GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,100
Rasmi sasa kanisa katoliki Tanzania, Leo kwenye baadhi ya makanisa ule muda wa kutakiana amani umeachwa rasmi ndani ya kanisa katoliki
Tujadili changamoto zake kama ni suluhisho kwa hivi virusi vya corona
Mosi, Sadaka hutolewa kwenye masanduku yenye tundu dogo hivyo hulazimisha kuligusa sanduku la sadaka, Mtu mwenye virusi akishika sanduku la sadaka na baadae akija mungine sio kuna tatizo?
Pili, Mabenchi ya kukalia makanisani kila mtu huweka mikono yake hasa Misa zinapopishana, Je kama aliyekaa Misa ya kwanza akaacha virusi kwenye benchi wale wa Misa ya pili sio hatari?
Maswali ni mengi Sana kuliko majibu,
Je, ni muda muafaka wa kununua mask na gloves kwa ajili ya sala?
Kwa waislamu changamoto pia ni kubwa pale unapovua viatu na kuingia msikitini ukakanyaga au kushika jamvi ambalo virusi vya korona vimeachwa
Chini ya kapeti yanayoendelea China yana usiri mkubwa sana, Serikali inatumia nguvu kubwa sana ambayo hatuambiwi,
Serikali ya China kuna apartment watu wanafungiwa kwa milango kuchomelewa na umeme ili watu wafie ndani ya nyumba zao,
Kuna maeneo watu wanajifia kwa kukosa vyakula na kudondoka barabarani Haya yote serikali ya China inaficha
Je huku kwetu tutaweza haya au ni sayansi ya siasa tunatumia