Kaniambukiza, nimefanya uamuzi huu....

Kaniambukiza, nimefanya uamuzi huu....

Sio maamuzi ya kiume hayo, hasa kusema amekuambukiza hiv na wakati huna hujui anaweza kuhisi ye kaathirika ana akachukua maamuzi hayo ya kujiua..... Ungemuita ungemuhoji polepole
 
Salaam....

Ni mwanamke niliyedumu nae kimahusiano kwa takribani miaka mitatu.

kiukweli sikuwahi kushuhudia wala kuskia hata kwa watu kwamba ananicheat.
Nikajipa moyo kuwa hapa nimepata na tulienda kwa mipango mingi sana ambapo mingine imetimia na mingine bado ilikua njiani kutimia.

Sasa jumatatu iliyopita kafika gheto bhana....kama kawaida ikabidi tuchujane protin bila uwoga....lakin kipindi tunachujana alikua anatoa harufu mbaya sana na kali sana kwnye marighafi yake, na ingawa ilinikera lkn sikujali...
na sikuhitaji kumuuliza mana nilihusi uwenda angejiskia vibaya na ningemkwaza....bs nikavumilia mpka mwisho wa show.

Sasa ijumaa usiku nimekaa kitandani nashangaa uume wangu unatoa vitu kama usaa tena kwa mfululizo....kwenda kukojoa nashangaa napata maumivu makali sana kwnye mrija wa kutolea mkojo....jumatatu nimeenda kucheck afya na kugunduluka nina gonorrhea a.k.a kisonono..nlidata. Sijasex na mtu yoyote kwa mda mrefu sana na mtu yeyote zaidi yake kwa mwaka mmoja na nusu hv.

Ugonjwa huu unaambukiza kwa kufanya mapenzi tu...sasa mpnz wangu kaupataje....kwa akili ndogo tu nikagundua amenicheat na si ajabu anafanya hivo tangu kitambo.

Leo mida ya saa tano nimempigia simu na kumtaarifu kuwa asinijue yani mim na yeye basi...na nimempa sababu kwamba ameniambukiza gonorrhea....ingawa nlicheck na sikukutwa HIV lakin ili kumkomoa nimemwambia pia nimekutwa na virusi vya ukimwi..
Sa hv nimepokea msg zaidi ya kumi za dada na kaka zake kuwa kachanganyikiwa anataka kujiua

Mi sijajibu kitu coz amsure kujiua hawez ila chamoto atakiona.

Wasaalam.
tumia condom all the time
 
Wote wawili ni waasherati.

Wewe hujafunga nae ndoa, sasa jiulize, ulimpataje wenzako washindwe?

Isitoshe, umesema mmedumu nae "miaka mitatu" lakini ni mwaka mmoja na nusu tu ndiyo hujaonana na mwengine. Ina maana hata wewe umeshatembea nje kama yeye.

Mwambie ukweli, elewa kuwa "gono" la ngono linaendana na Ukimwi na kwa kwenda kupima siku ya pili tu bado haupo salama kama unavyojifikiria, maambukizi ya HIV "incubation period" yake mpaka ionekane kwenye vipimo ni zaidi ya siku mbili.

Unalo hilo.
 
Wote wawili ni waasherati.

Wewe hujafunga nae ndoa, sasa jiulize, ulimpataje wenzako washindwe?

Isitoshe, umesema mmedumu nae "miaka mitatu" lakini ni mwaka mmoja na nusu tu ndiyo hujaonana na mwengine. Ina maana hata wewe umeshatembea nje kama yeye.

Mwambie ukweli, elewa kuwa "gono" la ngono linaendana na Ukimwi na kwa kwenda kupima siku ya pili tu bado haupo salama kama unavyojifikiria, maambukizi ya HIV "incubation period" yake mpaka ionekane kwenye vipimo ni zaidi ya siku mbili.

Unalo hilo.
nimekuelewa vzur sana bimkubwa....lkn kuhusu kupima kama umesoma vzur post yangu nilipima baada ya siku 7 after sex na sio mbili....

yote tisa, kumi ntarudia tena kupima baada ya miez mitatu na kuachana na hiyo uloita "uasherati".
 
Mbona sisi hatukutani na hizi bahati lakini?

Wenzio tangu tumezaliwa hatujawahi hata kupata dalili tu za gonorhea ila wewe umepata Original Gonorhea kabisa isiyo na chenga.
hata mimi naisikia tu mkuu huwa inapatikana wapi
 
Back
Top Bottom