Kanipa Deadline either nikajitambulishe kwao au tuachane.

Kanipa Deadline either nikajitambulishe kwao au tuachane.

Bora tu ukuforce akikuchekea wewe utamuita mchumba hata 10rears....
 
Nimekuwa kwenye uhusiano na mpenzi wa roho yangu kwa takriban miaka mitatu.
Kwa kipindi chote hicho tumekuwa tukiishi mikoa tofauti. Yeye anafanya kazi Babati na mimi nafanya kazi Dodoma.
Licha ya umbali uliopo tumeishi kwa upendo na kuaminiana na hata ndugu na wazazi wanajua kuhusu uhusiano wetu tukitarajia kuja kufunga ndoa baadae.
Siku za karibuni amekuwa akisisitiza sana nikatoe mahali kwao nami nikawa namuambia sawa tutafanya hivyo na nimemueleza sababu ya kuchelewa ni matatizo ya kifamilia yanayonikabili.
Ghafla wiki iliyopita alikata mawasiliano na hataki pokea simu yangu wala kujibu sms.
jana nimekaa nawaza akanitumia sms kuwa nadhani nishaamua kama namhitaji niende kwao Marangu kabla ya tar 25 mwezi huu vinginevyo simuhitaji.
Kweli nimeishiwa nguvu kwa kuwa sidhani kama kwenda kwao kwa kuforce kwa deadline ni vyema. Anajua kuwa nampenda sana lakini sasa hakuna my love wala sweet.. Ni mwendo wa hey na hello yan full ubabe. Nishaurini wakuu maana natarajia kwenda lakini kwa sasa sijajipanga kusema kweli.

Kama kweli unampenda kwa dhati katoe mahali acha kumpotezea mwenzako muda.Ujue huyo ni binti ina maana anapata offer mbalimbali anazikataa kwa ajili yako halafu hueleweki!Pia ujue wanawake wana muda maalumu ukishapita kuolewa inakuwa shida.Mara nyingi sana utakuta Babu ameoa mrembo wa 20 yrs na jamii isishangae lakini kwa wanawake(mbibi) kuchukua kijana mdogo inakuwa gumzo.Usimpotezee mdada wa watu muda kama hauko tayari muache naye apate mme wake mapema.
 
Ukome,nenda kajitambulishe....alaaaah!!!unamgegeda mtoto wa watu bure bure tuuu...........:mvutaji:
 
Kaka umeongea kwa huruma hadi nmekuonea huruma dah... Nenda kabla ya deadline..kiruu maee mchaga kasimamisha kope hataki usengerema..hahahaha
 
Kaka umeongea kwa huruma hadi nmekuonea huruma dah... Nenda kabla ya deadline..kiruu maee mchaga kasimamisha kope hataki usengerema..hahahaha
Swts akienda si atakuwa amejiwekea kitanzi...kila siku ataishi kwa deadlines...maisha yake yote. Mshauri tu atafute mwingine aanze upya.
 
Last edited by a moderator:
in lyf,make decsn ambayo utakua tayar kuish nayo milele na c kuwekewa mashart na mtu
 
...sasa bro,,, ulichokosa ni hakuna my love wala sweet.. Ni mwendo wa hey na hello yan full ubabe...
Hahahahaaaa.... ila usikubali kusukumwa, dinda kwenye msimamo wako,,, kuwa utakwenda kwa taratibu ulizopanga wewe...au mlizokubaliana awali......kuna siku utanyimwa kitu usipofanya kitu,si ameona hilo umetekeleza.
Kaa nae mbembeleze, zungumza nae kimahaba.. weka mda ambao unahakikisha u will....isiwe mbali saaaana....
 
Swts akienda si atakuwa amejiwekea kitanzi...kila siku ataishi kwa deadlines...maisha yake yote. Mshauri tu atafute mwingine aanze upya.

madai yake ndo muke wa maisha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom