jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
mimi n muumini mwema, najua humu wapo wenye kuweza kusaidia...aisee Nina shida na contact za kanisa katoliki LA kisarawe
kwa yyte mwenye mawasiliano na mapadre Wa pale tafathari...Nina shida muhimu sana
Niko mbali mkoan siwez fika kwa urahisi
kwa yyte mwenye mawasiliano na mapadre Wa pale tafathari...Nina shida muhimu sana
Niko mbali mkoan siwez fika kwa urahisi