Kaniambukiza, nimefanya uamuzi huu....

Kaniambukiza, nimefanya uamuzi huu....

Lesson has been learnt, ila na wewe kwanini uoneee haya afya yako , yaani ulitakiwa ushtuke pale pale ulipohisi harufu mbaya ya demu wako, maana kwa mfano ingekuwa ndio ukimwi ungefanya nini kama sip kujuta saa hii, …!

Hivyo next time unapoona dalili kama hizo stuka mzee
 
Pumbavu. Kwani ulikuwa unamkamulia mi protein kwa mkataba gani ? Kama ulikuwa wamuhitaji miaka mitatu ulishindwa nini kumbinafsisha ? Hujui kuwa kwa ku hang nae kama Malaya alikuwa naye anatafuta wa kumweka ndani ? Na akitafuta unadhani nani anataka mbuzi kwenye gunia ? Naamini kinachomtesa sio kumwacha Bali kumdanganya kuwa umekutwa HIV +
Yakupasa toba kwa hilo na mpigie mwambie ulikutwa na mafua ya chini na sio virus

Ukweli ni kuwa unaugua ugonjwa wa Mbwa na unatibiwa kwa madawa ya Mbwa.
Hufai tena kwa matumizi ya wanawake
 
Salaam....

Ni mwanamke niliyedumu nae kimahusiano kwa takribani miaka mitatu.

kiukweli sikuwahi kushuhudia wala kuskia hata kwa watu kwamba ananicheat.
Nikajipa moyo kuwa hapa nimepata na tulienda kwa mipango mingi sana ambapo mingine imetimia na mingine bado ilikua njiani kutimia.

Sasa jumatatu iliyopita kafika gheto bhana....kama kawaida ikabidi tuchujane protin bila uwoga....lakin kipindi tunachujana alikua anatoa harufu mbaya sana na kali sana kwnye marighafi yake, na ingawa ilinikera lkn sikujali...
na sikuhitaji kumuuliza mana nilihusi uwenda angejiskia vibaya na ningemkwaza....bs nikavumilia mpka mwisho wa show.

Sasa ijumaa usiku nimekaa kitandani nashangaa uume wangu unatoa vitu kama usaa tena kwa mfululizo....kwenda kukojoa nashangaa napata maumivu makali sana kwnye mrija wa kutolea mkojo....jumatatu nimeenda kucheck afya na kugunduluka nina gonorrhea a.k.a kisonono..nlidata. Sijasex na mtu yoyote kwa mda mrefu sana na mtu yeyote zaidi yake kwa mwaka mmoja na nusu hv.

Ugonjwa huu unaambukiza kwa kufanya mapenzi tu...sasa mpnz wangu kaupataje....kwa akili ndogo tu nikagundua amenicheat na si ajabu anafanya hivo tangu kitambo.

Leo mida ya saa tano nimempigia simu na kumtaarifu kuwa asinijue yani mim na yeye basi...na nimempa sababu kwamba ameniambukiza gonorrhea....ingawa nlicheck na sikukutwa HIV lakin ili kumkomoa nimemwambia pia nimekutwa na virusi vya ukimwi..
Sa hv nimepokea msg zaidi ya kumi za dada na kaka zake kuwa kachanganyikiwa anataka kujiua

Mi sijajibu kitu coz amsure kujiua hawez ila chamoto atakiona.

Wasaalam.


Chunga sana watu wa aina hiyo ndugu. Usimwamini mtu ambaye si wewe mwenyewe, Trust no one
 
Na wewe ukija kuachwa usije htmu unatulilia eti unataka kujiua, maamuzi uliyofikia ni ya kwako peke yako. Hapa haina haja hata ya kutoa ushauri maana maamuzi umeshayafanya tayari.
 
Pumbavu. Kwani ulikuwa unamkamulia mi protein kwa mkataba gani ? Kama ulikuwa wamuhitaji miaka mitatu ulishindwa nini kumbinafsisha ? Hujui kuwa kwa ku hang nae kama Malaya alikuwa naye anatafuta wa kumweka ndani ? Na akitafuta unadhani nani anataka mbuzi kwenye gunia ? Naamini kinachomtesa sio kumwacha Bali kumdanganya kuwa umekutwa HIV +
Yakupasa toba kwa hilo na mpigie mwambie ulikutwa na mafua ya chini na sio virus

Ukweli ni kuwa unaugua ugonjwa wa Mbwa na unatibiwa kwa madawa ya Mbwa.
Hufai tena kwa matumizi ya wanawake
[emoji13] [emoji13] nimecheka sana.....""et mafua ya chini""
 
Back
Top Bottom