Hahaaaa... Nzuri mpendwa.. Happy Sunday.. Kuchitiwa inauma sana Kaka unless kama hujammpenda yule mtu , sijui wengine but to me inauma kuchitiwa .. No hakuna cha kupitiwa wala shetani alinipitia , maana these are excuses cheaters are using, Noooo kwa kweli .. Haiwezekani nijitunze andthen mwenzangu hajitunzi anatembeza tuu like a new car , once I know I am gone for good.. Halafu haajamuoa amefanya hivyo je akija kumuoa si ndio headaches every day ,mmh uuh, uuh No, no, no.. I pray that huyo Dada not to take him back .. But aamsamehe tuu.. Thanks..