Ipo bado,ila hapa tunduma vijana huwa wanavuka boda wanaenda upande wa zambia wanapiga pombe weeeee kisha wanarudi bongo.Hii Sheria ya kipumbavu ya kuzuia watu kunywa pombe mda wowote kwani Bado ipo
Haijawahi hata kuwepo..Hii Sheria ya kipumbavu ya kuzuia watu kunywa pombe mda wowote kwani Bado ipo
Katolea wapi hayo madai ya kuzuia kulewa mchanaHaijawahi hata kuwepo..
Sasa hawaoni kama tunapoteza sana Kodi maana watu wakilewa ndo pesa ya kuwalipa mishahara inapatikanaIpo bado,ila hapa tunduma vijana huwa wanavuka boda wanaenda upande wa zambia wanapiga pombe weeeee kisha wanarudi bongo.
Wewe unaonaje?Wakuu
Chemistry ya wanawake inanishangaza sana.
Well saivi me ni jobless tu niko kitaa naunga unga maisha baada ya kuzinguana na aliyekua mwajiri wangu.
Sasa jana mtaani kwetu sikujua kama kulikua na operation ya police kukamata wazururaji na watu wanaokunywa pombe muda wa kazi.
Me kwenye saa 7 hivi mchana nikawa bar flani napiga safari lager zangu.mara nikaona raia wanatoka nduki sijakaa sawa police hao wakaniweka chini ya ulinzi tukafungwa mashati tukapakizwa kwenye cruza yao mpaka kituo cha police golani tukapewa mashtaka ya uzembe na uzururaji tukapigwa lock up.nikampigia the so called baby wangu aje anitoe au aniletee msosi akapotezea akasema nitajijua mwenyewe huko.
Basi asubuhi ya leo nikawacheck washkaji zangu flani wakaja pale wakanitoa lockup.
Mwanamke kasikia nimetoka ndani kanitumia ujumbe kuwa mimi na yeye basi hanitaki tena eti namtia aibu.
Ni sahihi wakuu?
Huyo kakamatwa kwenye kijiwe cha wavuta bangi, katumia pombe kama tafsidaHivi mbona bar mchana zinajaza na watu hawakamatwi? Au wanaangalia eneo na eneo?
Mimi mwenyewe naisapoti, mtu huna kazi unakunywa pombe saa 7 mchana? Hizo ni akili au matope?Hii Sheria ya kipumbavu ya kuzuia watu kunywa pombe mda wowote kwani Bado ipo
Mimi mwenyewe naisapoti, mtu huna kazi unakunywa pombe saa 7 mchana? Hizo ni akili au matope?
Haijalishi, maisha yanahitaji disciplineHawana kazi wanakula kwako?
Haijalishi, maisha yanahitaji discipline
Msituletee uliberali wa kimagharibi hapa , THIS IS AFRICA! Hatukuachi ufanye ushenzi eti kisa ni haki yako
Last week tumetandika viboko vijana wawili waliokua wamelewa chakari saa 5 asubuhi
Njia za kuachwa na kuachana ni nyingi pengine alikuwa anatafuta sababu Sasa kaipataWakuu
Chemistry ya wanawake inanishangaza sana.
Well saivi me ni jobless tu niko kitaa naunga unga maisha baada ya kuzinguana na aliyekua mwajiri wangu.
Sasa jana mtaani kwetu sikujua kama kulikua na operation ya police kukamata wazururaji na watu wanaokunywa pombe muda wa kazi.
Me kwenye saa 7 hivi mchana nikawa bar flani napiga safari lager zangu.mara nikaona raia wanatoka nduki sijakaa sawa police hao wakaniweka chini ya ulinzi tukafungwa mashati tukapakizwa kwenye cruza yao mpaka kituo cha police golani tukapewa mashtaka ya uzembe na uzururaji tukapigwa lock up.nikampigia the so called baby wangu aje anitoe au aniletee msosi akapotezea akasema nitajijua mwenyewe huko.
Basi asubuhi ya leo nikawacheck washkaji zangu flani wakaja pale wakanitoa lockup.
Mwanamke kasikia nimetoka ndani kanitumia ujumbe kuwa mimi na yeye basi hanitaki tena eti namtia aibu.
Ni sahihi wakuu?
Atwambie alikua wap? Either alifanya FUJO.Hivi mbona bar mchana zinajaza na watu hawakamatwi? Au wanaangalia eneo na eneo?