Kanichanganya mwenzenu

Mmmnh... Jiandae tuu..

Iko siku huyo mwanaume atatembea na mdogo wako wa kike au rafiki yako mwingine wa karibu..!
 
Umekazwa mpk umezaa ndio unaomba ushauri
 

Marafiki wa aina yako ndo wa kuwamwagia tindikali

Wanafiki mnauma na kupulizia

Hamfai hata kwa kulumangia

Wewe na huyo shemeji yako wote hovyo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Marafiki wa aina yako ndo wa kuwamwagia tindikali

Wanafiki mnauma na kupulizia

Hamfai hata kwa kulumangia

Wewe na huyo shemeji yako wote hovyo


Sent from my iPhone using JamiiForums

Kama Huyo Rafiki alishaachana na Shemeji je?
 
shameless gal good for nothing..

Take position ungekuwa wewe ungefanyeje?
Unatembea na shemejio hadi mnazaaa...wewe jasiri sana.
Wanaume wooote hukuwaona hadi ukaona tuu huyo shemejio.

Unataka tukushaur nin
Malizia kama ulivyoanza na lolote litakalokupata ni halali yako
 
Unamwitaje Shemeji wakati ameshakuzalisha? Au sielewi kiswahili vizuri?
 
Ni changamoto tu niliyotaka kuona ni wangapi wanabusara na ambao wapumbavu......Gud kwa mlio shauri vema kwa wenye matusi ni jinsi nao walivyowaza asanteni saana, HAYA NDO MAISHA WAZA KWAMBA SIKU MOJA INAWEZA TOKEA

Au nikweli mbona umepanic???

Afu next time usije na thread za majaribu

Humu jf ni great thinkers
 
Ishu kama hizi muulize shetani nadhani atakushauri vizuri zaidi kuliko sisi.Trust me amebobea kwenye hizi ishu:wave:
 
Umwambie ili kumuumiza roho au? Umechoka na amani mliyo nayo kati yako na rafiki yako?
 
We ni muuaji unalijua hilo?
Iv rafk ako anapomshka mwanao anakupa na hongera haujisikii vbaya?akikuuliza baba wa mtoto unamjibu nin?Aisee what goes around comes around...jiandae
Hata kama hajamuoa wala hajazaa nae haikupi sababu ya wew kuzaa na shemej yak
NAUOGOPA SANA URAFIKI SIKU HIZI
 
Kumbe wewe si rafiki wa kweli, umemnyang'anya mwenzio tonge halafu unazuga unamependa shemeji yako
 
mrejesho vp rafik ako aligundua?

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
wewe umeelewa nini mbona mie nimeambulia sifuri?
Monoama niambie nami nijue
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…