Huyo Dada umemuonea bure tu, yaani kukutwa na Gono ndo umehitimisha kwamba alicheat?
Mkuu Gono siyo big deal kwa wanawake, wao ni carrier.
Mwanamke anaweza kukaa na gono kwa muda wa hadi miaka 12 bila kuona dalili zozote, ila mwanaume zikipita saa 24 baada ya kuambukizwa lazima uanze kuisoma namba.
Mwanaume akingonoka na mwanamke mwenye gono bila kutumia kinga, ana asilimia ishirini 20% za kupata maambukizi ya gono.Hivyo kuambukizwa gono siyo tit for tat business, unaweza kungonoka na mwanamke mwenye gono bila kinga na usipate.
Pengine huyo mwanamke alikuwa na gono tangu kabla hamjaanza kudate, na huenda mlishangonoka mara nyingi bila kupata si kwamba hakuwa nao bali ni kwamba yeye alikuwa carrier na wewe ulikuwa na asilimia ndogo za kuambukizwa.
Ndio maana watu wanashauriwa wapime afya zao kabla ya kungonoka bila kinga.
Kwa haya maelezo yako na jinsi nijuavyo, namwona huyu manzi yako akiwa innocent kwa 90%......Fanya mchakato wa masuluhisho.