Kanichunia anadai ana matatizo nimpe 'time'

View attachment 1992416
Tafuta hela na wala usimtafute tena. If she is meant to be yours, atakutafuta

Una umri gani kwanza? Problem might be there🙂
Aged enough to distinguish stupid love from true one. My age would never stand on my behalf to belittle my thinking.

Maybe her love is dying at the cove on a daylight.

Mkuu umri namba tu, some old men are as foolish as litter cans 😂😂😂
 
Aged enough to distinguish stupid love from true one. My age would never stand on my behalf to belittle my thinking.
Dude, get busy doing your stuff. Huyu Manzi atakutafuta kukuelezea matatizo yake makubwa if you are important in her life

Otherwise, wewe ni either taili la spea au ushakula kibuti tayari
 
Dude, get busy doing your stuff. Huyu Manzi atakutafuta kukuelezea matatizo take makubwa if you are important in her life

Otherwise, wewe ni either taili la spea au ushakula kibuti tayari
oops! a spare tire that 's too much
 
Anaweza kujua tatizo ni moja mpaka tatu. Ila kukaa na wewe chini kukwambia huwa sijui shida ni wapi hadi wanakwama.

Hivi umeshawahi kutana na situation mwanamke anasepa kibubu bubu kama hivyo kwa kukufanyia matukio ya ukorofi halafu akishakwenda lipokwenda then akazoea na kuona hakuna jipya anakuja ameufyata na kuleta mazoea au kukuteleta mazungumzo ya kifala mara sorry , kipindi kile kulitokea moja mbili tatu,( like fu*k[emoji848]) sasa who gives a damn about then when now is here?!

Kama uliamua kwa kiburi chako kulianzisha then go ahead uendelee na kiburi chako si uliona unapower ya kufanya chochote, where is your power now "heffer"?!

Me kuna demu back in a day alisepa hii ya kimya kimya, nikaja kuonana baadae after 1 year and 8 months. Akiwa na ujauzito wa miezi mitano.

Imagine the feeling. Haujamkosea kitu, ulikuwa unadate nae only yeye na ulikuwa unamkubali na alikuwa pisi kali ya Kimanyara. Nikajikaza na kumuuliza why kafanya vile. Akanambia very straight kuwa sababu ni mimi kuwa bado mwanafunzi wa sekondari na akisema anisubirie hadi nimalize shule na chuo yeye atazeeka na mimi nitamtema nitachukua mabinti wabichi.

Nikasema famililahi..... Cha kupita si cha kung'ang'ania mradi najua sikumkosea wala kumkorofisha ni maamuzi binafsi wacha ni nyooshe mikono afanye hitaji la moyo wake me nibakie na maumivu yangu.

Miaka mitatu baadae tokea siku ile nikapokea simu na namba mpya kiwa ni yeye ananicheki. Tukasalimiana vema. Wala sikuonyesha hali yoyote ya kihisia nikawa kawaida tu as if hakuna kilichonikuta.

Tuliwasiliana kama mwezi yeye akiwa ni mpigaji simu sana. Siku moja kwa namba yake ikanipigia njemba na kunipiga biti. Nikaipa majibu ya kujiamini hadi jamaa akachefukwa na kukata simu.
Demu akaja nipigia na kunipa long explanation juu ya mahusiano na kunambia mambo ambayo tokea anitafute. Alinambia vingi sana, wivu, kupigwa, kunyanyasika, kusalitiwa na Kadhalika.

Kwa kifupi jamaa alikuwa akisafiri kikazi na muda mwingine alikuwa kwa vimada na ndio muda demu alinikuwa akinicheki. So aliendelea nitafuta kwa tahadhari sana hadi siku akabambwa nikiwa naongea nae na jamaa akaanza kumpa kichapo nikisikia milio ya makofi na mabao na mtoto akilia.

Simu ilikuwa hewani jamaa akaichukua na kusema "helo" nikamuuliza unafanya nini, akanijibu huku akihema kwa jazba " Bado wewe msenge nitakutafuta na nitakuonyesha".

Yale maneno plus kusikia demu anapigwa vilinichemsha damu kwa hasira. Nikamwambia poa nipe contact zako nikuelekeze nilipo uje. Jamaa akacheka Kwa kebehi na kukata simu. Line ilivunjwa na kupotezwa hewani. Sikuwa na namna ya kuwasiliana nae tena. Miezi ikapita akanipigia na namba mpya ya Vodacom ( ya awali ilikuwa ni Airtel).

Akanambia jamaa kasafiri. Nikamwambia nataka nimnyooshe. Akanambia sawa yupo tayari kunipa ushirikiano. Jamaa kuna pesa alimuachia demu. Nilichofanya nikumfuata pale kwake jioni alikuwa na shemeji yake bwana mdogo nadhani amemaliza secondary na beki3. Nikatambulishwa kama kaka wa familia. Akanipa mabegi ya nguo kwa usiri sana nikapeleka kwenye gari niliyozima. Akaaga kama ananisindikiza na mtoto wake. Tukasepa hadi ubungo akachukua chumba tulikaa hadi asubuhi nikamuwahisha gari ya kwanza saa kumi na moja jioni yupo kwao mkoani.

Jamaa aliporudi anamtafuta mimi nikamuelekeza namna ya kumjibu na kukabiliana na vitisho vya jamaa. Jamaa kwasababu hakuwa real akatukana sana akaja oa mdada mwingine.

So manzi akawa anatengeneza mazingira arudi kwangu. Ofcourse alikuja mjini na alikaa kama wiki tatu kasoro. Tulipeana sana tu. Sasa alipoondoka mkakati ukiwa ni kwamba mimi na tujipange upya. Yeye akiwa na mtoto mimi nikiwa bila mtoto. Na mbaya zaidi ananipa sharti kuwa hawezi toka kwao hadi niende nimchukue rasmi kwa kufuata taratibu ( nikajisemea moyoni , MUNGU anipe nini zaidi ya hii revenge chance). Nikamkubalia bila shida. Tunawasiliana na shida ndogo ndogo namsaidia. Full kunipa ndugu zake niwasalimie na mtoto kumshape anione mimi baba yake.

Hapa ninavyowaambia ni mwaka wa 5 anasubiria ahadi itimie akiwa mkoani mimi nipo na yangu simuwazi.

Na sasa ataona a taste of her own medicine [emoji381]. At this age nampeleka wapi. Namkill silently.
 
Hivi umeshawahi kutana na situation mwanamke anasepa kibubu bubu kama hivyo kwa kukufanyia matukio ya ukorofi halafu akishakwenda lipokwenda then akazoea na kuona hakuna
that 's an outstanding comeback
 
Piga kimya, atarejea tu.

Ila inataka moyo...

Kwema lakini mkuu
 
Hi kwa wana Jeiefu wote. I hope mpo wazima kabisa.

Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna mushkeri imetokea baina yangu na girlfriend wangu. Issue ilianza pole pole tu lakini sasa mambo yameharibika kabisa.

Kama witi hivi iliyopita tulikubaliana kabisa aje kwenye gheto langu tuunganishe vikojoleo ([emoji23][emoji23][emoji23]). It 's been more than three months tangu tukutane kimwili sasa.

Tulikjbaliana vizuri nikapigwa na warning ya kutafuta kinga as if we ever did it kavu kumbe wapi. Basi mi nikajiandaa na kuweka mazingira kuwa rafiki nikisubiri mbususu ya gf.

Hali ya ghafla imejitokeza hivi karibuni nimemtafuta kwa simu lakini convo zake sikuzielewa kabisa.

Nilipiga simu mara ya kwanza haikupokelewa..nikapiga mara ya pili mambo yakawa yale yale. Mara ghafla simu ikaita nikaipokea.

Jambo la ajabu nimeulizwa wewe nani..nilidhani utani nikajichekesha na kumjibu ni mimi Duarte akasema poa na kudai alikuwa anaelekea Town mara moja.

Siku ya pili namtafuta nikasikia sauti ya kijimziki fulani kikubwa (nilijua either yupo kwa muhuni anafanya distribution ya mbususu), nili 'panic' nakumjulia hali tu.

Lakini majibu yake ndo yaaliniacha na mshangao aliniambia "nina matatizo makubwa yamenikumba" baadaye akakata simu kabisa.

Nikipiga simu haipokelewi kabisa.

Jamani hapo relationship ipo kweli au mimi ndo nalilia mchongo hewa ??
Nawasilisha
Huna chako hapo, MOve oN kijana don't waste ur time...
 
Ningepata kujua umri wa huyo binti ningekupa majibu ambayo ni satisfying!
Nifahamishe hilo kwanza
 
Anaweza kujua tatizo ni moja mpaka tatu. Ila kukaa na wewe chini kukwambia huwa sijui shida ni wapi hadi wanakwama.

Hivi umeshawahi kutana na situation mwanamke anasepa kibubu bubu kama hivyo kwa kukufanyia matukio ya ukorofi halafu akishakwenda lipokwenda then akazoea na kuona hakuna jipya anakuja ameufyata na kuleta mazoea au kukuteleta mazungumzo ya kifala mara sorry , kipindi kile kulitokea moja mbili tatu,( like fu*k[emoji848]) sasa who gives a damn about then when now is here?!

Kama uliamua kwa kiburi chako kulianzisha then go ahead uendelee na kiburi chako si uliona unapower ya kufanya chochote, where is your power now "heffer"?!

Me kuna demu back in a day alisepa hii ya kimya kimya, nikaja kuonana baadae after 1 year and 8 months. Akiwa na ujauzito wa miezi mitano.

Imagine the feeling. Haujamkosea kitu, ulikuwa unadate nae only yeye na ulikuwa unamkubali na alikuwa pisi kali ya Kimanyara. Nikajikaza na kumuuliza why kafanya vile. Akanambia very straight kuwa sababu ni mimi kuwa bado mwanafunzi wa sekondari na akisema anisubirie hadi nimalize shule na chuo yeye atazeeka na mimi nitamtema nitachukua mabinti wabichi.

Nikasema famililahi..... Cha kupita si cha kung'ang'ania mradi najua sikumkosea wala kumkorofisha ni maamuzi binafsi wacha ni nyooshe mikono afanye hitaji la moyo wake me nibakie na maumivu yangu.

Miaka mitatu baadae tokea siku ile nikapokea simu na namba mpya kiwa ni yeye ananicheki. Tukasalimiana vema. Wala sikuonyesha hali yoyote ya kihisia nikawa kawaida tu as if hakuna kilichonikuta.

Tuliwasiliana kama mwezi yeye akiwa ni mpigaji simu sana. Siku moja kwa namba yake ikanipigia njemba na kunipiga biti. Nikaipa majibu ya kujiamini hadi jamaa akachefukwa na kukata simu.
Demu akaja nipigia na kunipa long explanation juu ya mahusiano na kunambia mambo ambayo tokea anitafute. Alinambia vingi sana, wivu, kupigwa, kunyanyasika, kusalitiwa na Kadhalika.

Kwa kifupi jamaa alikuwa akisafiri kikazi na muda mwingine alikuwa kwa vimada na ndio muda demu alinikuwa akinicheki. So aliendelea nitafuta kwa tahadhari sana hadi siku akabambwa nikiwa naongea nae na jamaa akaanza kumpa kichapo nikisikia milio ya makofi na mabao na mtoto akilia.

Simu ilikuwa hewani jamaa akaichukua na kusema "helo" nikamuuliza unafanya nini, akanijibu huku akihema kwa jazba " Bado wewe msenge nitakutafuta na nitakuonyesha".

Yale maneno plus kusikia demu anapigwa vilinichemsha damu kwa hasira. Nikamwambia poa nipe contact zako nikuelekeze nilipo uje. Jamaa akacheka Kwa kebehi na kukata simu. Line ilivunjwa na kupotezwa hewani. Sikuwa na namna ya kuwasiliana nae tena. Miezi ikapita akanipigia na namba mpya ya Vodacom ( ya awali ilikuwa ni Airtel).

Akanambia jamaa kasafiri. Nikamwambia nataka nimnyooshe. Akanambia sawa yupo tayari kunipa ushirikiano. Jamaa kuna pesa alimuachia demu. Nilichofanya nikumfuata pale kwake jioni alikuwa na shemeji yake bwana mdogo nadhani amemaliza secondary na beki3. Nikatambulishwa kama kaka wa familia. Akanipa mabegi ya nguo kwa usiri sana nikapeleka kwenye gari niliyozima. Akaaga kama ananisindikiza na mtoto wake. Tukasepa hadi ubungo akachukua chumba tulikaa hadi asubuhi nikamuwahisha gari ya kwanza saa kumi na moja jioni yupo kwao mkoani.

Jamaa aliporudi anamtafuta mimi nikamuelekeza namna ya kumjibu na kukabiliana na vitisho vya jamaa. Jamaa kwasababu hakuwa real akatukana sana akaja oa mdada mwingine.

So manzi akawa anatengeneza mazingira arudi kwangu. Ofcourse alikuja mjini na alikaa kama wiki tatu kasoro. Tulipeana sana tu. Sasa alipoondoka mkakati ukiwa ni kwamba mimi na tujipange upya. Yeye akiwa na mtoto mimi nikiwa bila mtoto. Na mbaya zaidi ananipa sharti kuwa hawezi toka kwao hadi niende nimchukue rasmi kwa kufuata taratibu ( nikajisemea moyoni , MUNGU anipe nini zaidi ya hii revenge chance). Nikamkubalia bila shida. Tunawasiliana na shida ndogo ndogo namsaidia. Full kunipa ndugu zake niwasalimie na mtoto kumshape anione mimi baba yake.

Hapa ninavyowaambia ni mwaka wa 5 anasubiria ahadi itimie akiwa mkoani mimi nipo na yangu simuwazi.

Na sasa ataona a taste of her own medicine [emoji381]. At this age nampeleka wapi. Namkill silently.
Katoka kwenye mateso ya mwamba kaja kwenye mateso yako..!!!

#YNWA
 
JIONGEZE Mkuu.

Hi kwa wana Jeiefu wote. I hope mpo wazima kabisa.

Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna mushkeri imetokea baina yangu na girlfriend wangu. Issue ilianza pole pole tu lakini sasa mambo yameharibika kabisa.

Kama witi hivi iliyopita tulikubaliana kabisa aje kwenye gheto langu tuunganishe vikojoleo (😂😂😂). It 's been more than three months tangu tukutane kimwili sasa.

Tulikjbaliana vizuri nikapigwa na warning ya kutafuta kinga as if we ever did it kavu kumbe wapi. Basi mi nikajiandaa na kuweka mazingira kuwa rafiki nikisubiri mbususu ya gf.

Hali ya ghafla imejitokeza hivi karibuni nimemtafuta kwa simu lakini convo zake sikuzielewa kabisa.

Nilipiga simu mara ya kwanza haikupokelewa..nikapiga mara ya pili mambo yakawa yale yale. Mara ghafla simu ikaita nikaipokea.

Jambo la ajabu nimeulizwa wewe nani..nilidhani utani nikajichekesha na kumjibu ni mimi Duarte akasema poa na kudai alikuwa anaelekea Town mara moja.

Siku ya pili namtafuta nikasikia sauti ya kijimziki fulani kikubwa (nilijua either yupo kwa muhuni anafanya distribution ya mbususu), nili 'panic' nakumjulia hali tu.

Lakini majibu yake ndo yaaliniacha na mshangao aliniambia "nina matatizo makubwa yamenikumba" baadaye akakata simu kabisa.

Nikipiga simu haipokelewi kabisa.

Jamani hapo relationship ipo kweli au mimi ndo nalilia mchongo hewa ??
Nawasilisha
 
Anaweza kujua tatizo ni moja mpaka tatu. Ila kukaa na wewe chini kukwambia huwa sijui shida ni wapi hadi wanakwama.

Hivi umeshawahi kutana na situation mwanamke anasepa kibubu bubu kama hivyo kwa kukufanyia matukio ya ukorofi halafu akishakwenda lipokwenda then akazoea na kuona hakuna jipya anakuja ameufyata na kuleta mazoea au kukuteleta mazungumzo ya kifala mara sorry , kipindi kile kulitokea moja mbili tatu,( like fu*k[emoji848]) sasa who gives a damn about then when now is here?!

Kama uliamua kwa kiburi chako kulianzisha then go ahead uendelee na kiburi chako si uliona unapower ya kufanya chochote, where is your power now "heffer"?!

Me kuna demu back in a day alisepa hii ya kimya kimya, nikaja kuonana baadae after 1 year and 8 months. Akiwa na ujauzito wa miezi mitano.

Imagine the feeling. Haujamkosea kitu, ulikuwa unadate nae only yeye na ulikuwa unamkubali na alikuwa pisi kali ya Kimanyara. Nikajikaza na kumuuliza why kafanya vile. Akanambia very straight kuwa sababu ni mimi kuwa bado mwanafunzi wa sekondari na akisema anisubirie hadi nimalize shule na chuo yeye atazeeka na mimi nitamtema nitachukua mabinti wabichi.

Nikasema famililahi..... Cha kupita si cha kung'ang'ania mradi najua sikumkosea wala kumkorofisha ni maamuzi binafsi wacha ni nyooshe mikono afanye hitaji la moyo wake me nibakie na maumivu yangu.

Miaka mitatu baadae tokea siku ile nikapokea simu na namba mpya kiwa ni yeye ananicheki. Tukasalimiana vema. Wala sikuonyesha hali yoyote ya kihisia nikawa kawaida tu as if hakuna kilichonikuta.

Tuliwasiliana kama mwezi yeye akiwa ni mpigaji simu sana. Siku moja kwa namba yake ikanipigia njemba na kunipiga biti. Nikaipa majibu ya kujiamini hadi jamaa akachefukwa na kukata simu.
Demu akaja nipigia na kunipa long explanation juu ya mahusiano na kunambia mambo ambayo tokea anitafute. Alinambia vingi sana, wivu, kupigwa, kunyanyasika, kusalitiwa na Kadhalika.

Kwa kifupi jamaa alikuwa akisafiri kikazi na muda mwingine alikuwa kwa vimada na ndio muda demu alinikuwa akinicheki. So aliendelea nitafuta kwa tahadhari sana hadi siku akabambwa nikiwa naongea nae na jamaa akaanza kumpa kichapo nikisikia milio ya makofi na mabao na mtoto akilia.

Simu ilikuwa hewani jamaa akaichukua na kusema "helo" nikamuuliza unafanya nini, akanijibu huku akihema kwa jazba " Bado wewe msenge nitakutafuta na nitakuonyesha".

Yale maneno plus kusikia demu anapigwa vilinichemsha damu kwa hasira. Nikamwambia poa nipe contact zako nikuelekeze nilipo uje. Jamaa akacheka Kwa kebehi na kukata simu. Line ilivunjwa na kupotezwa hewani. Sikuwa na namna ya kuwasiliana nae tena. Miezi ikapita akanipigia na namba mpya ya Vodacom ( ya awali ilikuwa ni Airtel).

Akanambia jamaa kasafiri. Nikamwambia nataka nimnyooshe. Akanambia sawa yupo tayari kunipa ushirikiano. Jamaa kuna pesa alimuachia demu. Nilichofanya nikumfuata pale kwake jioni alikuwa na shemeji yake bwana mdogo nadhani amemaliza secondary na beki3. Nikatambulishwa kama kaka wa familia. Akanipa mabegi ya nguo kwa usiri sana nikapeleka kwenye gari niliyozima. Akaaga kama ananisindikiza na mtoto wake. Tukasepa hadi ubungo akachukua chumba tulikaa hadi asubuhi nikamuwahisha gari ya kwanza saa kumi na moja jioni yupo kwao mkoani.

Jamaa aliporudi anamtafuta mimi nikamuelekeza namna ya kumjibu na kukabiliana na vitisho vya jamaa. Jamaa kwasababu hakuwa real akatukana sana akaja oa mdada mwingine.

So manzi akawa anatengeneza mazingira arudi kwangu. Ofcourse alikuja mjini na alikaa kama wiki tatu kasoro. Tulipeana sana tu. Sasa alipoondoka mkakati ukiwa ni kwamba mimi na tujipange upya. Yeye akiwa na mtoto mimi nikiwa bila mtoto. Na mbaya zaidi ananipa sharti kuwa hawezi toka kwao hadi niende nimchukue rasmi kwa kufuata taratibu ( nikajisemea moyoni , MUNGU anipe nini zaidi ya hii revenge chance). Nikamkubalia bila shida. Tunawasiliana na shida ndogo ndogo namsaidia. Full kunipa ndugu zake niwasalimie na mtoto kumshape anione mimi baba yake.

Hapa ninavyowaambia ni mwaka wa 5 anasubiria ahadi itimie akiwa mkoani mimi nipo na yangu simuwazi.

Na sasa ataona a taste of her own medicine [emoji381]. At this age nampeleka wapi. Namkill silently.
Damn! Kumbe ulikuwa secondary school by then what did you expect her to do! I am so sure she was still young and immature! You are just one cruel human being inshort nothing can justify what you are doing and planning to do to her. It doesn't make sense at all shame on you!! You call it pay back, that ain't it because there is nothing to pay back for! You chose to hurt that lady for no reason at all. So you wanted her to baby sit you come on!! Be serious!!! I am indoubt of your maturity.
 
Back
Top Bottom