Kanichunia anadai ana matatizo nimpe 'time'

Stavros Myles

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2020
Posts
350
Reaction score
391
Hi kwa wana Jeiefu wote. I hope mpo wazima kabisa.

Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna mushkeri imetokea baina yangu na girlfriend wangu. Issue ilianza pole pole tu lakini sasa mambo yameharibika kabisa.

Kama witi hivi iliyopita tulikubaliana kabisa aje kwenye gheto langu tuunganishe vikojoleo (😂😂😂). It 's been more than three months tangu tukutane kimwili sasa.

Tulikjbaliana vizuri nikapigwa na warning ya kutafuta kinga as if we ever did it kavu kumbe wapi. Basi mi nikajiandaa na kuweka mazingira kuwa rafiki nikisubiri mbususu ya gf.

Hali ya ghafla imejitokeza hivi karibuni nimemtafuta kwa simu lakini convo zake sikuzielewa kabisa.

Nilipiga simu mara ya kwanza haikupokelewa..nikapiga mara ya pili mambo yakawa yale yale. Mara ghafla simu ikaita nikaipokea.

Jambo la ajabu nimeulizwa wewe nani..nilidhani utani nikajichekesha na kumjibu ni mimi Duarte akasema poa na kudai alikuwa anaelekea Town mara moja.

Siku ya pili namtafuta nikasikia sauti ya kijimziki fulani kikubwa (nilijua either yupo kwa muhuni anafanya distribution ya mbususu), nili 'panic' nakumjulia hali tu.

Lakini majibu yake ndo yaaliniacha na mshangao aliniambia "nina matatizo makubwa yamenikumba" baadaye akakata simu kabisa.

Nikipiga simu haipokelewi kabisa.

Jamani hapo relationship ipo kweli au mimi ndo nalilia mchongo hewa ??
Nawasilisha
 
Hi kwa wana Jeiefu wote. I hope mpo wazima kabisa.

Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna mushkeri imetokea baina yangu na girlfriend wangu. Issue ilianza pole pole tu lakini sasa mambo yameharibika kabisa.

Kama witi hivi iliyopita tulikubaliana kabisa aje kwenye gheto langu tuunganishe vikojoleo ([emoji23][emoji23][emoji23]). It 's been more than three months tangu tukutane kimwili sasa.

Tulikjbaliana vizuri nikapigwa na warning ya kutafuta kinga as if we ever did it kavu kumbe wapi. Basi mi nikajiandaa na kuweka mazingira kuwa rafiki nikisubiri mbususu ya gf.

Hali ya ghafla imejitokeza hivi karibuni nimemtafuta kwa simu lakini convo zake sikuzielewa kabisa.

Nilipiga simu mara ya kwanza haikupokelewa..nikapiga mara ya pili mambo yakawa yale yale. Mara ghafla simu ikaita nikaipokea.

Jambo la ajabu nimeulizwa wewe nani..nilidhani utani nikajichekesha na kumjibu ni mimi Duarte akasema poa na kudai alikuwa anaelekea Town mara moja.

Siku ya pili namtafuta nikasikia sauti ya kijimziki fulani kikubwa (nilijua either yupo kwa muhuni anafanya distribution ya mbususu), nili 'panic' nakumjulia hali tu.

Lakini majibu yake ndo yaaliniacha na mshangao aliniambia "nina matatizo makubwa yamenikumba" baadaye akakata simu kabisa.

Nikipiga simu haipokelewi kabisa.

Jamani hapo relationship ipo kweli au mimi ndo nalilia mchongo hewa ??
Nawasilisha
Amepata anayemfikisha kileleni hadi anajikunja mgongo, kwa hiyo tulia
 
Katika ka 'history' ketu ka uzinzi nikiwa nawe nilikuwa namtia haswa, ilifikia kipindi naona anaelekea kupoteza uhai 😂😂. Sema sijui kapepo gani kamemwingia. Ngoja nishushie glasi ya maji na lisongi la Monalisa la Lojay.
 
Pamoja na hayo, hujamfikia jamaa Ake, anasubiri awe na uhakika kwamba ameachwa ndio arudi kwako.
 
I won 't disagree kwakuwa yeye ndo anajua mikuno yangu.

Life is worth living, with big dreams in my head I can 't tolerate satisfying a woman who is lusty when it comes to mating.

😂😂😂
 
Ha ha! Mkuu ilikuwa ni joke ila dah! Kwa hiyo situation he he! Kama unampenda kabisa ya kweli fanya kuupigania upendo na aone hata yeye mwenyewe,kama ni magumashi baba jua unasumbuliwa na genye na wapo wengi wa kuzitoa tu..😂
 
Mambo yako off kabisa
 
16CCEEBD-75E6-4FE0-8D32-F7B193C6681A.jpeg

Tafuta hela na wala usimtafute tena. If she is meant to be yours, atakutafuta

Una umri gani kwanza? Problem might be there🙂
 
Back
Top Bottom