Kaniambukiza, nimefanya uamuzi huu....

Kaniambukiza, nimefanya uamuzi huu....

Ahaa kumbe unanitisha[emoji23][emoji23]nimeshajua sipanic tena[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
 
Hujafanya poa kumuumiza moyo mwenzio. Suala la kucheat linatokana na muwako wa mihemko ya mwili. Binti damu inachemka why asigongwe? kwani alikuandikishia kuwa K yake ni urithi wako?
KWAIYO NA WEWE WAWE WANAKUGONGEA MPENZI WAKO?
 
Mi ningekuwa huyo binti ningekujibu hivi;

"Shauri yako mwenzio nishaanza dozi kitambo sana, ulifuata nini kwangu, karibu kwenye dozi"

Uone kama hurudi kupima
 
Unaambukizwaje kisonono kijinga hivyo?

Siku nyingine kama hujatumia condom, ukimaliza kufanya ngono, kakojoe muda huo huo, kisha osha dudu yako!

Kisonono utakisikia kwenye bomba tu!
 
Mi ningekuwa huyo binti ningekujibu hivi;

"Shauri yako mwenzio nishaanza dozi kitambo sana, ulifuata nini kwangu, karibu kwenye dozi"

Uone kama hurudi kupima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] haa wapi ww ikitokea kweli huwez hata kupata mawazo yaliorelax kiasi hcho
 
Unaambukizwaje kisonono kijinga hivyo?

Siku nyingine kama hujatumia condom, ukimaliza kufanya ngono, kakojoe muda huo huo, kisha osha dudu yako!

Kisonono utakisikia kwenye bomba tu!
ya kweli haya mkuu ????[emoji19]
 
Hawapendeki licha ya uaminifu unaowapa, kuwapenda na kuwalinda. Dawa yao ni kuwatema kabla hawajakupa UKIMWI.
 
Salaam....

Ni mwanamke niliyedumu nae kimahusiano kwa takribani miaka mitatu.

kiukweli sikuwahi kushuhudia wala kuskia hata kwa watu kwamba ananicheat.
Nikajipa moyo kuwa hapa nimepata na tulienda kwa mipango mingi sana ambapo mingine imetimia na mingine bado ilikua njiani kutimia.

Sasa jumatatu iliyopita kafika gheto bhana....kama kawaida ikabidi tuchujane protin bila uwoga....lakin kipindi tunachujana alikua anatoa harufu mbaya sana na kali sana kwnye marighafi yake, na ingawa ilinikera lkn sikujali...
na sikuhitaji kumuuliza mana nilihusi uwenda angejiskia vibaya na ningemkwaza....bs nikavumilia mpka mwisho wa show.

Sasa ijumaa usiku nimekaa kitandani nashangaa uume wangu unatoa vitu kama usaa tena kwa mfululizo....kwenda kukojoa nashangaa napata maumivu makali sana kwnye mrija wa kutolea mkojo....jumatatu nimeenda kucheck afya na kugunduluka nina gonorrhea a.k.a kisonono..nlidata. Sijasex na mtu yoyote kwa mda mrefu sana na mtu yeyote zaidi yake kwa mwaka mmoja na nusu hv.

Ugonjwa huu unaambukiza kwa kufanya mapenzi tu...sasa mpnz wangu kaupataje....kwa akili ndogo tu nikagundua amenicheat na si ajabu anafanya hivo tangu kitambo.

Leo mida ya saa tano nimempigia simu na kumtaarifu kuwa asinijue yani mim na yeye basi...na nimempa sababu kwamba ameniambukiza gonorrhea....ingawa nlicheck na sikukutwa HIV lakin ili kumkomoa nimemwambia pia nimekutwa na virusi vya ukimwi..
Sa hv nimepokea msg zaidi ya kumi za dada na kaka zake kuwa kachanganyikiwa anataka kujiua

Mi sijajibu kitu coz amsure kujiua hawez ila chamoto atakiona.

Wasaalam.
Mkuu usimkomoe baby, ww mpigie simu mwambie nlikua nakudanganya sina ukimwi .ila nina ka gono tu, then mshawishi nae akapime , msameheane muendelee na mapenzi yenu..... maisha ndo hayahaya jitahd ku enjoy [emoji3] tena mwez ujao tu valentine unataka usherekee ukiwa mjane[emoji15]
 
Back
Top Bottom