usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,977
- 14,103
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nalo neno
Tatizo yeye midume yake yote kapuku mimi ndo namlipia chumba na frem ya biashara nahisi kodi zimekaribia ndo maana
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nalo neno
Tatizo yeye midume yake yote kapuku mimi ndo namlipia chumba na frem ya biashara nahisi kodi zimekaribia ndo maana
Aseee, na kawimbo juu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwandikie ujumbe huu huyo demu wako.
Uliyenipa maumivu me kama nyang'au, na tena maumivu dawa ninywe vidonge,
Na marafiki mashoti ukanidharau, ukanitia uvivu stress niwe mnyonge,
Ooooh..! Uliyenipa maumivu me kama nyang'au, mmmmh..! na tena maumivu dawa ninywe ninywe vidonge,
Leo sina thamani ndiyo maana, umefuata madanga ooh ( mama)
Leo sina thamani eeenhe ndo maana,
Umewafuata madanga ooh ( mama ) hebu niache.
[emoji1] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Doooo kachezea bahati[emoji57] [emoji57]Tatizo yeye midume yake yote kapuku mimi ndo namlipia chumba na frem ya biashara nahisi kodi zimekaribia ndo maana
Kama wahindi yaani... [emoji1] [emoji23] [emoji119]Aseee, na kawimbo juu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bado unampenda sana ndo maana unashindwa .Wadau nna demu nilikuwa nae mda mrefu nikagundua ana wanaume wengi na mmoja wao walikuwa na mpango wa kuoana. Baada ya kumshutukia akaamua kuniacha ili abaki na uyo anayetaka kumuoa. Sasa uyo anayetaka kumuoa naye kamtosa baada ya kugundua yuko na mimi na wanaume wengine. Sasa huyu dem anajua mimi nampenda sana na sina pa kwenda basi kila mara ananitext kunijulia hali na mimi huwa namjibu kirafiki. Huyu mtu anashida gani na mimi? Au anataka nimrudie anivuruge tena jamani?
Rudisha majesh sasa[emoji23]Mambo ndio hayo..hata mimi ningerudisha majeshi...
[emoji23][emoji23] unajua fika nimesharudishaRudisha majesh sasa[emoji23]
Una akili kama zanguAchana naye, usijibu kabisa hizo message. Ikiwezekana delete number na badili namba ya simu!! Harafu tafuta toto zuriiii
Tozi una manenoMimi ninae rafiki kama huyo, alikuwa girl wangu tukaachana kama hivi ilivyo kutokea. Lakini tupo marafiki miaka mingi tu na tukionana nagegeda kama kawaida. Unaweza kuipenda Prado lakini kama huna uwezo wa kuimiliki panda mwendokasi bei chee. Siku ukipewa lift na mmiliki wa Prado wala usijivunge.
Mkuu ww story yako ni exactly kama yangu...nilipata text zake via whatsapp web nilipompiga chini na jamaa yake nae akampiga chini kama kesho yake...Wadau nna demu nilikuwa nae mda mrefu nikagundua ana wanaume wengi na mmoja wao walikuwa na mpango wa kuoana. Baada ya kumshutukia akaamua kuniacha ili abaki na uyo anayetaka kumuoa. Sasa uyo anayetaka kumuoa naye kamtosa baada ya kugundua yuko na mimi na wanaume wengine. Sasa huyu dem anajua mimi nampenda sana na sina pa kwenda basi kila mara ananitext kunijulia hali na mimi huwa namjibu kirafiki. Huyu mtu anashida gani na mimi? Au anataka nimrudie anivuruge tena jamani?
Kama mimi tu... huwa tukikutana na x wangu tunagegedana tukiachana kila mtu na 50 zake..Mimi ninae rafiki kama huyo, alikuwa girl wangu tukaachana kama hivi ilivyo kutokea. Lakini tupo marafiki miaka mingi tu na tukionana nagegeda kama kawaida. Unaweza kuipenda Prado lakini kama huna uwezo wa kuimiliki panda mwendokasi bei chee. Siku ukipewa lift na mmiliki wa Prado wala usijivunge.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Jibu sahihiWewe ndio huna akili ktk hao wanaume zake wote nayeye kalijua hilo
Mtu anayepaswa kufanyiwa haya yote ni mkeo wa ndoa. Wengine ni kujipa pressure na magonjwa.Tatizo yeye midume yake yote kapuku mimi ndo namlipia chumba na frem ya biashara nahisi kodi zimekaribia ndo maana
AsanteKumpenda mtu haimaanishi ni lazima uwe naye...uishi naye!
Mpende tu kwa mbali wala usimchukie...
[emoji15]kwani unashindwa kufuta namba zake na kumpatia tofali (block)...amekuona kuwa ni blinded mind aisee""" acha utomaso mkuu"" mwnaaume kuwa popoma haipendezi""
jifunze kumuacha mtu huku moyo ukiwa unauma"" huo ndio uwanaume""
Kubadili namba kwaajiri ya mapenzi ni udhaifu mkubwa sana hasa kwa mwanaumeAchana naye, usijibu kabisa hizo message. Ikiwezekana delete number na badili namba ya simu!! Harafu tafuta toto zuriiii