Kanisa Katoliki ladaiwa maelfu ya Dola kwa Kosa la Ubakaji/udhalilishaji watoto kimapenzi

Status
Not open for further replies.
sdhani kama ni sahihi kuiturn hii mada kuwa mabishano ya kidini si fahari hata kidogo,
 
ingekuwa ni mafundisho ya kanisa, kweli kanisa lingestahili kulipa fidia kwa waathirika wote, vinginevyo kanisa linafundisha kila mtu atauchukua msalaba wake mwenyewe, hivyo basi walioshiriki wawajibishwe kama mtu mwingine yeyote kwa sheria halali za nchi husika ama za kimataifa pale ambapo nchi hazina sheria kama hizo!

Kama kanisa halihusiki kwanini liliomba msamaha kwa walio lawitiwa duniani kote? Wakatoliki ni watu wachafu sana wao ktk dini yao hawana haram na mengine mabaya na machafu wanafanya eti kwa kuwakomowa waislam. Jambo ambalo linaharamishwa ktk uislam wao ndio watalikazania kulifanya ili kuukomowa uislam na waislam. Kama MAPADRI wameweza kuwalawit WATOTO inamaana wameshamaliza kuwalawit MASISTER NA WENYEWE KWA WENYEWE KULAWITIANA. KATOLIKI NI HARAM NI JANGA LA DUNIA.
 
...Imani ya Kanisa Katoliki ina baki kuwa "KANISA NI TAKATIFU..."

Nasadiki kwa Mungu Baba Mwenyezi/Mwuumba mbingu na nchi,/na vitu vyote vinavyoonekana,/na visivyoonekana.
Nasadiki kwa Bwana mmoja Yesu Kristu, Mwana wa pekee wa Mungu.Aliyezaliwa kwa Baba tangu milele yote.
Mungu aliyetoka kwa Mungu,mwanga kwa mwanga, Mungu kweli kwa Mungu kweli.
Aliyezaliwa bila kuumbwa, mwenye umungu mmoja na Baba, ambaye vitu vyote vimeumbwa naye.Ameshuka toka mbinguni
kwa ajili yetu sisi wanadamu na kwa ajili ya wokovu wetu.
Akapata mwili kwa uwezo wa Roho Mtakatifu kwake yeye Bikira Maria/akawa mwanadamu
Akasulibiwa pia/kwa ajili yetu sisi/akateswa kwa mamlaka ya ponsyo pilato, akafa akazikwa.
Akafufuka siku ya tatu ilivyoandikwa, akapaa mbiguni/amekaa kuume kwa Baba
atakuja tena kwa Utukufu kuwahukumu wazima na wafu nao ufalme wake hautakuwa na mwisho
Nasadiki kwa Roho Mtakatifu/Bwana mleta uzima atokaye kwa Baba na Mwana anayeabudiwa na kutukuzwa
pamoja na Baba na Mwana aliyenena kwa vinywa vya manabii.
Nasadiki kwa Kanisa Moja, Takatifu Katoliki la Mitume. Naungama Ubatizo Mmoja kwa maondoleo ya dhambi.
Nangojea na ufufuko wa wafu. Na Uzima wa milele ijayo. Amina.
 
Imani bila matendo hakuna imani ndugu yangu...haiwezekani MAPADRI wafikie kuwalawit WATOTO Tena MAPADRI wa Makao makuu ya kanisa katoliki pale pale VATICAN Chakusikitisha sio PADRI 1 wala MTOTO sio 1 Ni Rundo la MAPADRI walio LAWIT na Rundo la WTTO walio Lawitiwa na sio uchafu ulio fanyika kwa siku au kwa wiki ni uchafu ulio kuwa unafanyika miaka nenda rudi. Ivi kama wali fikia na kuweza kuwavua kaptula watt wakawalawit kweli watakuwa wameshindwa kuwalawit Masister? Vatikan inawezaje kuomba msamaha kwa kosa hili kama kweli ukiwa mzazi unaweza kumsamehe mtu alie mlawit mtt wako?
 
...tatizo lako ni kutokuelewa "maana ya Imani ya Kanisa Katoliki"

"kila mwamini wa Kanisa Katolik ana nafsi yake, kama yeye.' Kanisa linaongozwa kwa Misingi ya Kanisa..., "Mathayo 16 : 18
16.18 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda."

(watumishi wa Kanisa ni watu kama binadamu wengine tu. si Malaika!
Nasi tutaendelea kuwaheshimu, wale wote wenye Mapenzi na Maadili mema kwa Kanisa, kwa Misingi ya Kanisa, kufuatana na madaraja yao ya uongozi waliyopewa ndani ya Kanisa Katoliki)

sticky: "Nasadiki kwa Mungu Baba mwenyezi.
Mungu mmoja muumba mbingu na dunia.
Nasadiki na kwa Bwana Yesu Kristu
Aliye mwana wa pekee wa Mungu
Ninasadiki, ninasadiki
Kazaliwa kwa Baba tangu milele
Mwanga kwa mwanga kweli Mungu kwa Mungu
Mwenye U-Mungu Mmoja sawa na baba
Kashuka toka mbinguni kutokoa
Akapokea mwili sawa na sisi
Kwa uwezo wake roho mtakatifu
Akazaliwa naye bikira maria
Akateswa pia akasulubiwa
Yote hayo ni kwa ajili yet utu
Akazikwa halafu akafufuka
Akapaa mbinguni kwa Baba yake
Atarudi tena kwa utukufu mkuu
Kuwahukumu wazima pia na wafu
Ufalme wake hautakuwa na mwisho
Nasadiki kwa roho mtakatifu
Yeye ni Bwana pia mleta uzima
Atokaye kwa Baba vile kwa mwana
Aliyenena kwa vinywa vya manabii
Nasadiki kwa kanisa lililo moja
Takatifu Katoliki na la mitume
Naungama pia ubatizo mmoja
Kwa ajili ya maondoleo ya dhambi
Nangojea na ufufuko wa wafu
Na uzima wa milele ijayo, amina
 
...tatizo lako ni kutokuelewa "maana ya imani ya kanisa katoliki"

"kila mwamini wa kanisa katolik ana nafsi yake, kama yeye.' kanisa linaongozwa kwa misingi ya kanisa..., "mathayo 16 : 18
16.18 nami nakuambia, wewe ndiwe petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda."

(watumishi wa kanisa ni watu kama binadamu wengine tu. Si malaika!
Nasi tutaendelea kuwaheshimu, wale wote wenye mapenzi na maadili mema kwa kanisa, kwa misingi ya kanisa, kufuatana na madaraja yao ya uongozi waliyopewa ndani ya kanisa katoliki)

sticky: "nasadiki kwa mungu baba mwenyezi.
Mungu mmoja muumba mbingu na dunia.
Nasadiki na kwa bwana yesu kristu
aliye mwana wa pekee wa mungu
ninasadiki, ninasadiki
kazaliwa kwa baba tangu milele
mwanga kwa mwanga kweli mungu kwa mungu
mwenye u-mungu mmoja sawa na baba
kashuka toka mbinguni kutokoa
akapokea mwili sawa na sisi
kwa uwezo wake roho mtakatifu
akazaliwa naye bikira maria
akateswa pia akasulubiwa
yote hayo ni kwa ajili yet utu
akazikwa halafu akafufuka
akapaa mbinguni kwa baba yake
atarudi tena kwa utukufu mkuu
kuwahukumu wazima pia na wafu
ufalme wake hautakuwa na mwisho
nasadiki kwa roho mtakatifu
yeye ni bwana pia mleta uzima
atokaye kwa baba vile kwa mwana
aliyenena kwa vinywa vya manabii
nasadiki kwa kanisa lililo moja
takatifu katoliki na la mitume
naungama pia ubatizo mmoja
kwa ajili ya maondoleo ya dhambi
nangojea na ufufuko wa wafu
na uzima wa milele ijayo, amina

kanisa mbona linaruhusu kunywa pombe? Hii halali kweli? Katoliki mnatisha
 
...tatizo lako ni kutokuelewa "maana ya Imani ya Kanisa Katoliki"

"kila mwamini wa Kanisa Katolik ana nafsi yake, kama yeye.' Kanisa linaongozwa kwa Misingi ya Kanisa..., "Mathayo 16 : 18
16.18 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda."

(watumishi wa Kanisa ni watu kama binadamu wengine tu. si Malaika!
Nasi tutaendelea kuwaheshimu, wale wote wenye Mapenzi na Maadili mema kwa Kanisa, kwa Misingi ya Kanisa, kufuatana na madaraja yao ya uongozi waliyopewa ndani ya Kanisa Katoliki)

sticky: "Nasadiki kwa Mungu Baba mwenyezi.
Mungu mmoja muumba mbingu na dunia.
Nasadiki na kwa Bwana Yesu Kristu
Aliye mwana wa pekee wa Mungu
Ninasadiki, ninasadiki
Kazaliwa kwa Baba tangu milele
Mwanga kwa mwanga kweli Mungu kwa Mungu
Mwenye U-Mungu Mmoja sawa na baba
Kashuka toka mbinguni kutokoa
Akapokea mwili sawa na sisi
Kwa uwezo wake roho mtakatifu
Akazaliwa naye bikira maria
Akateswa pia akasulubiwa
Yote hayo ni kwa ajili yet utu
Akazikwa halafu akafufuka
Akapaa mbinguni kwa Baba yake
Atarudi tena kwa utukufu mkuu
Kuwahukumu wazima pia na wafu
Ufalme wake hautakuwa na mwisho
Nasadiki kwa roho mtakatifu
Yeye ni Bwana pia mleta uzima
Atokaye kwa Baba vile kwa mwana
Aliyenena kwa vinywa vya manabii
Nasadiki kwa kanisa lililo moja
Takatifu Katoliki na la mitume
Naungama pia ubatizo mmoja
Kwa ajili ya maondoleo ya dhambi
Nangojea na ufufuko wa wafu
Na uzima wa milele ijayo, amina
Mm sielewi kweli Imani ya kanisa katoliki na sitoiyelewa kwa viongozi wake kwenda kinyume na matakwa ya M/zimungu kosa la kulawit na kuharibu wtt wa watu halafu kuishia kuomba msamaha tuu umeona wapi ktk bibilia adhabu ya mtu anae lawiti inasema aombe msamaha tuu. Na alie lawitiwa asamehe pindi anapo ombwa msamaha? Nionyeshe sura gani ktk biblia inayo amrisha hivyo? Mm nilitegemea vatican wangetoa adhabu kali kupita zote zilizo wahi kutolewa kwa Mapadri mabasha na walio zoeya kuwavua kabtula wtt wa watu na kuwalawit.ukizingatia wakatoliki wanaamini vatikan ni nchi kamili inayo ongozwa kwa misingi ya dini ya kikatoliki.vipi leo papa ashindwe kuwaadhibu Mapadri Mabasha kwa mujibu wa ukubwa ws kosa lao na kwa mujibu wa biblia au bibilia inaruhusu wtt kulawitiwa na mapadri kama inavyo ruhusu ndoa za jinsia moja na ndoa za wanyama kama mbwa na binaadam?
 
Tatizo lilishamuacha Mungu, linaendeshwa na sera za freemason, kuabudu shetani. kingdom of darkness
 
Hawana dhambi hao maana yesu (yule mzungu alievishwa kichupi) ambae kuna dini zinamuabudu alikufa kwa dhambi zao hivyo wao waoane tu na tumbili pia ni sawa tuuu maana mungu wao alikufa ili kuwaokoa.... haha jamani amkeni nyie watu mnaemuabudu mzungu kichupi juu ya msalaba.... hata akili hamtumii???
 
Mm sielewi kweli Imani ya kanisa katoliki na sitoiyelewa kwa viongozi wake kwenda kinyume na matakwa ya M/zimungu kosa la kulawit na kuharibu wtt wa watu halafu kuishia kuomba msamaha tuu umeona wapi ktk bibilia adhabu ya mtu anae lawiti inasema aombe msamaha tuu. Na alie lawitiwa asamehe pindi anapo ombwa msamaha? Nionyeshe sura gani ktk biblia inayo amrisha hivyo? Mm nilitegemea vatican wangetoa adhabu kali kupita zote zilizo wahi kutolewa kwa Mapadri mabasha na walio zoeya kuwavua kabtula wtt wa watu na kuwalawit.ukizingatia wakatoliki wanaamini vatikan ni nchi kamili inayo ongozwa kwa misingi ya dini ya kikatoliki.vipi leo papa ashindwe kuwaadhibu Mapadri Mabasha kwa mujibu wa ukubwa ws kosa lao na kwa mujibu wa biblia au bibilia inaruhusu wtt kulawitiwa na mapadri kama inavyo ruhusu ndoa za jinsia moja na ndoa za wanyama kama mbwa na binaadam?

Hilo haliwezekani maana huyo papa mwenyewe anakandamiza vidagaa seuse hao wengine?! Sasa ikiwa atamke adhabu kali kwa hao wengine yeye atafanywa nini?? Hii ni sawa na kesi ya..... kumpelekea..... Hao wanafahamiana vizuri katika nyendo zao kikubwa hapa hao makondoo wao waamke sasa, huu si muda wa kuwa kondoo tena ni bora wawe hata mbuzi, maana kondoo hua yupo yupo tuuuu anapelekwa pelekwa tuuuu
 
kanisa mbona linaruhusu kunywa pombe? Hii halali kweli? Katoliki mnatisha
Bibilia agano jipya inaruhusu kabisaaaaa, ndio maana padre slaa nae anasisitiza kuwa gongo nayo iwe kama zingine maana bibilia haijakataza.... hataaaaareeeeeeee
 
Halafu hawa hawa watu ndio wanataka kukufundisha kuhusu mungu.
 
Hivi wewe ni agano lipi la bibilia ambalo unalikubali la tatu ama hili la juzi la 72? Kwa taarifa yako wewe kondoo wa bwana, agano lingine limeandaliwa huko vatican ambalo linaruhusu mapadre kulawiti na ndio maana nchi ambazo yule mzungu wa kichupi alikotoka zimepitisha sheria ya kuruhusu ushoga ili kwenda sawa na hili agano ambalo lipo katika hatua za mwisho za uchapishwaji.... Ewe kondoo wa bwana amka ubaini ukweli wa mambo
 
Katika kile kinachoonekana kwamba kuna haja ya Kanisa kwa ujumla wake linahitaji maombi, kwa muendelezo wa matukio ya ulawiti na ubakaji wa watoto; nchini Poland mtu mmoja analidai kanisa hilo maelfu ya dola kwa kosa la kudhalilishwa akiwa mtoto.

Source: bbc Swahili Kanisa Katoliki kortini Poland - BBC Swahili - Habari
Habari kamili hii hapa.

Kanisa Katoliki kortini Poland

bbc: Saa moja iliyopita

Mshirikishe mwenzako
Mwanaume mmoja kutoka Poland aliyedhulumiwa kimapenzi na padri mmoja akiwa mdogo ndiye mtu wa kwanza katika taifa hilo kujitokeza na kudai fidia kutoka kwa kanisa katoliki. Mwaka uliopita ,Kanisa Katoliki liliwaomba radhi watu wote waliodhulumiwa kimapenzi na mapadri kote ulimwenguni.
Hata hivyo kanisa hilo lilitupilia mbali hoja ya kuwafidia maelfu ya watoto waliodhulumiwa na makasisi na mapadri wa kanisa hilo.
Padri aliyemdhulumu mtu huyo anayefahamika kama ,Marcin K ,tayari anatumikia kifungo cha miaka miwili jela.
Marcin K anaiomba mahakama kitita cha dola elfu sitini na tano za marekani.
Kesi yake ya kutaka fidia imedhaminiwa na mashirika yanayopigania haki za kibinadamu .
Jumatano iliyopita tarehe 5 februari , Umoja wa Mataifa uliishtumu Kanisa katoliki kwa kuendeleza sera ya kuwaficha mapadri na makasisi waliowadhulumu maelfu ya watoto ndani ya kanisa katoliki kote duniani.

Haleluya
 
Aiseee Hizi Dini!!!!..

Na hawa Mapadri sindiyo hawaruhusiwi kuoa!!!

Watakuwa wameharibu watu wengi sana ..Wengine wanaona aibu kujitokeza hadharani..

Hii dini Ni ya kuifungia..
 
Kukubali makosa na kuungama ni moja ya mafundisho ya ukristu, hususani RC. Kwangu mimi nalipongeza kanisa Katoliki kwa kukubali makosa mbele ya wanadamu na kumuungamia Mungu. Ninategemea wengi pia mtalipongeza kanisa Katoliki kwa uamuzi huo, kwani wapo viongozi kadhaa wa madhehebu na dini mbalimbali wanayafanya hayo na kukaa kimya. Tusijidai kama vile haya mambo hatuyaoni au kuyasikia, hebu tujaribu kupitia habari za hapa Bongo, ni kweli hatujawahi kusikia wachungaji, masheikh au maimamu kadhaa wamekutwa na kashfa za ngono? Mbona hata ukigoogle kidogo tu kwa kiswahili unapata stori nyingi tu? Mambo hayo yapo, jambo la msingi ni kutubu makosa na kuyaacha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom