The_future
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 215
- 162
Wanawake wengi ni viazi sana.
Mimi kuna demu nilikuwa nae ghafla akapotea na simu hapatikani, kaenda wapi sijui kazalishwa sasa hivi kaibuka tena eti ananipenda zaidi, nimuoe.
Hivi ni mwanaume gani ambaye hajaoa na hana mtoyo bado mnategemea ataoa mwanamke aliyezalishwa? Unaolewa na watu kama kina juma kapuya au mwanaume mwingine aliyeoa tayari au ambaye pia ana mtoto ila si ambaye hajaoa na kuzaa bado jua anapoteza muda nawe akimpata wa kuanza nae kumzalisha nakuacha.pambaneni na waliowazalisha wawaoe.