Kaniambia nisimtaje!

Kaniambia nisimtaje!

Nampenda huyo mdada... aaaaaaaahhh.. jamani sorry sio huyo!!
 
Ungekuwa umezaliwa na mwanamke usingeiweka hii picha...perhaps umejizaa!
 
hapo angesema anatafuta kijana wa kumlea, mambo ya nyumba, gari ya kutembea na misosi na poketi money juu yake. vijana wange kanyagana utafikiri wameona FFU
 
hapo angesema anatafuta kijana wa kumlea, mambo ya nyumba, gari ya kutembea na misosi na poketi money juu yake. vijana wange kanyagana utafikiri wameona FFU
hahahaa vijana wanapenda ganda la ndizi!!
 
Back
Top Bottom