Kanisa katoliki Congo lilikuwa na waangalizi 40,000 huku vituo vya kura vikiwa 70,000, sasa uhakika wa mshindi kila kituo wameutoa wapi?

T

The Most Winner

Senior Member
Joined
Aug 6, 2018
Messages
183
Likes
170
Points
60
T

The Most Winner

Senior Member
Joined Aug 6, 2018
183 170 60
Akina "mwanya". Wadanganyika wengi wanaita " pengo". Simpendi huyu mzee mm..! Sijui kala maharage ya wapi yule?? (In Gwajima's voice)
Ukimpenda au kumchukia hapungukiwi kitu au kuongezeka Chochote,wewe ukimchukia sisi tutampenda haswaa tena sana hivyo jitaidi usimchukie mtu yeyote yule Maana sote tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu
 
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
3,802
Likes
4,851
Points
280
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
3,802 4,851 280
Ukisoma replies za hii mada unapata picha kwa nini waafrika tupo hapa tulipo.
Linapokuja tamko la kiongozi wa dini huku Africa basi wote huwa twageuka kuku wa mdondo hatutumii tena akili zetu kuchangua mambo
Upuuzi kama huu kanisa hauwezi kuusema huko Luxembourg, france,Britain wala USA
Wanalazimisha mkatoliki mwenzao ndie awe mshindi
Sasa sijui wana tofauti gani na kina ccm yetu
Mbaya zaidi inaonekana wapo sawa kwa sababu ni kanisa. Hivi ingekuwa shehe mkuu wao anayafanya hayo ingekuwaje?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
3,802
Likes
4,851
Points
280
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
3,802 4,851 280
Elimu, elimu, elimu. Katika karne hii ya teknolojia sikutegemea watu kama wewe kuendelea kuwepo. Hata hivyo katika Tanzania yetu hii haiwezi kuwa ajabu.
Mawazo yako kuhusu kile kanisa wanasema huko Congo ni yapi mkuu?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Joselela

Joselela

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Messages
2,999
Likes
2,876
Points
280
Joselela

Joselela

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2017
2,999 2,876 280
Wewe sikia vituo vya uchaguzi ni katika mashule,sasa shule moja inaweza kuwa na vituo viwili hadi nne...

Now you got the answer?

Pili,
Hao ni wangalizi wa moja kwa moja bado wale wa indirect wanaoriport kwao.

Tatu,
Wangalizi elfu 40 kati ya vituo elfu 70..
Hiyo ni zaidi ya nusu ya vituo,maanake Finding ya waangalizi Elfu 40 ina reflect vituo vilivyobaki hata kwa nusu tu..

Fayulu rais wa Congo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washawasha

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
10,124
Likes
1,649
Points
280
Washawasha

Washawasha

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
10,124 1,649 280
Wazee wa mission hao
Nalog off
 
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
16,410
Likes
3,202
Points
280
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
16,410 3,202 280
Inakwaje Kanisa katoliki ina impact kubwa katika siasa ya Congo

Sent using Jamii Forums mobile app
Source wikipedia
The Catholic Church in the Democratic Republic of the Congo is part of the worldwide Catholic Church, under the spiritual leadership of the Pope in Rome.

Of a population of 70,916,439, there are about 35 million Catholics in the country, representing about half of the total population[1] There are six archdioceses and 41 dioceses.[2] The largest of these is the Archdiocese of Kinshasa; the Vicar General of Kinshasa, Auxiliary Bishop Daniel Nlandu Mayi,[3] is an ordinary member of the Pontifical Academy For Life.

The impact of the Catholic Church in the DRC is difficult to overestimate. Schatzberg has called it the country's "only truly national institution apart from the state."[4] Besides involving over 40 percent of the population in its religious services, its schools have educated over 60 percent of the nation's primary school students and more than 40 percent of its secondary students. The church owns and manages an extensive network of hospitals, schools, and clinics, as well as many diocesan economic enterprises, including farms, ranches, stores, and artisans' shops.
 
Membejr

Membejr

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2017
Messages
2,009
Likes
1,496
Points
280
Membejr

Membejr

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2017
2,009 1,496 280
Uchaguzi ambapo kura moja ni kubwa mno hakuhitaji approximation.
Watu wangekua na mawazo yako wasingekua wanatoa matokeo ya awali. Na kila ukifuatilia chaguzi nyingi km hapakutokea blah blah yule alokua anaongoza kwa matokeo ya awali hatimaye huibuka mshindi.Na kitu ninachoamini unapotaka kufanya makusanyo ya kura ili kupata picha halisi ni lazima utaanzia kwenye majimbo ambayo unaamini una wafuasi wengi zaidi, yale yenye wafuasi kidogo huwa ya mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
F

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Messages
2,245
Likes
1,731
Points
280
F

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2017
2,245 1,731 280
Wewe sikia vituo vya uchaguzi ni katika mashule,sasa shule moja inaweza kuwa na vituo viwili hadi nne...

Now you got the answer?

Pili,
Hao ni wangalizi wa moja kwa moja bado wale wa indirect wanaoriport kwao.

Tatu,
Wangalizi elfu 40 kati ya vituo elfu 70..
Hiyo ni zaidi ya nusu ya vituo,maanake Finding ya waangalizi Elfu 40 ina reflect vituo vilivyobaki hata kwa nusu tu..

Fayulu rais wa Congo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nimekupata baraabara, swali hili lishajibiwa 90%.
 
forumyangu

forumyangu

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Messages
1,819
Likes
1,134
Points
280
Age
48
forumyangu

forumyangu

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2016
1,819 1,134 280
Hizi replays za sisi wa Afrika zinaonyesha ni kwa jinsi gani bado tupo kwenye utumwa.Tena utumwa mbaya wa kifrika ambao kutoka huko inahitaji nguvu ya ziada.
Hivi unawezaje kuhalalisha tamko la kanisa katoliki katika masuala ya kitaifa, je Kongo kuna katoliki pekee, vipi kuhusu imani zingine
Jibu hapana.
Mleta mada ameweka takwimu(numbers), always number tell the fact kuhusu idadi ya vituo vya uchaguzi lakini pia kukosekana kwa waangalizi wa kanisa katika vituo 3k ambavyo ni vingi sana.
Ratio ya 7:4 sio ndogo lakini baadhi yetu tunasema wamefanya sample ili kupata mshindi wao wanaomtaka.
Kama wanalifanya sample ili ku cover ombwe la vituo 3k kama walikuwa na uwezo huo kwa nini wameacha serikali itumie gharama kuandaaa uchaguzi ambao wao walikuwa na uwezo wa kufanya speculation.
Kanisa katoliki ni gamblers kama gamblers wengine tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chillah

Chillah

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Messages
4,818
Likes
2,909
Points
280
Chillah

Chillah

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2016
4,818 2,909 280
Hasara ya kukimbia hesabu hii, kwahiyo unashindwa kuelewa kuwa hiyo 40,000 ni zaidi ya ½ ya hivyo vituo 70,000? Kwanini ushindwe kufanya approximation?

Sent using Jamii Forums mobile app
kama ume shinda ktk vituo vyako ulivyo na uangalizi wa watu 40000 na ukapata matokeo ya mshindi wako kwa mfno. Martin ameongoza vituo vyote 40000 kwa tofauti ya kura 1 dhidi ya tshekedi.

na vituo 30000 ambavyo huna waangalizi tshekedi ameshinda kwa tofauti ya kura 1000 hadi 5000 una zani nani atakuwa mshindi? pamoja na kuwa na waangalizi wako zaidi ya nusu 40000.

Muda mwema kiongozi.
 
Chillah

Chillah

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Messages
4,818
Likes
2,909
Points
280
Chillah

Chillah

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2016
4,818 2,909 280
Ukisoma replies za hii mada unapata picha kwa nini waafrika tupo hapa tulipo.
Linapokuja tamko la kiongozi wa dini huku Africa basi wote huwa twageuka kuku wa mdondo hatutumii tena akili zetu kuchangua mambo
Upuuzi kama huu kanisa hauwezi kuusema huko Luxembourg, france,Britain wala USA
Wanalazimisha mkatoliki mwenzao ndie awe mshindi
Sasa sijui wana tofauti gani na kina ccm yetu
Dini zona tupeleka pabaya sana...
 
nyakubonga

nyakubonga

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Messages
1,472
Likes
1,518
Points
280
nyakubonga

nyakubonga

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2015
1,472 1,518 280
Elimu, elimu, elimu. Katika karne hii ya teknolojia sikutegemea watu kama wewe kuendelea kuwepo. Hata hivyo katika Tanzania yetu hii haiwezi kuwa ajabu.
mtoa mada anaweza kua hana elimu(kwa ntazamo wako)

lakini tunamtofautisha vipi na wewe mwenye elimu ila unashindwa kumuelimisha?

nini matumizi ya elimu yako ndugu?

kutoa dhihaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
F

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Messages
2,245
Likes
1,731
Points
280
F

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2017
2,245 1,731 280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,124
Likes
10,783
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,124 10,783 280
Hizi replays za sisi wa Afrika zinaonyesha ni kwa jinsi gani bado tupo kwenye utumwa.Tena utumwa mbaya wa kifrika ambao kutoka huko inahitaji nguvu ya ziada.
Hivi unawezaje kuhalalisha tamko la kanisa katoliki katika masuala ya kitaifa, je Kongo kuna katoliki pekee, vipi kuhusu imani zingine
Jibu hapana.
Mleta mada ameweka takwimu(numbers), always number tell the fact kuhusu idadi ya vituo vya uchaguzi lakini pia kukosekana kwa waangalizi wa kanisa katika vituo 3k ambavyo ni vingi sana.
Ratio ya 7:4 sio ndogo lakini baadhi yetu tunasema wamefanya sample ili kupata mshindi wao wanaomtaka.
Kama wanalifanya sample ili ku cover ombwe la vituo 3k kama walikuwa na uwezo huo kwa nini wameacha serikali itumie gharama kuandaaa uchaguzi ambao wao walikuwa na uwezo wa kufanya speculation.
Kanisa katoliki ni gamblers kama gamblers wengine tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu haya matokeo hayajasemwa na katoliki bali mpaka Ufaransa iliokuwa na waangalizi imekiri mshindi ni Fayulu..... Kuwepo kwa waangalizi hakumaanishi hakuna coordination na NGOs zingine zilizoweka waangalizi ili kuhakiki matokeo?? Mfano kma kituo A wapo catholic basi kituo B na C wapo AU na EU wanaweza coordinate nao wawape picha nzima ya matokeo kwenye hivo vituo mwisho wa siku wanaweza kucover vile vituo ambavyo hawakufika.

Lakini njia nyingine ni kuweka sample kwenye maeneo muhimu mfano wanaangalia takwimu kujua wapiga kura wengi zaidi wamejiandikisha wapi?? Kma ni Kasai,Kivu,Bandundu au Province Equatorial n.k basi watawekeza angalau nusu ya waangalizi huko ili wapate sample ya kuwakilisha..... Hivyo kma waangalizi licha ya kuwa wameenda 60% ya Vituo ila sijaona mtu akijaribu kuwa vituo 60% vinaweza kuwa na kura 80%...... Ndio maana unakuta zanzibar ina majimbo 50 lakini kura zao zote hazifikii hata robo ya kura za jimbo moja tu la Dar sasa kwa logic ya kuhesabu vituo badala ya kura ina mantiki kweli

Hivi eneo kama Idjwi hata likiwa na vituo 300 lina madhara kweli hata asipopelekwa muangalizi?? Waangalizi wanaenda kwenye maeneo yenye proportional representation ya Kura zote sio randomly tu hilo ndio la muhimu, kwahiyo hapa kinachoangaliwa ni Ratio ya kituo versus Number ya kura... zikitimia wangeweza peleka hata kwenye vituo kumi tu.
 
PEP

PEP

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
486
Likes
466
Points
80
Age
28
PEP

PEP

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
486 466 80
Mkuu umemjibu vizuri huyo

Ninachokiona hapa wala hutapata majibu yenye mashiko. Badala yake 'die hard wakatoliki' wameamua kuugeuza huu uzi sehemu ya kujinasibu kama watu walio sahii, waliotukuka, wenye mipango mikali, na wenye akili nyingi zaidi.

Kwa maana nyingine wameshaamini lengo la uzi lilikua kukosoa kanisa katoliki hivyo uchangiaji wao mwingi umekaa ki 'defensive'Sent using Jamii Forums mobile app
 
F

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Messages
2,245
Likes
1,731
Points
280
F

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2017
2,245 1,731 280
Mkuu haya matokeo hayajasemwa na katoliki bali mpaka Ufaransa iliokuwa na waangalizi imekiri mshindi ni Fayulu..... Kuwepo kwa waangalizi hakumaanishi hakuna coordination na NGOs zingine zilizoweka waangalizi ili kuhakiki matokeo?? Mfano kma kituo A wapo catholic basi kituo B na C wapo AU na EU wanaweza coordinate nao wawape picha nzima ya matokeo kwenye hivo vituo mwisho wa siku wanaweza kucover vile vituo ambavyo hawakufika.

Lakini njia nyingine ni kuweka sample kwenye maeneo muhimu mfano wanaangalia takwimu kujua wapiga kura wengi zaidi wamejiandikisha wapi?? Kma ni Kasai,Kivu,Bandundu au Province Equatorial n.k basi watawekeza angalau nusu ya waangalizi huko ili wapate sample ya kuwakilisha..... Hivyo kma waangalizi licha ya kuwa wameenda 60% ya Vituo ila sijaona mtu akijaribu kuwa vituo 60% vinaweza kuwa na kura 80%...... Ndio maana unakuta zanzibar ina majimbo 50 lakini kura zao zote hazifikii hata robo ya kura za jimbo moja tu la Dar sasa kwa logic ya kuhesabu vituo badala ya kura ina mantiki kweli

Hivi eneo kama Idjwi hata likiwa na vituo 300 lina madhara kweli hata asipopelekwa muangalizi?? Waangalizi wanaenda kwenye maeneo yenye proportional representation ya Kura zote sio randomly tu hilo ndio la muhimu, kwahiyo hapa kinachoangaliwa ni Ratio ya kituo versus Number ya kura... zikitimia wangeweza peleka hata kwenye vituo kumi tu.
Sasa waliedai kashinda hakupewa ushindi na wao waliutamani sana uchaguzi na umefanyika, pia sidhani kama mahakama ya katiba Congo itabatilisha matokeo. Unadhani hekima ipi yafaa kwa sasa?
 
Forum statistics

Threads 1,250,886
Members 481,523
Posts 29,749,609