Kaniharibia siku yangu leo


asante kwa kunisaidia, ukiangalia, mkiangalia comment zake majukwaa yote ni comment kashfa mbaya zaidi anashanganya wana jf wote.ana lake jambo si bure.... kama mada imekukwanza achana nayo au mtumie pm ajirekebishi kwan tupo mafunzon na kila siku tunajifunza sikatai kukosolewa ila nakataa kashfa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…