Kaniambia "huna hela wewe"

Kaniambia "huna hela wewe"

patrickkkkky

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
468
Reaction score
287
wakuu natumaini wote ni wazima, mimi ndo mara ya kwanza kuanzisha uzi hapa jamvini, kuna binti''J"nilikutana nae kama mwezi umepita, kiukweli ni binti mrembo sana na ameumbika na tangu nilipomuona akili yangu imehamia kwake.
nakumbuka nlikutana nae maeneo ya posta nikiwa nimemfata rafiki yangu wa kike"S"ambaye ndo alikua nae, tulikaa kwa muda pale tukiwa wanne, mimi,yeye, na huyo rafiki wangu wa kike akiwa na mpenzi wake. muda wa kuondoka "S" alinisisitiza nimrudishe "J" nyumbani kwani wao walikua wanawahi sehemu. bila hiyana nilimpeleka mtoto mpaka kwa mikocheni na nlifanikiwa kupata mawasiliano kutoka kwake.

baada ya kama wiki hivi nlimuomba kama tunaweza kutoka dinner,baada ya pozi za hapa na pale hatimaye alikubali, tukaenda dinner na after that tukaenda mediterrenian beach, after a series of Jack daniels shots si nikapata ma confidence and we kind of kissed, after the incidence akawa kama disturbed na akaanza kunisisitiza nimrudishe nyumbani, after that day ndo nikawa simuelewi kabisa, msg sijibiwi,simu sipokelewi na akawa ananpigia tu usiku kunitakia usiku mwema.

hali imeendelea hivo hivo mpaka jana akanitumia ujumbe "leo wapi, i wanna do something crazy". basi mwanaume nikajikoki fasta nikamfata aliponielekeza, we spend alot of time that day talking and ofcourse drinking booze, ikafika muda nikimuuliza "whats that something crazy you wanted to do"? she keep on laughing akisema it is crazy than you think. nikaona hapa ngoja nijiongeze, tuliondoka hapo moja kwa moja nikampeleka hotel flani hivi n we had sex, mchakato ulikua mgumu maana alikua anazuga zuga sana like"mbona umenleta huku jamani, i dnt wana do it n blah blah.... baada ya game mwenzenu nimesifiwa sana ila kilichonleta hapa kwenu wakuu ni kwamba nlivokua namrudisha kwao njiani akawa ananambia unajua P apart from what happened hatuwezi kuwa wapenzi, nkiuliza kwanini she kept on smiling. tulivyofika kwao si ndo akanipa dry "HUNA HELA WEWE" afu akaingia ndani.

dah kiukwel nimekufa kwa huyu binti na alichonambia kinanitatiza sana, na ukizingatia siko vibaya sana at this age of 23 nina ki swift changu mwenyewe jasho langu, nimepanga chumba na sebule na vimradi vangu viwili hapa mjini. na outings tulizotoka nae nimevunja benki, sasa wakuu nifanyaje? au niendelee kupiga mzigo kikauzu tu?
kumradhi kwa uzi mrefu ila nimefanya hivi kupunguza maswali.
 
Umekutana na muuzaji, hakuna njano hutoona. Ushauri wangu mega kisela ila tumia ndomu, mko wengi hapo.

Afu S alikuset.
 
Halafu nyie vijana mnapokua mnaanzisha relationship,msipeleke starehe mbele,
unajifanya unajua outings na nini kesho kutwa ukiona pesa yako inalambwa unaanza ooh "wanawake wote wanajiuza"
ishi maisha unayoweza kuafford,chukua mwanamke wa class yako,
wewe tax unataka kubeba mzigo uzito sawa na fuso!!
 
..sasa kama huna hela, na yeye hana mapenzi ya dhati, si uangalie mbele tu..
..after all, hujatoka kapa!! Ndugu zetu hawa wamekuwa wakithamini pesa kuliko nyuchi zao, wategemea nini..!!
 
Halafu nyie vijana mnapokua mnaanzisha relationship,msipeleke starehe mbele,
unajifanya unajua outings na nini kesho kutwa ukiona pesa yako inalambwa unaanza ooh "wanawake wote wanajiuza"
ishi maisha unayoweza kuafford,chukua mwanamke wa class yako,
wewe tax unataka kubeba mzigo uzito sawa na fuso!!

mkuu tumeamua ku deal na reality tu,hapa mjini bila izi 'starehe' as you term it, hawa watoto utaishia kuwaona tu ndani ya vi tight.
 
Si utafute hela?

Huyo binti alikuwa na ukame tu akaamua aupunguze kwako...
 
mkuu tumeamua ku deal na reality tu,hapa mjini bila izi 'starehe' as you term it, hawa watoto utaishia kuwaona tu ndani ya vi tight.

At your age komaa na maisha ni kweli huwezi kuwa na hela ya kustarehesha huyo mwanamke ndio maana kakuambia wazi wewe huwezi kuwa mpenzi wa kutegemewa naye ila gemu kakupa!!!!

Jiongeze sasa!!!!
 
Umeishakula mzigo basi mpotezee kiume,na hiyo ni challenge kwako utafute hela kwa juhudi,viumbe hawa hapa town wako after money

asante mkuu kwa ushauri, kweli mjini bila pesa watoto wazuri huwezi kuwapata
 
Kwa nini usitafuta mwanamke mtafutaji,asiye na bugdha nyingi,ukajenga maisha,uje kufurahi baadae na familia yako?
mkuu tumeamua ku deal na reality tu,hapa mjini bila izi 'starehe' as you term it, hawa watoto utaishia kuwaona tu ndani ya vi tight.
 
Back
Top Bottom