Kanisa katoliki Congo lilikuwa na waangalizi 40,000 huku vituo vya kura vikiwa 70,000, sasa uhakika wa mshindi kila kituo wameutoa wapi?

F

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Messages
2,245
Likes
1,731
Points
280
F

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2017
2,245 1,731 280
Mkuu umemjibu vizuri huyo

Ninachokiona hapa wala hutapata majibu yenye mashiko. Badala yake 'die hard wakatoliki' wameamua kuugeuza huu uzi sehemu ya kujinasibu kama watu walio sahii, waliotukuka, wenye mipango mikali, na wenye akili nyingi zaidi.

Kwa maana nyingine wameshaamini lengo la uzi lilikua kukosoa kanisa katoliki hivyo uchangiaji wao mwingi umekaa ki 'defensive'Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kweli nilikuwa na lengo zuri tu kwa Uzi huu lakini wengine kama nimewakera vile.
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,124
Likes
10,783
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,124 10,783 280
Sasa waliedai kashinda hakupewa ushindi na wao waliutamani sana uchaguzi na umefanyika, pia sidhani kama mahakama ya katiba Congo itabatilisha matokeo. Unadhani hekima ipi yafaa kwa sasa?
Mkuu sio waliotamani bali wao wanasimamia mshindi atangazwe hata angekuwa Tshisekedi kashinda ni lazima wangempigania.... Jiulize kwanini baada ya katoliki kusema wanamjua mshindi halali ndio Tume ikakimbia kutangaza matokeo ilihali tume hiyo hiyo jumapili ilisema walikuwa wamehesabu 20% pekee ya kura hivo mshindi hajulikani

Je muujiza gani ulitokea wakapata mshindi ndani ya saa 48 pekee?? Hivi kama kweli Kabila kaangushwa asipinge matokeo akubali hivo kirahisi?? Huoni alishajua mchezo mzima ndio maana kakaa pembeni anawachora tu wapinzani wanavyoumana!!

Hekima of course ni Tshisekedi kuunda serikali jumuishi kwa kuweka wagombea wa vyama vyote kwenye serikali yake mpaka wa Kabila na Fayulu ili kuua uvyama na kuepusha mgawanyiko. Otherwise kwa hii vurugu nayoiona DRC itarudi kwenye machafuko na nchi itakuwa na mpasuko mkubwa kumbuka kwa Mujibu wa tume ya uchaguzi huyo fayulu kazidiwa kura million moja pekee hivyo ina maana zaidi ya nusu ya wapiga kura wanamkubali maana yake ana madhara kiusalama kma ataamua kuleta vurugu.

Waafrika bado tuna safari ndefu sana kufikia mabadiliko ya kweli
 
forumyangu

forumyangu

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Messages
1,819
Likes
1,134
Points
280
Age
48
forumyangu

forumyangu

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2016
1,819 1,134 280
Mkuu zitto junior huwa naheshimu sana michango hapa jf hilo litambue kwanza.Lakini hili suala la uchaguzi huko kongo na kanisa kujihusisha na uchaguzi tena kwenye matokeo hili kwako unaliona sawa kabisa.Mi sadhani kama kanisa wangekuwa tayari kupokea matokeo tofauti na matarajio yao wao walikuwa na majibu ya uchaguzi from the beginning hivyo kuja tofauti kwa mshindi hawawezi kukubali.
Is like uchaguzi wa Tanzania wakati tume inatangaza mshindi alafu itokee NGOs zingine zitangaze vice versa hii itakuwa sawa.Mi Nadhani tujaribu kuheshimu mamlaka husika na kazi zake, bila hivyo kila mmoja atakuwa na majibu yake mfukoni ambayo yatapelekea machafuko zaidi.
Uchaguzi sio research kuwa inahitaji sample ili kupata data fulani. Kama vituo ambavyo hawajaweka wa angalizi vikiwa vingi hauoni kama vinaweza kubadili sura nzima ya matokeo.
Kanisa likae pembeni liache mamlaka zifanye kazi kwa uhuru na amani
Mkuu haya matokeo hayajasemwa na katoliki bali mpaka Ufaransa iliokuwa na waangalizi imekiri mshindi ni Fayulu..... Kuwepo kwa waangalizi hakumaanishi hakuna coordination na NGOs zingine zilizoweka waangalizi ili kuhakiki matokeo?? Mfano kma kituo A wapo catholic basi kituo B na C wapo AU na EU wanaweza coordinate nao wawape picha nzima ya matokeo kwenye hivo vituo mwisho wa siku wanaweza kucover vile vituo ambavyo hawakufika.

Lakini njia nyingine ni kuweka sample kwenye maeneo muhimu mfano wanaangalia takwimu kujua wapiga kura wengi zaidi wamejiandikisha wapi?? Kma ni Kasai,Kivu,Bandundu au Province Equatorial n.k basi watawekeza angalau nusu ya waangalizi huko ili wapate sample ya kuwakilisha..... Hivyo kma waangalizi licha ya kuwa wameenda 60% ya Vituo ila sijaona mtu akijaribu kuwa vituo 60% vinaweza kuwa na kura 80%...... Ndio maana unakuta zanzibar ina majimbo 50 lakini kura zao zote hazifikii hata robo ya kura za jimbo moja tu la Dar sasa kwa logic ya kuhesabu vituo badala ya kura ina mantiki kweli

Hivi eneo kama Idjwi hata likiwa na vituo 300 lina madhara kweli hata asipopelekwa muangalizi?? Waangalizi wanaenda kwenye maeneo yenye proportional representation ya Kura zote sio randomly tu hilo ndio la muhimu, kwahiyo hapa kinachoangaliwa ni Ratio ya kituo versus Number ya kura... zikitimia wangeweza peleka hata kwenye vituo kumi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
3,802
Likes
4,851
Points
280
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
3,802 4,851 280

Mawazo yako kwa kile RC wanadai huko Congo ni yapi?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
3,802
Likes
4,851
Points
280
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
3,802 4,851 280
Mkuu zitto junior huwa naheshimu sana michango hapa jf hilo litambue kwanza.Lakini hili suala la uchaguzi huko kongo na kanisa kujihusisha na uchaguzi tena kwenye matokeo hili kwako unaliona sawa kabisa.Mi sadhani kama kanisa wangekuwa tayari kupokea matokeo tofauti na matarajio yao wao walikuwa na majibu ya uchaguzi from the beginning hivyo kuja tofauti kwa mshindi hawawezi kukubali.
Is like uchaguzi wa Tanzania wakati tume inatangaza mshindi alafu itokee NGOs zingine zitangaze vice versa hii itakuwa sawa.Mi Nadhani tujaribu kuheshimu mamlaka husika na kazi zake, bila hivyo kila mmoja atakuwa na majibu yake mfukoni ambayo yatapelekea machafuko zaidi.
Uchaguzi sio research kuwa inahitaji sample ili kupata data fulani. Kama vituo ambavyo hawajaweka wa angalizi vikiwa vingi hauoni kama vinaweza kubadili sura nzima ya matokeo.
Kanisa likae pembeni liache mamlaka zifanye kazi kwa uhuru na amani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupitia thread kama hizi unapata kujua mawazo hasa ya kila anayejiita great thinker.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,124
Likes
10,783
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,124 10,783 280
Mawazo yako kwa kile RC wanadai huko Congo ni yapi?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
RC wako sahihi kabisa kukemea demokrasia kukanyagwa maana ingekuwa aibu sana wao kukaa kimya mambo yanapoenda vibaya maana yakitokea machafuko wao ndio huitwa kusuluhisha kma kipindi kile walivoitwa kutafuta suluhu ya tarehe gani uchaguzi ufanyike maana ilionekana wazi kabila hakutaka uchaguzi ufanyike kabisa. Hivyo kama kipindi kile waliitwa kuingilia huu mchakato sioni kwanini mchakato unapoisha wakiingilia waonekane watu wabaya!! na ni jambo la kushangaza sana watu humu JF kuwashangaa RC ilihali Hata huu uchaguzi wao ndio walioshinikiza ufanyike, wao ndio waliamua tarehe na wao ndio waliamua kabila asigombee tujikumbushe hayo mazungumzo

Congo's Catholic church warns Kabila deal risks falling apart | Reuters

Careful steps for Catholic Church tasked with pulling Congo back from crisis | Reuters

Hivyo conclusion yangu RC wana haki zote za kukekemea uchaguzi huu maana wao ndio waliuanzisha otherwise nachowashauri either wampe ushahidi Fayulu ili aende mahakamani kupinga urais wa Felix ama wawaite pamoja waunde serikali ya umoja wa kitaifa maana wakiendelea kuzozana mwisho wa siku faida itakuwa kwa kabila na wapinzani hawataaminika milele.

Cc forumyangu Freed Freed mtu chake Richard irakunda
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
1,337
Likes
710
Points
280
Age
27
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
1,337 710 280
Sadaka za wana kondoo zimefanya kazi za kisiasa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
U

UCD

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2012
Messages
5,125
Likes
3,525
Points
280
U

UCD

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2012
5,125 3,525 280
Ile manowari ya US iliyosogea karibu na DRC imechangia mshindi halali kutangazwa. Hiyo 2020 tutaomba isogee na hapa ili Matokeo halali yatangazwe.
Kuna wenzako hawayataki hayo matokeo ya DRC wanasema aliyeshinda amewekwa na Kabila wewe unasemaje?
 
forumyangu

forumyangu

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Messages
1,819
Likes
1,134
Points
280
Age
48
forumyangu

forumyangu

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2016
1,819 1,134 280
Hilo unalotaka wewe na hao RC haliwezekani.Eti kisa umeitwa kusuluhisha ugomvi wana ndoa amani ikapatikana basi unataka kila jambo wanalofanya unataka kujuwa na kutoa fatwah yako utaratibu huu uliona wapi.
RC ni sehemu ya jamii hivyo wanahaki wa kutafuta amani pale inapokosekana lakini haiwapi mamlaka ya kuingilia matokea uchaguzi mkuu na kumtaka ashinde mtu wao.
Imani zenu za dini zisiwatie upofu batili mkaita haki hii sio sawa zitto.
RC wako sahihi kabisa kukemea demokrasia kukanyagwa maana ingekuwa aibu sana wao kukaa kimya mambo yanapoenda vibaya maana yakitokea machafuko wao ndio huitwa kusuluhisha kma kipindi kile walivoitwa kutafuta suluhu ya tarehe gani uchaguzi ufanyike maana ilionekana wazi kabila hakutaka uchaguzi ufanyike kabisa. Hivyo kama kipindi kile waliitwa kuingilia huu mchakato sioni kwanini mchakato unapoisha wakiingilia waonekane watu wabaya!! na ni jambo la kushangaza sana watu humu JF kuwashangaa RC ilihali Hata huu uchaguzi wao ndio walioshinikiza ufanyike, wao ndio waliamua tarehe na wao ndio waliamua kabila asigombee tujikumbushe hayo mazungumzo

Congo's Catholic church warns Kabila deal risks falling apart | Reuters

Careful steps for Catholic Church tasked with pulling Congo back from crisis | Reuters

Hivyo conclusion yangu RC wana haki zote za kukekemea uchaguzi huu maana wao ndio waliuanzisha otherwise nachowashauri either wampe ushahidi Fayulu ili aende mahakamani kupinga urais wa Felix ama wawaite pamoja waunde serikali ya umoja wa kitaifa maana wakiendelea kuzozana mwisho wa siku faida itakuwa kwa kabila na wapinzani hawataaminika milele.

Cc forumyangu Freed Freed mtu chake Richard irakunda
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Richard

Richard

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2006
Messages
10,070
Likes
6,864
Points
280
Richard

Richard

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2006
10,070 6,864 280
Wadau nisiongee mengi, inakuwaje uwe na waangalizi 40000 huku vituo vikiwa zaidi ya Elfu 70, kwa maana hawakuwa na waangalizi vituo zaidi ya elfu 30.

Sasa hiki kiburi cha kumjua mshindi halali kinatoka wapi wadau?
My friend,

Kanisa katoliki nchini Congo ni ilama ya ukoloni mamboleo kupitia Wabelgiji na ndo wamekuwa wakitumia hilo kanisa tangu Enzi za ukoloni kupanua shughuli zao za kikoloni.

Sasa kwa kuwa wabelgiji waliwekeza huko kwenye hilo kanisa, sasa hivi zaidi ya asilimia 70 nchini humo ni wakatoliki na wanasaidiwa sana, kwenye maeneo kama Afya, elimu na mambo mengine lakini huku wakoloni hao wakiiba rasilimali za nchi hiyo kupitia mashirika na makampuni yao.

Tshisekedi anapaswa kuachwa afanye kazi ya kuijenga Congo nchi Tajiri Afrika na yenye rasilimali zote muhimu kwenye soko la dunia na si kwa watu wachache kutaka kuendelea kuiibia nchi hiyo rasilimali bila kulipa hata sent tano.

Kama wewe ni mfuatiliaji wa masuala haya utakumbuka siku za karibu na uchuguzi, Papa Francis alikuwa akiongelea Congo na kuwa kila mara akimkumbusha bwana Kabila juu ya uhuru na masuala kama hayo.

Sasa bwana Feli=x Tshisekedi ametangazwa ndo mshindi lakini kanisa katoliki na Ubelgiji walitaka lazima awe mgombea wao bwana Martin Fayulu.

Mara nyingi kumekuwa na kauli za kuasa kuhusu kanisa kujihusiasha na siasa na hata hayati Mwalimu Nyerere alikuwa ara kwa mara akionya juu ya hili na tululiokuwa tukimsikiliza sasa tunaona matokeo yake.

Kanisa katoliki sasa hivi nchini Congo lipo busy pamoja na Ubelgiji kuhakikisha bwana Fayulu anakuwa raisi wa nchi hiyo kinyume na matakwa ya wananchi ambao ndo waloamua kupitia masanduku ya kura.

Si kwa Congo tu tumeona kanisa hili likifanya hivyo huko Zimbabwe na likashindwa na sasa kilo huko Congo.

Hapa Tanzania kanisa hili limejaribu sana hapo mwanzoni lilipoona maslahi yao yanaguswa lakini inaonekana kwa sasa kuna utulivu ingawa wapo maaskofu ambao bado wanasikiliza simu za Vatican.

Hizo zote ni juhudi za vita ya chinichini baina ya majasusi wa kitanzania na wale wa kanisa hilo kubwa duniani ambao wametapakaa kila pembe ya dunia.
 
Richard

Richard

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2006
Messages
10,070
Likes
6,864
Points
280
Richard

Richard

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2006
10,070 6,864 280
RC wako sahihi kabisa kukemea demokrasia kukanyagwa maana ingekuwa aibu sana wao kukaa kimya mambo yanapoenda vibaya maana yakitokea machafuko wao ndio huitwa kusuluhisha kma kipindi kile walivoitwa kutafuta suluhu ya tarehe gani uchaguzi ufanyike maana ilionekana wazi kabila hakutaka uchaguzi ufanyike kabisa. Hivyo kama kipindi kile waliitwa kuingilia huu mchakato sioni kwanini mchakato unapoisha wakiingilia waonekane watu wabaya!! na ni jambo la kushangaza sana watu humu JF kuwashangaa RC ilihali Hata huu uchaguzi wao ndio walioshinikiza ufanyike, wao ndio waliamua tarehe na wao ndio waliamua kabila asigombee tujikumbushe hayo mazungumzo

Congo's Catholic church warns Kabila deal risks falling apart | Reuters

Careful steps for Catholic Church tasked with pulling Congo back from crisis | Reuters

Hivyo conclusion yangu RC wana haki zote za kukekemea uchaguzi huu maana wao ndio waliuanzisha otherwise nachowashauri either wampe ushahidi Fayulu ili aende mahakamani kupinga urais wa Felix ama wawaite pamoja waunde serikali ya umoja wa kitaifa maana wakiendelea kuzozana mwisho wa siku faida itakuwa kwa kabila na wapinzani hawataaminika milele.

Cc forumyangu Freed Freed mtu chake Richard irakunda
Wabelgiji wamewekeza sana kwenye kanisa katoliki nchini Congo hivyo kanisa hilo haliwezi kuwaangusha kwa kukubali tu kirahisi kwamba Fayulu ameshindwa.

Mkuu, wakati mwingine tujaribu kufikiri kwa makini sana.
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,124
Likes
10,783
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,124 10,783 280
Hilo unalotaka wewe na hao RC haliwezekani.Eti kisa umeitwa kusuluhisha ugomvi wana ndoa amani ikapatikana basi unataka kila jambo wanalofanya unataka kujuwa na kutoa fatwah yako utaratibu huu uliona wapi.
RC ni sehemu ya jamii hivyo wanahaki wa kutafuta amani pale inapokosekana lakini haiwapi mamlaka ya kuingilia matokea uchaguzi mkuu na kumtaka ashinde mtu wao.
Imani zenu za dini zisiwatie upofu batili mkaita haki hii sio sawa zitto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naheshimu mawazo yako ila tuwekane sawa vitu vichache

Kwanza mie sina udini maana sio mkatoliki na sijawahi kuwa shabiki wa kanisa katoliki maana wana maovu kibao tu nyuma ya pazia however hapa suala ni kwamba je katoliki ana uhalali wa kuingilia mchakato wa uchaguzi??

Narudia tena mkuu kabila alishagoma kuachia madaraka na hata uchaguzi ulipigwa danadana nyingi toka 2016 ulikuwa haujulikani utafanyika lini

Baada ya vuta nkuvute nyingi hadi maandamano ya upinzani ndipo kanisa katoliki likaitwa kusuluhisha

Kanisa katoliki ndio likamshinikiza kabila asibadili katiba kujiongezea muhula,likamsihi asigombee tena,likamsihi asivuruge uchaguzi, na wakashauri iundwe serikali ya mpito na hata tarehe na mwaka wa uchaguzi uliamuliwa kwa kupitia ushauri wa RC

Sasa waanzilishi wa mchakato huu wanapoona makubaliano hayajafanyiwa kazi je wasiingilie??

Mkuu mie nilikuwa nina swali moja tu kwako.... Je kwanini kipindi Congo kuna mgogoro kivipi hamkulaani kanisa katoliki kuandaa mazungumzo na kuwapangia mfumo wa uchaguzi ila mnashangaa wanapokuja kufuatilia hitimisho la mchakato wao

Yaani walienda kutoa mahari,wakanunua pete ya bibi harusi,wakaandaa ukumbi wa kitchen party, wakatafuta gauni la bibi harusi alafu siku ya Harusi kukitokea sintofahamu ndio wakiingilia mshangae

Kwa maoni yangu naona tutakuwa tunawaonea
 
Mkuu,

Hapo ulipoeleza kwenye red ndo umekuwa mwisho wao kanisa hilo katika kutatua matatizo na si vinginevyo.

Kwanini sasa watake kuamua nani awe raisi?

Wanafanza hivyo kama nani maana tume ya uchuguzi si ipo na imetangaza matokeo?
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,124
Likes
10,783
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,124 10,783 280
Mkuu,

Hapo ulipoeleza kwenye red ndo umekuwa mwisho wao kanisa hilo katika kutatua matatizo na si vinginevyo.

Kwanini sasa watake kuamua nani awe raisi?

Wanafanza hivyo kama nani maana tume ya uchuguzi si ipo na imetangaza matokeo?
Mkuu Richard kwanza heshima kwako, je Unaposema hapo ndio mwisho ni wapi kanisa katoliki limepewa limits za kuingilia mchakato wa uchaguzi ilihali wao ndio wameuanzisha na kuufikisha hapo ulipo?? Je hizo limit ziliwekwa kwenye makubaliano??

Kiufupi wao kanisa katoliki waliingia kwenye mazungumzo ili kuhakikisha peaceful transition of power from kabila to whoever wins sasa wakati mchakato walioaunzisha na kuusimamia tokea mwanzo haujaisha wameona kuna kasoro hivyo wameingilia ili kuhakikisha yale waliokubaliana kwenye mazungumzo yanasimamiwa ikiwemo UCHAGUZI HURU NA HAKI sasa ambacho najiuliza je kwanini ionekane ni kosa wakati huu??

Sasa nina swali mkuu.... Je kwa maoni yako kwa mchakato ulioanzisha wewe na kuusimamia toka mwanzo ukiona kitu kimeenda sivyo ndivyo je utakaa kimya tu?? Na je ukiingilia utakuwa unakikuka taratibu??
 
forumyangu

forumyangu

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Messages
1,819
Likes
1,134
Points
280
Age
48
forumyangu

forumyangu

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2016
1,819 1,134 280
Mkuu Zitto junior kwa upeo wako sikutegemea kama bado hili suala hauoni makosa ya kanisa na wewe unavyoendelea kushinikiza unanitia mashaka maybe unanufaika for some how.Kama ungeelewa mfano wangu hapo juu Nadhani usingendika tena kuhusu uhalali wa kanisa katika uchaguzi mkuu, kwani Kongo kuna madhehebu na imani yao tu, Je vipi kuhusu imani zingine kama nao wakipinga matokeo ya RC.Kuna uwezekano wa kuzuka mgogoro. Yes.
Nani atakuwa sababu ya mgogoro huo? Jibu baki nalo

Kushiriki kwa mchakato mimi silipingi hilo ni jambo jema na zuri kabisa lakini unaposaidia katika jambo fulani suluhu inapopatikana si unawaachia wenyewe ili waendeshe mambo yao.Kama wanahitaji msaada wako utaitwa,
Sasa kanisa kuingilia watu wenye mamlaka ya kutangaza mshindi wa urais hapo inatia walakini au labda utuambie wana motive gani behind na huyu wanaemtaka wao.

Mfano wako ni dhaifu sana kulinganisha na matokeo ya uchaguzi mkuu,
Kabila nae kuamua kuruhusu uchaguzi ufanyike ni jambo busara sana alilolifanya kwani angekataa wangemfanya nini so unapowapongeza kanisa basi hata wengine wapongeze kwani katika meza ya mazungumzo walikuwepo.Kabila ndiye finals touch katika uchaguzi huu.Je vipi kabila nae angekataa matokeo ya uchaguzi na kumtangaza mtu anayemtaka yeye.
Uchaguzi umeisha Kongo tuwaache wajenge nchi yao ili wapate maendeleo usiniambie unataka kuishi katika maneno ya jiwe"Majirani wagombane sisi tuuze mahindi"
Mkuu naheshimu mawazo yako ila tuwekane sawa vitu vichache

Kwanza mie sina udini maana sio mkatoliki na sijawahi kuwa shabiki wa kanisa katoliki maana wana maovu kibao tu nyuma ya pazia however hapa suala ni kwamba je katoliki ana uhalali wa kuingilia mchakato wa uchaguzi??

Narudia tena mkuu kabila alishagoma kuachia madaraka na hata uchaguzi ulipigwa danadana nyingi toka 2016 ulikuwa haujulikani utafanyika lini

Baada ya vuta nkuvute nyingi hadi maandamano ya upinzani ndipo kanisa katoliki likaitwa kusuluhisha

Kanisa katoliki ndio likamshinikiza kabila asibadili katiba kujiongezea muhula,likamsihi asigombee tena,likamsihi asivuruge uchaguzi, na wakashauri iundwe serikali ya mpito na hata tarehe na mwaka wa uchaguzi uliamuliwa kwa kupitia ushauri wa RC

Sasa waanzilishi wa mchakato huu wanapoona makubaliano hayajafanyiwa kazi je wasiingilie??

Mkuu mie nilikuwa nina swali moja tu kwako.... Je kwanini kipindi Congo kuna mgogoro kivipi hamkulaani kanisa katoliki kuandaa mazungumzo na kuwapangia mfumo wa uchaguzi ila mnashangaa wanapokuja kufuatilia hitimisho la mchakato wao

Yaani walienda kutoa mahari,wakanunua pete ya bibi harusi,wakaandaa ukumbi wa kitchen party, wakatafuta gauni la bibi harusi alafu siku ya Harusi kukitokea sintofahamu ndio wakiingilia mshangae

Kwa maoni yangu naona tutakuwa tunawaonea
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,250,900
Members 481,523
Posts 29,750,093