Cjakuelewa kilichokuwa kinakupa mashaka ni kumsogelea huyo dada au kuonekana na huyo dada unanunua boxer ya mtumba
A man's confidence only pays when everything else just stays away in his life
Kuna mtu ni chokambaya ila kwa confidence yake tu.....utampenda bureeeee
Nilipomuona mdada anakuja kwa mbali huku akinengua,basi mimi nikamrushia muuza mitumba boksa yake na kuanza kutembea huku nazuga ili mdada asinishtukie.......Huju jamaa muuza mitumba si akaanza kunikimbilia huku kaishika ile boksa juu....eti, "sema kaka una shilingi ngapi" Najifanya kama sio mimi vile mara akanipita akasimama mbele yangu, "Haya nipe basi hiyo buku mbili" bint huyu hapa kashafika, alichokifanya ni kunitabasamia tu.
Kweli.? Mi kabla ya kupata papuchi haipo
benteke sasa unachanganyikiwa dude!Nilipomuona mdada anakuja kwa mbali huku akinengua,basi mimi nikamrushia muuza mitumba boksa yake na kuanza kutembea huku nazuga ili mdada asinishtukie.......Huju jamaa muuza mitumba si akaanza kunikimbilia huku kaishika ile boksa juu....eti, "sema kaka una shilingi ngapi" Najifanya kama sio mimi vile mara akanipita akasimama mbele yangu, "Haya nipe basi hiyo buku mbili" bint huyu hapa kashafika, alichokifanya ni kunitabasamia tu.
hahahaha...noma sana,bila shaka kwa aibu ukaiacha na chinga kakupunguzia hadi buku mbiliNilipomuona mdada anakuja kwa mbali huku akinengua,basi mimi nikamrushia muuza mitumba boksa yake na kuanza kutembea huku nazuga ili mdada asinishtukie.......Huju jamaa muuza mitumba si akaanza kunikimbilia huku kaishika ile boksa juu....eti, "sema kaka una shilingi ngapi" Najifanya kama sio mimi vile mara akanipita akasimama mbele yangu, "Haya nipe basi hiyo buku mbili" bint huyu hapa kashafika, alichokifanya ni kunitabasamia tu.
Benteke na siku hizi wanawake wanapenda wanaume ambao wana self confidence mara ya kwanza kuonana asa michechezo huo mgegedo utakuwa unaiusikia kwa wenzio wanaojua kukamatia fursa