Kanisa katoliki Congo lilikuwa na waangalizi 40,000 huku vituo vya kura vikiwa 70,000, sasa uhakika wa mshindi kila kituo wameutoa wapi?

F

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Messages
2,245
Likes
1,731
Points
280
F

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2017
2,245 1,731 280
Wadau nisiongee mengi, inakuwaje uwe na waangalizi 40000 huku vituo vikiwa zaidi ya Elfu 70, kwa maana hawakuwa na waangalizi vituo zaidi ya elfu 30.

Sasa hiki kiburi cha kumjua mshindi halali kinatoka wapi wadau?
 
M

MaxMase

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2008
Messages
596
Likes
467
Points
80
M

MaxMase

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2008
596 467 80
Waangalizi wa kimataifa au?? Kama ni hao huwa haendi kila kitu wanafanya sampling tu ya vituo na baadhi ya maeneo
 
F

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Messages
2,245
Likes
1,731
Points
280
F

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2017
2,245 1,731 280
Waangalizi wa kimataifa au?? Kama ni hao huwa haendi kila kitu wanafanya sampling tu ya vituo na baadhi ya maeneo
Sasa uchaguzi unadiriki kufanya sampling kweli?
 
mulwanaka

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
1,988
Likes
3,853
Points
280
Age
34
mulwanaka

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
1,988 3,853 280
Wadau nisiongee mengi, inakuwaje uwe na waangalizi 40000 huku vituo vikiwa zaidi ya Elfu 70, kwa maana hawakuwa na waangalizi vituo zaidi ya elfu 30.

Sasa hiki kiburi cha kumjua mshindi halali kinatoka wapi wadau?
Wewe hujui nguvu ya kanisa katoliki Congo.....ile ni "state within astate" kuna sehemu za Congo unatumia rada ya kanisa kutua naserikali unaomba msaada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Messages
707
Likes
632
Points
180
R

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2017
707 632 180
Wadau nisiongee mengi, inakuwaje uwe na waangalizi 40000 huku vituo vikiwa zaidi ya Elfu 70, kwa maana hawakuwa na waangalizi vituo zaidi ya elfu 30.

Sasa hiki kiburi cha kumjua mshindi halali kinatoka wapi wadau?
Where did you get those numbers?
 
Mag3

Mag3

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Messages
9,976
Likes
8,299
Points
280
Mag3

Mag3

JF-Expert Member
Joined May 31, 2008
9,976 8,299 280
Wadau nisiongee mengi, inakuwaje uwe na waangalizi 40000 huku vituo vikiwa zaidi ya Elfu 70, kwa maana hawakuwa na waangalizi vituo zaidi ya elfu 30.

Sasa hiki kiburi cha kumjua mshindi halali kinatoka wapi wadau?
Elimu, elimu, elimu. Katika karne hii ya teknolojia sikutegemea watu kama wewe kuendelea kuwepo. Hata hivyo katika Tanzania yetu hii haiwezi kuwa ajabu.
 
K

kinsakina

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Messages
270
Likes
180
Points
60
K

kinsakina

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2016
270 180 60
Wadau nisiongee mengi, inakuwaje uwe na waangalizi 40000 huku vituo vikiwa zaidi ya Elfu 70, kwa maana hawakuwa na waangalizi vituo zaidi ya elfu 30.

Sasa hiki kiburi cha kumjua mshindi halali kinatoka wapi wadau?
we achana na mambo ya kongo kasaidie kubangua korosho
 
S

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Messages
4,499
Likes
7,441
Points
280
S

Sexless

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2017
4,499 7,441 280
Wakatoliki wa congo wanajielewa sana!
Sio hapa bongo akina nani sijui walikuwa kwenye kashfa ya escrow!
Akina "mwanya". Wadanganyika wengi wanaita " pengo". Simpendi huyu mzee mm..! Sijui kala maharage ya wapi yule?? (In Gwajima's voice)
 
Membejr

Membejr

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2017
Messages
2,009
Likes
1,496
Points
280
Membejr

Membejr

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2017
2,009 1,496 280
Wadau nisiongee mengi, inakuwaje uwe na waangalizi 40000 huku vituo vikiwa zaidi ya Elfu 70, kwa maana hawakuwa na waangalizi vituo zaidi ya elfu 30.

Sasa hiki kiburi cha kumjua mshindi halali kinatoka wapi wadau?
Hasara ya kukimbia hesabu hii, kwahiyo unashindwa kuelewa kuwa hiyo 40,000 ni zaidi ya ½ ya hivyo vituo 70,000? Kwanini ushindwe kufanya approximation?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
4,655
Likes
6,365
Points
280
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2013
4,655 6,365 280
Issue hapa ni je!baada ya kuona wenzetu wamejitahidi wamefanya sisi nasi tutaweza 2020?maana kama kulikuwa na Kanisa au hakukuwa na Kanisa siyo habari tena coz wao tayari wameshafanikiwa na sasa wataonja ladha mpya ya uongozi shughuli ipo kwetu waliopo hatujui kama ndiyo wanaofaa au wasiyokuwepo ndiyo wanaofaa!ajabu sana hii.

Ngoma bado mbichi kabisa hii.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
New City

New City

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2014
Messages
1,233
Likes
714
Points
280
New City

New City

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2014
1,233 714 280
Ukisoma replies za hii mada unapata picha kwa nini waafrika tupo hapa tulipo.
Linapokuja tamko la kiongozi wa dini huku Africa basi wote huwa twageuka kuku wa mdondo hatutumii tena akili zetu kuchangua mambo
Upuuzi kama huu kanisa hauwezi kuusema huko Luxembourg, france,Britain wala USA
Wanalazimisha mkatoliki mwenzao ndie awe mshindi
Sasa sijui wana tofauti gani na kina ccm yetu
 
F

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Messages
2,245
Likes
1,731
Points
280
F

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2017
2,245 1,731 280
Hasara ya kukimbia hesabu hii, kwahiyo unashindwa kuelewa kuwa hiyo 40,000 ni zaidi ya ½ ya hivyo vituo 70,000? Kwanini ushindwe kufanya approximation?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi ambapo kura moja ni kubwa mno hakuhitaji approximation.
 
F

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Messages
2,245
Likes
1,731
Points
280
F

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2017
2,245 1,731 280
Ile manowari ya US iliyosogea karibu na DRC imechangia mshindi halali kutangazwa. Hiyo 2020 tutaomba isogee na hapa ili Matokeo halali yatangazwe.
Usiogope, omba
 
Forum statistics

Threads 1,250,884
Members 481,523
Posts 29,749,538