Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,991
- 54,123
Ukishacomfirm kwenda Marangu unijulishe mkuu, usikute mimi ni shemeji yako
Yaani pamoja technolojia ya sasa, miaka mitatu unamchunguza mtu ambaye ukiingia FB unaweza jua hata akiwazalo.
Wee nawe hata hueleweki, mara ushapata mara bado watafuta. Sasa take ur pick from a dozen nyamwezis. kuna The Boss, Sikonge Fighter, mzabzab KIKUNGU, Boflo, ITEGAMATWI, monaco, @hkigwangala, Shardcole na waburushi fulani hivi wana indício na The Boss.
unanitaja mara mbili mbili hapo au ndo msisitizo?
sikujua mzabzab ni mnyamwezi dah
unaweza kata rufaa lol
Kama unampenda muonyeshe kwa vitendo si kwa maneno tu kumpata mwingine utakayempenda kiasi hicho ni kazi sana, chakarika mwanaume uende Marangu ukatoe mahari.
unanitaja mara mbili mbili hapo au ndo msisitizo?
sikujua mzabzab ni mnyamwezi dah
unaweza kata rufaa lol
Hebu msindikize ukweni na wimbo basi..sijui songi gani litamfaa...
Hahaha..aisee kumbe wanyamwezi ndo mko hivyo??? nice to know nimuonye dada yangu awaepuke.
Cc: Asnam na Kipipi
Smile, ebu kam zis wei to uchagani...
On second thought: nadhani hawa watu hawana communication ama ni kama mzabzab anavyopenda kusema hakunaga kitu distance relationship! Mimi siwezi kuwekewa ultimatum za tarehe..at least am sure halitoweza kutokea kama tunazungumza na anajua what is going on...yani tupo in sync!!!

ukiona hivyo pengine na yeye anaulizwa,muda wowote huo hakuna mabadiliko?au kuna mtu anamfukuzia kwa kasi na ahadi teletele,yeye hajajua aamue vipi.fanya kweli bwana na yeye ajijue yupo position gani,ukiangalia mapenzi ya mbali.matatizo kila siku yapo.sio umgegede tu miaka nenda miaka rudi