juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Sijamuelewa huyu mwanamke,ni mtoto mmoja wa kisukuma kutoka huko nyegezi mwanza,nimekuwa nae kwenye mahusiano takribani miezi minne sasa,kilichonishangaza ni kwamba nimemwambia nataka nipeleke posa kwao na wanijue maana nataka nimuoe,eti nilivomtamkia maneno hayo tu ni kosa kubwa sana maana kaniambia tuachane na hajibu simu wala msg zangu,sijaelewa tatizo ni nini?Maaana hajaolewa na kiukweli nimempenda sana kuliko hata wanawake zangu niliozaa nao.