Kanipigia simu anaomba kesho Jumapili tuonane

Kanipigia simu anaomba kesho Jumapili tuonane

Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
2,304
Reaction score
780
Jamani hapa kinachotakiwa kwangu ni ushauri wenu tu basi.

Nikirejea nyuma kidogo kuna yule mdada niliyewahi kuwapa story zake hapa kuwa nilimlipia nauli kwenye daladala then jamaa yake akanirudishia shs Elfu 5, baada ya siku kadhaa tukaonana tena akaninunulia na bua moja ya kusindikiza lunch, baadae akanitambulisha tena kwa jamaa yake.

Jamaa akaniangalia kwa dharau sana hadi nikatamani kumnasa makofi baadae nikagundua kumbe dharau zake ni kwa sababu anamiliki bastola.

Hiyo sio habar niliyokuja nayo leo...hapo nilikuwa najaribu kuwarudisha nyuma ili muelewe ninachotaka kukiuliza kwenu, kama mtakumbuka yule mdafada alinipa simu yake nikaandika namba za simu yangu.

Sasa leo kwenye saa 5 hivi asubuhi kanipigia na kuniomba kuwa nifanye niwezavyo lakini nihakikishe kesho tunaonana, sasa hicho ndo ninachoomba ushauri kwenu wakuu, hivi niende au nisiende maana nahofia isijekuwa naingizwa kwenye mtego mbaya.
 
Nenda...ushaandaliwa fumanizi, na hivyo jamaa ana bastola...Kabang wanakukula, wanakufotoa halafu wanakwambia uwalipe pesa ili wasituwekee picha zako hapa JF....!

Nenda salama baba....! usisahau KY ya akiba....!
 
watu wengne wanajitakia matatizo..... Inamaana ww umeshindwa kupata dem mwingne? Mbona hata humu jf wamejaa tu.
 
nenda kagegede nzi kufia kwenye kidonda halali yake...ila jamaa akikudaka shauri ako jiandae kuliwa takko

Hivi fumanizi likitokea why hamumsaidii mchepuko?mnauchuna tu huku mwenzio ana dhalilishwa..
 
Labda ungesema upewe tittle ya next thread baada ya kuonana na huyo bidada, napendekeza hii" jamani yaliyonikuta mwenzenu najuta".
 
Muulize ana shida gn na angalia mazingira© wasije wakala kiboga hicho!
 
watu wengne wanajitakia matatizo..... Inamaana ww umeshindwa kupata dem mwingne? Mbona hata humu jf wamejaa tu.

Tatizo wa humu nashindwa kuwaelewa inawezekana wengi wao wamewahiwa
 
Nenda...ushaandaliwa fumanizi, na hivyo jamaa ana bastola...Kabang wanakukula, wanakufotoa halafu wanakwambia uwalipe pesa ili wasituwekee picha zako hapa JF....!

Nenda salama baba....! usisahau KY ya akiba....!

Kinachonitisha ni hiyo bastola
 
yyaani wewe unaambiwa ufanye juu chini muonane kesho , wewe unakimbilia kufungua thread humu............

nenda kale mzigo , huyo jamaa ake atakuwa anaikumbatia bastola badala ya kumla vizuri.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom