Ndo uandike sasa, nimekwambia mtwara makusudi, tatizo watu wa Dar mnahisi wote tupo hapo.asante kwa dar namaanisha
Kwani uko Dar sehemu gani?Natamani kuwa karibu na Mungu zaidi..maana kazi hua haziishi na muda unabana
msaada ni wapi naeza kusali asubuhi au jioni weekdays tafadhalini.
asanteni.
Ni ulimbukeni tu na ushamba mkuuNdo uandike sasa, nimekwambia mtwara makusudi, tatizo watu wa Dar mnahisi wote tupo hapo.
KariakooKwani uko Dar sehemu gani?
sorryNi ulimbukeni tu na ushamba mkuu
Ulizia usharika wa kariakoo hapoKariakoo
kariakoo hua ni asubuh sangap?kariakoo, kijitonyama, Azania, Kimara.
asante kwa ushauri kaka mkubwaUlizia usharika wa kariakoo hapo
Karikoo sa 12 kamili asubuhi.kariakoo hua ni asubuh sangap?
kimara kwa sasa sina ratiba zao
unaeza kunisaidia mkuu?
kariakoo hua ni asubuh sangap?
kimara kwa sasa sina ratiba zao
unaeza kunisaidia mkuu?
Sio zote. Kijitonyama inaanza 0530Morning Glory inaanza saa 11 asubuhi mkuu ,sharika zote
i love you....BE blessedKimara hakuna Morning wala Evening Groly ila kuanzia tar 7/nov kutakuwa na Ibada kila jioni za Mfungo wa siku 40
asante LeloKarikoo sa 12 kamili asubuhi.
Ameni love you....BE blessed