Na kanitoa kwa ofisi, kweli huu urafiki wa mashaka mashaka
Alikuja kugundua baadae anaweza mkaba ndo maana alivyo fika kwenye plot akamwita tena amrushe roho.
Ulipotoka kwenda kwenye maji alijua kuwa unaleta "wazee wa kazi" walambe hiyo pesa!..na huenda alikuona unawabipbip watu kadha akajua itakula kwake, dawa ni kukutosa hadi afike kwa mwenye kiwanja..!
Ni hivyo tu, na si tofauti!
wewe ni he au sheMwaya binafsi nimeshangaa!
Ila wewe marafiki zako wote wa mashaka mashaka.
Yule jamaa aliomba afikie kwako mlimalizana vp?
wewe ni he au she
ulipotoka kwenda kwenye maji alijua kuwa unaleta "wazee wa kazi" walambe hiyo pesa!..na huenda alikuona unawabipbip watu kadha akajua itakula kwake, dawa ni kukutosa hadi afike kwa mwenye kiwanja..!
Ni hivyo tu, na si tofauti!
Yupi tena huyo Fide?
Yupi tena huyo Fide?
Yule rafiki ambae hakupigii cmu anakupigia anapo taka kuja kulala kwako.
Cku hizi anapiga sijui naye ni member huku maana mh, baada ya hapa na kuapply baath za ushauri za humu.. mh ameelewa kwamba ni 2 way trafic.
Angalia linaweza kuwa limejirudi ili lipate kitu roho inapenda shauri yako. Alafu likakuachia vidonda rohoni.
Aliogopa kwa utamuibia au utaita majambawazi yachukue hiyo pesa.
usiumie sana.
cjawahi iba hata cent... Yeye tu na vijicent vyake kaviona labda vingilabda unatabia ya wizi so alivyokumbuka umeona anapesa akajua uzalendo utakushinda akaamua kusepa
alikuwa anapunguza idadi ya mashaiidi, maana siku hizi kila shaidi kuweka saini ni elfu 50Rafiki yangu kaniomba nimsindikize benki achukue pesa akanunue kiwanja kaenda kaunta kachukua pesa kanituma nikamnunulie maji akidai ananisubiri hapo ndani ya benki kwani kuna receipt anaingojea.
Narudi simkuti nampigia cm hapokei, baada kama ya robo saa ananipigia cm eti alishaondoka nimfuate huko anakonunua kiwanja.
Hapa nikaanza jiuliza huyu kaomba lift yangu huko tena kaenda nanani?
Na kwanini anitoroke?
Jamani wana JF huyu anamaana gani?