upuuuzi mtupu.
Naombeni ushauri wenu..alikuwa b.friend wangu kwa miaka 2 iliyopita kutokana na kale katabia nilikowaelezeni,siku za nyuma nikamwambia kama anataka kuoa atafute mke me bado nipo nipo..muda si mreuf akanambia amepata ataka kuoa na hivi leo wanafunga ndoa jana usiku jamaa kanipigia akanambia leo anafunga ndoa lakini hawezi kuniacha kamwe..hapa nilipo roho inaniuma sijui ni nini jamaa bado tunapendana sana na mapenzi yetu yapo pale pale kanipromise akitoka honeymoon atakuja nitembelea huku niliko kwa siku mbili
Nahisi sina amani wapendwa nipeni busara zenu

Ulimpa ushauri kaufuata sasa kinachokuuma nini?
Ushauri nilishatoa.Lizzy MAMBO!
Lizzy tafadhali msaidie huyu, kwani inaonekana ana matatizo mengi sana ya kisaikolojia. Huyu Manka ukiangalia posts zake utagundua kwamba ana matatizo makubwa sana katika mambo yahusuyo mahusiano. Hivyo, siyo mtu wa kupuuzwa wala kubezwa, kwani ana hatari kubwa sana mbeleni na ukizingatia kwamba tayari ana mtoto.
Lizzy, naomba umsaidie kimawazo huyu for the sake of her future and baby.
hawara atabakia kuwa hawara tuu
Simple,mwambie huwezi kuendelea nae aiheshimu ndoa yake kisha wewe msahau u-move on.Kabila
gan hilo tena..me sihitaj kuolewa nae cz nlishakataa nafikiria mapenz
aliyonayo kwangu in hali akiwa kwenye ndoa ndo cjui nifanyeje na cna
amani
aisee hiyo kabila wala awaelewi kama uliwaahaiiidi basi ata uoe miaa wanaaamini ipo siku utawaoa tena
Inataka moyo wa mwendawazimu kuleta matatizo binafsi kwa ajiri ya kupata ushauri JF.
Kabila gan hilo tena..me sihitaj kuolewa nae cz nlishakataa nafikiria mapenz aliyonayo kwangu in hali akiwa kwenye ndoa ndo cjui nifanyeje na cna amani