgombea wa kanisa kushinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
badison

badison

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2015
Messages
251
Likes
143
Points
60
badison

badison

JF-Expert Member
Joined May 29, 2015
251 143 60
"Tunaona matokeo ya urais yaliyotangazwa na CENI kuwa hayaendani na takwimu zilizokusanywa na waangalizi wetu katika vituo vyote vya kupigia kura nchini,” amesema Padri Donatien Nshole ambaye ni msemaji wa Baraza la Maaskofu nchini humo"

Hao waangalizi wa kanisa waliwekwa kwa mujibu wa sheria gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Messages
4,648
Likes
4,407
Points
280
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2015
4,648 4,407 280
Wao ni kanisa....wadili na maswala yao ya kikanisa...waachane na siasa bhana.....wananchi wameshaamua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
masoud mshahara

masoud mshahara

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2018
Messages
4,574
Likes
1,882
Points
280
masoud mshahara

masoud mshahara

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2018
4,574 1,882 280
View attachment 992134
Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) limesema kuwa matokeo ya uchaguzi wa Rais yaliyotangazwa na Tume Huru ya Taifa Uchaguzi ya nchi hiyo (CENI) hayaakisi taarifa zilizokusanywa na waangalizi wake.


Jana alfajiri, CENI ilitangaza matokeo ya uchaguzi ya urais ambayo yalimtangaza Felix Tshisekedi kuwa mshindi wa uchaguzi huo kwa asilimia 38.5, akiwazidi Emmanuel Shadary wa chama tawala na Martin Fayulu aliyekuwa anaungwa mkono na vyama kadhaa vya upinzani.
“Tunaona matokeo ya urais yaliyotangazwa na CENI kuwa hayaendani na takwimu zilizokusanywa na waangalizi wetu katika vituo vyote vya kupigia kura nchini,” amesema Padri Donatien Nshole ambaye ni msemaji wa Baraza la Maaskofu nchini humo.
Wiki iliyopita, Kanisa hilo lilisambaza waangalizi 40,000 kwenye vituo vya kupigia kura nchini humo. Baada ya kukusanya takwimu zake, ilieleza kuwa inafahamu mshindi wa uchaguzi huo lakini ikaitaka CENI kuhakikisha inamtangaza mshindi kwa haki.Mwanadiplomasia Mwandamizi wa Ufaransa, Nshole alieleza jana kuwa takwimu za Kanisa Katoliki zimeonesha kuwa Martin Fayulu ndiye aliyeshinda uchaguzi huo na sio Tshisekedi.
Takwimu za CENI zinaonesha kuwa Tshisekedi alipata kura Milioni 7 na Fayulu akimfuatia kwa kura Milioni 6.4 huku mgombea wa chama tawala, Emmanuel Shadary akiambulia kura Milioni 4.4.
Tshisekedi anatarajiwa kuapishwa Januari 25 mwaka huu kuwa Rais wa Tano wa DRC akihitimisha utawala wa miaka 18 wa Rais Joseph Kabila. Anaandika historia mpya ya kuwa rais wa kwanza aliyekabidhiwa madaraka kwa njia ya kidemokrasia kupitia sanduku la kura.
Hili kanisa linafanya kazi ambayo wala haiwahusu , huu ni umbeya huu
 

Forum statistics

Threads 1,250,884
Members 481,523
Posts 29,749,538