The Most Winner
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 733
- 958
Ukimpenda au kumchukia hapungukiwi kitu au kuongezeka Chochote,wewe ukimchukia sisi tutampenda haswaa tena sana hivyo jitaidi usimchukie mtu yeyote yule Maana sote tumeumbwa kwa sura na mfano wa MunguAkina "mwanya". Wadanganyika wengi wanaita " pengo". Simpendi huyu mzee mm..! Sijui kala maharage ya wapi yule?? (In Gwajima's voice)
1990s RwandaWakatoliki wana akili nyingi
Mbaya zaidi inaonekana wapo sawa kwa sababu ni kanisa. Hivi ingekuwa shehe mkuu wao anayafanya hayo ingekuwaje?Ukisoma replies za hii mada unapata picha kwa nini waafrika tupo hapa tulipo.
Linapokuja tamko la kiongozi wa dini huku Africa basi wote huwa twageuka kuku wa mdondo hatutumii tena akili zetu kuchangua mambo
Upuuzi kama huu kanisa hauwezi kuusema huko Luxembourg, france,Britain wala USA
Wanalazimisha mkatoliki mwenzao ndie awe mshindi
Sasa sijui wana tofauti gani na kina ccm yetu
Mawazo yako kuhusu kile kanisa wanasema huko Congo ni yapi mkuu?Elimu, elimu, elimu. Katika karne hii ya teknolojia sikutegemea watu kama wewe kuendelea kuwepo. Hata hivyo katika Tanzania yetu hii haiwezi kuwa ajabu.
Source wikipedia
Watu wangekua na mawazo yako wasingekua wanatoa matokeo ya awali. Na kila ukifuatilia chaguzi nyingi km hapakutokea blah blah yule alokua anaongoza kwa matokeo ya awali hatimaye huibuka mshindi.Na kitu ninachoamini unapotaka kufanya makusanyo ya kura ili kupata picha halisi ni lazima utaanzia kwenye majimbo ambayo unaamini una wafuasi wengi zaidi, yale yenye wafuasi kidogo huwa ya mwisho.Uchaguzi ambapo kura moja ni kubwa mno hakuhitaji approximation.
Akina "mwanya". Wadanganyika wengi wanaita " pengo". Simpendi huyu mzee mm..! Sijui kala maharage ya wapi yule?? (In Gwajima's voice)
Sasa nimekupata baraabara, swali hili lishajibiwa 90%.Wewe sikia vituo vya uchaguzi ni katika mashule,sasa shule moja inaweza kuwa na vituo viwili hadi nne...
Now you got the answer?
Pili,
Hao ni wangalizi wa moja kwa moja bado wale wa indirect wanaoriport kwao.
Tatu,
Wangalizi elfu 40 kati ya vituo elfu 70..
Hiyo ni zaidi ya nusu ya vituo,maanake Finding ya waangalizi Elfu 40 ina reflect vituo vilivyobaki hata kwa nusu tu..
Fayulu rais wa Congo
Sent using Jamii Forums mobile app
kama ume shinda ktk vituo vyako ulivyo na uangalizi wa watu 40000 na ukapata matokeo ya mshindi wako kwa mfno. Martin ameongoza vituo vyote 40000 kwa tofauti ya kura 1 dhidi ya tshekedi.Hasara ya kukimbia hesabu hii, kwahiyo unashindwa kuelewa kuwa hiyo 40,000 ni zaidi ya ½ ya hivyo vituo 70,000? Kwanini ushindwe kufanya approximation?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dini zona tupeleka pabaya sana...Ukisoma replies za hii mada unapata picha kwa nini waafrika tupo hapa tulipo.
Linapokuja tamko la kiongozi wa dini huku Africa basi wote huwa twageuka kuku wa mdondo hatutumii tena akili zetu kuchangua mambo
Upuuzi kama huu kanisa hauwezi kuusema huko Luxembourg, france,Britain wala USA
Wanalazimisha mkatoliki mwenzao ndie awe mshindi
Sasa sijui wana tofauti gani na kina ccm yetu
mtoa mada anaweza kua hana elimu(kwa ntazamo wako)Elimu, elimu, elimu. Katika karne hii ya teknolojia sikutegemea watu kama wewe kuendelea kuwepo. Hata hivyo katika Tanzania yetu hii haiwezi kuwa ajabu.
Acha tu, kanidharau mno.mtoa mada anaweza kua hana elimu(kwa ntazamo wako)
lakini tunamtofautisha vipi na wewe mwenye elimu ila unashindwa kumuelimisha?
nini matumizi ya elimu yako ndugu?
kutoa dhihaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu haya matokeo hayajasemwa na katoliki bali mpaka Ufaransa iliokuwa na waangalizi imekiri mshindi ni Fayulu..... Kuwepo kwa waangalizi hakumaanishi hakuna coordination na NGOs zingine zilizoweka waangalizi ili kuhakiki matokeo?? Mfano kma kituo A wapo catholic basi kituo B na C wapo AU na EU wanaweza coordinate nao wawape picha nzima ya matokeo kwenye hivo vituo mwisho wa siku wanaweza kucover vile vituo ambavyo hawakufika.Hizi replays za sisi wa Afrika zinaonyesha ni kwa jinsi gani bado tupo kwenye utumwa.Tena utumwa mbaya wa kifrika ambao kutoka huko inahitaji nguvu ya ziada.
Hivi unawezaje kuhalalisha tamko la kanisa katoliki katika masuala ya kitaifa, je Kongo kuna katoliki pekee, vipi kuhusu imani zingine
Jibu hapana.
Mleta mada ameweka takwimu(numbers), always number tell the fact kuhusu idadi ya vituo vya uchaguzi lakini pia kukosekana kwa waangalizi wa kanisa katika vituo 3k ambavyo ni vingi sana.
Ratio ya 7:4 sio ndogo lakini baadhi yetu tunasema wamefanya sample ili kupata mshindi wao wanaomtaka.
Kama wanalifanya sample ili ku cover ombwe la vituo 3k kama walikuwa na uwezo huo kwa nini wameacha serikali itumie gharama kuandaaa uchaguzi ambao wao walikuwa na uwezo wa kufanya speculation.
Kanisa katoliki ni gamblers kama gamblers wengine tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umemjibu vizuri huyoAsante kwa kejeli
Sasa waliedai kashinda hakupewa ushindi na wao waliutamani sana uchaguzi na umefanyika, pia sidhani kama mahakama ya katiba Congo itabatilisha matokeo. Unadhani hekima ipi yafaa kwa sasa?Mkuu haya matokeo hayajasemwa na katoliki bali mpaka Ufaransa iliokuwa na waangalizi imekiri mshindi ni Fayulu..... Kuwepo kwa waangalizi hakumaanishi hakuna coordination na NGOs zingine zilizoweka waangalizi ili kuhakiki matokeo?? Mfano kma kituo A wapo catholic basi kituo B na C wapo AU na EU wanaweza coordinate nao wawape picha nzima ya matokeo kwenye hivo vituo mwisho wa siku wanaweza kucover vile vituo ambavyo hawakufika.
Lakini njia nyingine ni kuweka sample kwenye maeneo muhimu mfano wanaangalia takwimu kujua wapiga kura wengi zaidi wamejiandikisha wapi?? Kma ni Kasai,Kivu,Bandundu au Province Equatorial n.k basi watawekeza angalau nusu ya waangalizi huko ili wapate sample ya kuwakilisha..... Hivyo kma waangalizi licha ya kuwa wameenda 60% ya Vituo ila sijaona mtu akijaribu kuwa vituo 60% vinaweza kuwa na kura 80%...... Ndio maana unakuta zanzibar ina majimbo 50 lakini kura zao zote hazifikii hata robo ya kura za jimbo moja tu la Dar sasa kwa logic ya kuhesabu vituo badala ya kura ina mantiki kweli
Hivi eneo kama Idjwi hata likiwa na vituo 300 lina madhara kweli hata asipopelekwa muangalizi?? Waangalizi wanaenda kwenye maeneo yenye proportional representation ya Kura zote sio randomly tu hilo ndio la muhimu, kwahiyo hapa kinachoangaliwa ni Ratio ya kituo versus Number ya kura... zikitimia wangeweza peleka hata kwenye vituo kumi tu.