Kanichanganya mwenzenu

Kanichanganya mwenzenu

unampenda shemeji na umezaa nae.... sasa binti unataka tufanyaje sasa kwa hili loh....!!!!! umezaa na shemeji yako na bado unaita shemeji huyo ni baba watoto wako ... muhimu mwambie rafiki yako uliomfanyia huo ushenzi ili ajue kuwa anabwana punguani na rafiki mwizi basi
 
Habari wana JF, jamani naomba mnisaidie katika hili nampenda sana shemeji yangu mpaka nimezaa nae na ananihudumia kwa kila kitu yan japo rafiki yangu hajui na bado tunawasiliana kama kawaida na rafiki yangu, nimwambie rafiki yangu au la, yeye bado kuolewa wala hana mtoto

Ilikuwaje ukazaa na shemejio? Mi nadhani tumia akili ile ile uliyotumia kuzaa na shemejio kutatua na hilo pia.
 
naona manyota nyota!!hivi kizazi hiki kuwavulia mashemeji,baba wa dogo sijui kina nani hamuoni shida kabisaaaaa!enzi za mwalimu haya mambo yalikuwa ni tabuuu hata kuyasema hadharani
 
doh ukweli utagundulika tu siku moja utake usitake…Ushachukua bwana wa mwenzio unayemuita rafiki mpaka umezaa nae…akuoe wewe basi mulee mwanenu!Huna haki na hustahiki kumuita huyo rafikio rafiki na huyo si shemeji yako ni bwana wenu!
 
wewe ni wale wanawake waso na haya. Unaanzaje hadi kutembea na mwanaume wa unaemuita shoga yako? Sasa huo ni ushoga au unafiki? Mie ndo nikiwa muhusika mwenyewe nloibiwa, wakati unanambia yabid ukae mbali nami sababu ntakukaba koo. Watu hawaelewani kila kukicha kumbe wewe unaingilia mapenz ya watu.
You deserve each other( wewe na shemeji yako) muacheni mdada wa watu atapata wa kumfuta machozi
 
Mbona ulipoenda kugegedana hukuja kuomba ushauri humu???
 
Habari wana JF, jamani naomba mnisaidie katika hili nampenda sana shemeji yangu mpaka nimezaa nae na ananihudumia kwa kila kitu yan japo rafiki yangu hajui na bado tunawasiliana kama kawaida na rafiki yangu, nimwambie rafiki yangu au la, yeye bado kuolewa wala hana mtoto

Wew ni shetani, na Mungu huwa haachi vitu vipite hvi hivi, Machungu atakayopata rafiki yako siku akijua lazma uyalipie kwa njia yoyote ile.
 
Kama ndiyo mimi umeniibia bwana ungenitambua una bahati sana shame on you!!
 
Ni changamoto tu niliyotaka kuona ni wangapi wanabusara na ambao wapumbavu......Gud kwa mlio shauri vema kwa wenye matusi ni jinsi nao walivyowaza asanteni saana, HAYA NDO MAISHA WAZA KWAMBA SIKU MOJA INAWEZA TOKEA
 
unampenda shemeji na umezaa nae.... sasa binti unataka tufanyaje sasa kwa hili loh....!!!!! umezaa na shemeji yako na bado unaita shemeji huyo ni baba watoto wako ... muhimu mwambie rafiki yako uliomfanyia huo ushenzi ili ajue kuwa anabwana punguani na rafiki mwizi basi

Umeona eee yaani ndio maana sipendi ushoga au urafiki unafki
 
Kama ndiyo mimi umeniibia bwana ungenitambua una bahati sana shame on you!!
 
Aisee!!

Kuna viroja sana siku hizi!
 
Habari wana JF, jamani naomba mnisaidie katika hili nampenda sana shemeji yangu mpaka nimezaa nae na ananihudumia kwa kila kitu yan japo rafiki yangu hajui na bado tunawasiliana kama kawaida na rafiki yangu, nimwambie rafiki yangu au la, yeye bado kuolewa wala hana mtoto

Yaani we ni mnafki ,umemchukua bwana wa rafiki yako na mimba ukajibebesha shame on u!!...sasa wewe kamwambie halafu uje kutujuza hapa nini kimetokea
 
kama imetokea kweli it was not fare.maana mandela kasameh wooote ila c mkewe.ikimaanisha mke au mume ni mchungu kuliko jicho.but kama kweli changamoto basi watz tunafeli kwa kupanic haraka.hatufai hata kuwa mawakili au majaji wa dunia.maana unaweza ukakutana na kesi ya ajabu halafu ukaharibu kwa uwamuzi wa hasira
 
Ni changamoto tu niliyotaka kuona ni wangapi wanabusara na ambao wapumbavu......Gud kwa mlio shauri vema kwa wenye matusi ni jinsi nao walivyowaza asanteni saana, HAYA NDO MAISHA WAZA KWAMBA SIKU MOJA INAWEZA TOKEA
..Kama hujawahi kufanya hivyo usijaribu, ni dhambi na Mungu anaichukia dhambi ya uasherati.
..Kama umewahi basi mrudie Mungu, omba toba ya kweli na ukitaka Mungu akusamehe, uende kutubu na kuomba msamaha kwa mlengwa!!
 
Back
Top Bottom