Kanikasirikia kisa sijaenda nae Harusini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kanikasirikia kisa sijaenda nae Harusini

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Shark, Jun 9, 2012.

 1. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,104
  Likes Received: 7,356
  Trophy Points: 280
  Wadau,

  Nina shemeji/wifi yenu ambae bado hatujafunga ndoa kutokana na ratiba kumbana kila mmoja wetu.

  Mnamo mwezi Miezi ya hivi karibuni kumekua na harusi mbili zinazohusu watu wa ofisini, nami nimekua nikienda nae. Ukweli katika harusi zote hizo, staff wenzangu wamekua wakija peke yao harusini Na hata kufikia baadhi kunisema why naambatana nae kila mahali

  Sasa leo tena kuna staff mwenzetu anaoa nami nimeamua nimtose kuepuka vijembe jumatatu ofisini. Toka saa 12 jioni meseji nazitumiwa na shemeji/wifi yenu huyu zinanichanganya sana, zilianza meseji za vitisho, zikaja Za maombi, kisha za lawama, sasa ni za maombi tena.

  Hivi ni lazima niambatane nae kila harusi?? Staff wenzangu watanipiga vijembe kwani wao always huja "single"
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  sasa staffs wenzio wanaingia vipi na 'mkataba wa kwako na mwenzio'?

  usipoenda nae ana haki ya kulalamika

  1 anaweza kuona unamuona 'anakuabisha' mbele za watu

  2. au una mwingine unaenda nae,hasa staff mwenzio wa kike

  kama ni mke mtarajiwa 'muombe samahani na uende nae'

  ukiuugua atakuuguza huyu au utaita staffs wenzi wakuuguze?
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  The Boss jumapili huwa una busara!

  Sir.Burn umenidisappoint, kumbe wewe bado unaishi jinsi watu wanavyotaka?

  Jiweke upande wake, anaenda party wewe wataka kwenda naye halafu yeye akukatalie just because wakaka wa ofisini wanamtania. Kua basi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wewe unataka burudisha workmates wako... kuwa true to urself bana. mwanzoni ulikuwa wafanya vizuri kabisa. haman gesture nzuri duniani kama kumtambulisha partner/wife to be kwa marafiki na close associates. inamuonyesha kuwa kweli wewe u not ashamed to be seen with her.
   
 5. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Sir. Burn, jamani kwani kuna ubaya kwenda naye if at ol u luv her kuna ubaya gani kwenda naye, why do u live kwa kufuatisha watu, live your life with ur woman, hao wanaokupa vijembe ukienda na chick wako, waambie wakupe na kinu cha kutwangia! aaarrrrggghhhh! pathetic!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. y

  yaliyomo yamo Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman hii ni nin sasa yan umesemaje? Umeamua kumtosa kwakua waogopa vjembe vya mabest wako.we umeambiwa na nan bnadam wanapenda maendelea ya wenzao ao wanaokuja cngo kuwez jua hawana wakujanao so wanaona we unafaid,kwaio ata waksema leo ucmpgie cm uyo mtarajiwa wako nnavokuona wewe hushndw kuacha kumpgia.ao rafk wamekua wazaz kusema wanakuachia radh au!
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,104
  Likes Received: 7,356
  Trophy Points: 280
  Sio wakaka tu Kaunga, hata wadada pia, Na hawa ndio zaidi.
  Wanafikia hata kusema kua kwani wao hawana wenza mpaka wamekuja alone??

  Yaani kifupi nilivyosumbuliwa ofisini kwa zile harusi za mwanzo sina hamu tena
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo wewe unaishi kwa kuangaliawatu wanakusemaje?

  Unaishi maisha yako au u aishi kwa ajili ya staff wenzio?

  Kwa hiyo staff wenzio wakikwambia muache huyo mwanamke hafai utamuacha?

  Pole kwa huyo wifi/shemeji yetu


  khaaaaaaaaaaaaaaa
   
 9. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  why should you be bothered na vijembe vya ofisini? it is not their goddamn business who you come to the party with... au mkuu huwa unatoa mchango wa 'single' halafu mnazamia double?
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  Badala ya kuishi wew utakavyo unaishi wao watakavyo? Halafu wewe ndo 'mume' mtarajiwa, unayetegemea kuendesha familia?

  Kwani wakikusema unachubuka?
  Au wanataka nini kutoka kwako mpaka wanaona wifi/shemeji anawazibia?

  Na toka wameanza kukusema umebadilika nini? Umechubuka ngozi? mifupa imeacha nyama? Au.......?

  Kama mwanaume unapaswa kuwa na maamuzi yako binafsi na uyasimamie.....
  Na si kufuata 'staff' wanasema nini..........

  Hata huko maofisini jamani, kuwe na limit za mahusiano/mawasiliano, ukiruhusu wakujue saaana matokeo yake ndo hayo.....


   
 11. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Najua ni kina dada zaidi, na hii inaonesha jinsi gani ulivyo weak.

  I know ur kind kwani tunao hata sisi kwetu. You can go extra mile kumsaidia mdada wa ofisini lakini si mpenzio au mkeo. Nikuibie siri sasa, yaani huwa tunawadharau sana wanaume wa design hiyo, na tunawaadmire sana wanaume ambao wako close na their loved ones.

  So usinadilike to the worse, be ur old self bwana.

  Now be a good boy n call that mchumba of ur n apologize!
   
 12. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,104
  Likes Received: 7,356
  Trophy Points: 280
  Yeye anapenda sana kujuana Na staff wenzangu wakati wake siwajui.

  Sometimes anaombaga ruhusa kwao ms kuja kushinda ofisini kwangu.

  Nlichomuuliza tu ni kua katika harusi mbili alizohudhuria, ameshaona hata mmoja kaja Na partner wake??

  Maana akishazoena Na watu wa ofisini ndio mwanzo wa kupeana umbea
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  usiibie watu siri zoote hapa lol..
  nitaanza kuwa 'common' lol
  nataka ni remain 'exceptional' lol
   
 14. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Mimi nasema chagua kati ya mambo 2: nenda na mkeo kwenye arusi au wewe na yeye msiende. Kama utachagua option na 2 hakikisha unatumia muda huo(wa harusi) kuwa na mkeo, unaweza kutoka naye out.
   
 15. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,104
  Likes Received: 7,356
  Trophy Points: 280
  BT,
  Tunachukua meza moja Kama familia moja from ofisini.
  Story tunazopiga zinaendana, pia tunajuana na tumezoeana.

  Hata utani mbalimbali tunataniana pia.

  Ila katika sisi wanane, mmoja sio mwenzetu bali mwenzangu tu. Hajawazoea waliobaki, wala nao hawajamzoea pia.

  Hawamtanii wala hawatanii pia.

  Yuko bored nao, so labda atachezea simu muda wote, au aniongeleshe mimi anaenijua.

  Ni nini sasa hii???
  Binamu yake anashiriki Miss Dar City Centre leo, so nimemruhusu aende huko akampe support, HATAKI!!!
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Ni jambo la ajabu sana kuruhusu watu kuingilia maisha yako binafsi!That a shame!
   
 17. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Umechemka mbaya! Ni stahili kwake kulalamika! Marafiki zako ni wapuuzi, na wala katika maisha yako usiishi kwa kufuata maelekezo ya marafiki zako.
   
 18. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha, halooooow!

  Na wewe ni wale wale, kwanza hujanitimizia ile ahadi! LOL
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  ukiona hivyo ujue wife first..lol
  zamu yako itafika tu...subra lol
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280

  kama mpenzi wako ana interest na 'party' za ofisini kwenu
  na haboreki....ili kumsaidia mtambulishe kwa watu wako wa ofisi..
  ikiwezekana hata kuwa invite home au out pamoja na the few friends
  ili next time asiboreke...aweze ku chit chat na marafiki zako
   
Loading...