Kuna binti nilikuwa namfukuzia, sasa mara ghafla akaanza tabia ya kuniomba vocha na hela, nimempa kama mara mbili hivi vocha za elfu 2. Sasa juzi kanitumia text eti kama nina elfu kumi kwenye tigo pesa nimtumie, me nikausoma mchezo nikajisemea Huyu sijamtomba bado afu anaanza kuniletea invoice zisizo na kichwa wala miguu, on the spot nikamjibu sina hiyo hela.
Cha ajabu toka siku hiyo hajanitafuta wala mimi nikimpigia simu hapokei.
Achana naye, mdangaji huyo. Hana mapenzi ya kweli, shida yake hela yako tu. Wanawake sijui wakoje wallah! Mie nilimtokea mmoja akanitolea nje eti ana mchumba wake. Siku moja ananitext eti nimuongezee 10,000 afanye biashara ndogondogo!!!!! Ovyoooo
Halafu siku hizi hawa viumbe wamezidisha mizinga,na ukiwaambia hauna unaliwa bati,TRA inabidi waangalie upande waanze kukusanya mapato na huku kwenye mizinga