Kaniambukiza, nimefanya uamuzi huu....

Kaniambukiza, nimefanya uamuzi huu....

ntafanya hvo mkuu lkn baada ya siku kama tatu hivi.....ili achapike kidogo.
Dakika tatu zinatosha kujiua mtu, siku tatu nyingi mkuu anaweza kujiua kweli utajuta sana baadae. Magonjwa kama hayo dalili mbaya sana kuna binti aliugua hayo magonjwa ndugu wakamuonya hakusikia akarudia kucheza peku peku ndanivya mwaka na nusu kitu kikajibu na sasa ninapozungumza ameshazikwa kifo chake kimetokana na UKIMWI.
 
Dakika tatu zinatosha kujiua mtu, siku tatu nyingi mkuu anaweza kujiua kweli utajuta sana baadae. Magonjwa kama hayo dalili mbaya sana kuna binti aliugua hayo magonjwa ndugu wakamuonya hakusikia akarudia kucheza peku peku ndanivya mwaka na nusu kitu kikajibu na sasa ninapozungumza ameshazikwa kifo chake kimetokana na UKIMWI.
[emoji15] [emoji15] duuuhh hakulipokea tatzo lake psychologically
 
Usisherekee kwanza pengine na ngoma pia ulipata, subiria ule muda wa hao wadadu kuonekana, ikiwa poa, kunywa bill ni yangu.
 
wewe na huyo mwenzio wote vibisa....Dawa ya kutibu magonjwa ya zinaa ni kuacha uzinzi....Mtafute Mungu wako ili siku bwana akija kuchukua walio wake nawe uwe mmoja wao
 
Salaam....

Ni mwanamke niliyedumu nae kimahusiano kwa takribani miaka mitatu.

kiukweli sikuwahi kushuhudia wala kuskia hata kwa watu kwamba ananicheat.
Nikajipa moyo kuwa hapa nimepata na tulienda kwa mipango mingi sana ambapo mingine imetimia na mingine bado ilikua njiani kutimia.

Sasa jumatatu iliyopita kafika gheto bhana....kama kawaida ikabidi tuchujane protin bila uwoga....lakin kipindi tunachujana alikua anatoa harufu mbaya sana na kali sana kwnye marighafi yake, na ingawa ilinikera lkn sikujali...
na sikuhitaji kumuuliza mana nilihusi uwenda angejiskia vibaya na ningemkwaza....bs nikavumilia mpka mwisho wa show.

Sasa ijumaa usiku nimekaa kitandani nashangaa uume wangu unatoa vitu kama usaa tena kwa mfululizo....kwenda kukojoa nashangaa napata maumivu makali sana kwnye mrija wa kutolea mkojo....jumatatu nimeenda kucheck afya na kugunduluka nina gonorrhea a.k.a kisonono..nlidata. Sijasex na mtu yoyote kwa mda mrefu sana na mtu yeyote zaidi yake kwa mwaka mmoja na nusu hv.

Ugonjwa huu unaambukiza kwa kufanya mapenzi tu...sasa mpnz wangu kaupataje....kwa akili ndogo tu nikagundua amenicheat na si ajabu anafanya hivo tangu kitambo.

Leo mida ya saa tano nimempigia simu na kumtaarifu kuwa asinijue yani mim na yeye basi...na nimempa sababu kwamba ameniambukiza gonorrhea....ingawa nlicheck na sikukutwa HIV lakin ili kumkomoa nimemwambia pia nimekutwa na virusi vya ukimwi..
Sa hv nimepokea msg zaidi ya kumi za dada na kaka zake kuwa kachanganyikiwa anataka kujiua

Mi sijajibu kitu coz amsure kujiua hawez ila chamoto atakiona.

Wasaalam.

SAFI SANA MWANWANE ...UMEFANYA LA MAANA MAANA HAWA WAREMBO NI MALAYA TUU
 
pamoja ya hayo, wewe mwanaume jikaze...
ukimwi sio kitu cha mchezo mchezo anaweza kufa kihoro
yaahh ofcourse mi am strong....cjutii sababu kwa asilimia fulani nimewasaidia watakao kuwa wapenz wake mbeleni....au?
 
Unaambukizwaje kisonono kijinga hivyo?

Siku nyingine kama hujatumia condom, ukimaliza kufanya ngono, kakojoe muda huo huo, kisha osha dudu yako!

Kisonono utakisikia kwenye bomba tu!
Acha uongo wewe
 
Back
Top Bottom