Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Basi afate hicho hicho kitamukwa sababu ex w
ake ana kitumbua kitamu
Basi afate hicho hicho kitamukwa sababu ex w
ake ana kitumbua kitamu
Ukiona mumeo amekwenda kula kwa mamantilie ujuwe mapishi yako sio mazuri. Na ukimuona amekucheat ujuwe kitandani haupo mzuri.
uyu atakua ndo uyoo unaempenda mana ameandika kwa mizuka balaa,,,,alaf izo her ziko kila mahali khaaa
Haaahaaaa...I think here tunahitajika zaidi because majanga hayaishi..( just kidding ) Haaaaahaaa.... Thanks...Jamani! Jamani! Mda wote deile nawaona tu huku jukwaa la MMU, msisahau kuwa kuna majukwaa mengine pia yenye mada motomoto!!.... Kwenye jukwa la mambo ya sayansi kule leo tunadiscuss sayari fulani ambayo inaweza kuigonga dunia mda wowote kutoka sasa hivi na kusababisha majanga makuu ila nimefuatilia hakuna mdada hata mmoja amechangia kule, it is shame!
Love is sweet!Haaahaaaa...I think here tunahitajika because majanga hayaishi..( just kidding ) Haaaaahaaa.... Thanks...
Always.. Thanks..Love is sweet!
Hahaha soo true if you make a mistake out of audacity correct it with more audacity,uki kubali kosa utazidi muumiza na hatokusamehe ww endelea kubisha ata elewa tuKosa kubwa ulilolifanya Ni kukubali kosa..we Omba msamaha hadi atakubali Ila uwe unalideny kosa polepole, usichoke kuomba msamaha kila mda hadi ajue upo serious
26 bado mdomo.. tafuta mwingine... wakuoa unamjua wewe... huyo siyo ndiyo maana kasepa... na wewe siyo ndiyo maana ume cheat.
I honestly if I was her... I wouldn't take you back.. Dear you didn't love her or thought that she was a wife material .. If you did love her and want what the best for her usingefanya hivyo ulivyofanya to her.. Honestly you deserve kuachwa dear ... Si ulimuona Ex wako wa thamani go and marry her then.. People like you mnaniuziiiii hadi basi... Aghhrrr... Leave her alone .. Maana some of you guys mkishaanzaga kucheat na Ex it will always be like that who wants kuumizwa kila wakati na kupotezewa muda ... Jenga msimamo dear , just for you to sleep with your Ex it shows that how weak you are .. Msimamo zero.. Don't play with women's heart.. It will cost you one day ... Think what you want first before hujaenda kummbugudhi dada wa watu ... Take care.. Thanks..
Kuchitiwa inauma saana haswaaa anaekuchti akiwa mnafiki tena kwa mgongo wa dini atiii, ,,, lakini wewe kumchiti unaelala nae hapo swadaataaaHahaaaa... Nzuri mpendwa.. Happy Sunday.. Kuchitiwa inauma sana Kaka unless kama hujammpenda yule mtu , sijui wengine but to me inauma kuchitiwa .. No hakuna cha kupitiwa wala shetani alinipitia , maana these are excuses cheaters are using, Noooo kwa kweli .. Haiwezekani nijitunze andthen mwenzangu hajitunzi anatembeza tuu like a new car , once I know I am gone for good.. Halafu haajamuoa amefanya hivyo je akija kumuoa si ndio headaches every day ,mmh uuh, uuh No, no, no.. I pray that huyo Dada not to take him back .. But aamsamehe tuu.. Thanks..
Haaahaaa.... I see you can't do nothing in this world without chasing after Loveissweet haahaaahaa..... Get your facts straight before you jump on the Train that you don't know where it came from and where is going...hahaaahaaaaKuchitiwa inauma saana haswaaa anaekuchti akiwa mnafiki tena kwa mgongo wa dini atiii, ,,, lakini wewe kumchiti unaelala nae hapo swadaataaa
Aaaaahhhh
Huyu Mungu aitwe Mungu tu maana kwa unafiki wetu huu ni hatareeee.
[emoji12] [emoji12] [emoji12]