Kanisa Katoliki laitikia wito wa serikali kutopeana mikono kuepuka virusi vya Covid 19

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,051
2,000
Rasmi sasa kanisa katoliki Tanzania, Leo kwenye baadhi ya makanisa ule muda wa kutakiana amani umeachwa rasmi ndani ya kanisa katoliki

Tujadili changamoto zake kama ni suluhisho kwa hivi virusi vya corona

Mosi, Sadaka hutolewa kwenye masanduku yenye tundu dogo hivyo hulazimisha kuligusa sanduku la sadaka, Mtu mwenye virusi akishika sanduku la sadaka na baadae akija mungine sio kuna tatizo?

Pili, Mabenchi ya kukalia makanisani kila mtu huweka mikono yake hasa Misa zinapopishana, Je kama aliyekaa Misa ya kwanza akaacha virusi kwenye benchi wale wa Misa ya pili sio hatari?

Maswali ni mengi Sana kuliko majibu,

Je, ni muda muafaka wa kununua mask na gloves kwa ajili ya sala?

Kwa waislamu changamoto pia ni kubwa pale unapovua viatu na kuingia msikitini ukakanyaga au kushika jamvi ambalo virusi vya korona vimeachwa

Chini ya kapeti yanayoendelea China yana usiri mkubwa sana, Serikali inatumia nguvu kubwa sana ambayo hatuambiwi,

Serikali ya China kuna apartment watu wanafungiwa kwa milango kuchomelewa na umeme ili watu wafie ndani ya nyumba zao,

Kuna maeneo watu wanajifia kwa kukosa vyakula na kudondoka barabarani Haya yote serikali ya China inaficha

Je huku kwetu tutaweza haya au ni sayansi ya siasa tunatumia
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
12,880
2,000
Hili Kanisa siku hizi linaongozwa na vilazaaa daah.

Yaani mkishakuwa na mtawala bomu, kila kitu kinakuwa bomu tu.
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
10,542
2,000
Wiki iliyopita wizara ya afya walikutana na viongozi wa dini na kuwaambia wawatangazie waumini wao kujihqdhali na korona kwa kuepuka kupeana mikono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
22,836
2,000
Rasmi sasa kanisa katoliki Tanzania, Leo kwenye baadhi ya makanisa ule muda wa kutakiana amani umeachwa rasmi ndani ya kanisa katoliki

Tujadili changamoto zake kama ni suluhisho kwa hivi virusi vya corona

Mosi, Sadaka hutolewa kwenye masanduku yenye tundu dogo hivyo hulazimisha kuligusa sanduku la sadaka, Mtu mwenye virusi akishika sanduku la sadaka na baadae akija mungine sio kuna tatizo?

Pili, Mabenchi ya kukalia makanisani kila mtu huweka mikono yake hasa Misa zinapopishana, Je kama aliyekaa Misa ya kwanza akaacha virusi kwenye benchi wale wa Misa ya pili sio hatari?

Maswali ni mengi Sana kuliko majibu,

Je, ni muda muafaka wa kununua mask na gloves kwa ajili ya sala?

Kwa waislamu changamoto pia ni kubwa pale unapovua viatu na kuingia msikitini ukakanyaga au kushika jamvi ambalo virusi vya korona vimeachwa

Chini ya kapeti yanayoendelea China yana usiri mkubwa sana, Serikali inatumia nguvu kubwa sana ambayo hatuambiwi,

Serikali ya China kuna apartment watu wanafungiwa kwa milango kuchomelewa na umeme ili watu wafie ndani ya nyumba zao,

Kuna maeneo watu wanajifia kwa kukosa vyakula na kudondoka barabarani Haya yote serikali ya China inaficha

Je huku kwetu tutaweza haya au ni sayansi ya siasa tunatumia
Hiyo ni ishara kwamba watu wangu wana Imani haba.
 
Vishu Mtata

Member
Dec 15, 2019
53
125
Wakuu habari,
Na mimi nichangie kidogo kwenye huu uzi, ni ivi;
Ni vizuri kujihadhari na iyo corona lakini hapa kwetu haijaenea kama sio kufika kabisa sasa mnapoanza kusema kuusu kuvaa mask na kutokaribiana kabisa sasa apo tutaleta maafa mengine kama kuanguka kichumi ilhali ilo gonjwa ata halijafika si ajabu lisifike kabisa kwa mimi naona hatua ambazo serikali inazichukua ni sahihi kwa kiasi chake.

Naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
42774277

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
2,988

Kuporomoka kiuchumi ni inevitable endapo ugonjwa utafika TZ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom