Kanikasirikia kisa sijaenda nae Harusini

Wadau ndio narudi now from harusini.

So sad . . . .

But kama nlivyowaambia, hakuna hata mmoja aliekuja Na partner wake na story zimenoga poa tu.

KWA HIYO UMEJISIKIA RAHAAAAAA KUNOGESHA STORY NA KUHARIBU PENZI LAKO?

Nimejaribu kuchokoza kwa kuwaulizia akina dada walipo mashemeji but mmoja alinijibu "haimuhusu" (huyo partner wake), mwingine akadakia "kwani tuko nae kazini"????

KWA MAJIBU KAMA HAYA USHAJUA AINA YA MAHUSIANO YAO....... Wengine uhusiano wao ni
vurugu mechi.......... Nawe kwa kuamini maneno ya kuambiwa unaingia kichwa kichwa?
Kesho wakikuambia muache msichana wako hamuendani utamuacha?

Zamani mwanamke akiwa kwenye uhusiano/ndoa/uchumba alikuwa akiambiwa tahadhari maneno ya watu, usije achika, lakini inasikitisha kama tahadhari hizo inabidi kuwaambia wanaume!!!!


Kukikucha ntamcheki shemeji/wifi yenu kuomba msamaha zaidi

umuombe msamaha kwa kosa gani?
Kwa kwenda peke yako harusini? Au...????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom