binti wa kirombo
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 847
- 967
Kijana pole sana....mie yamenikuta hayo.niliumia sana tena sana....ila nikaamua kumtumbua jipu tu hamna namna.....ila kikubwa nilivyoona haeleweki nikaamua kumuwekea vikwazo vya kiuchumi...........muacha pasipo mjulisha mwanaume hamwaachi binti kwa maneno magumu.ila usiwe wa kukupeleka peleka ukamrudia....Mungu atakupa mwema,mpole na mwenye mapenzi ya dhati kwako......MUACHE AENDE ATAKUKUMBUKA SANA atapotekwa na vijana wa mwendokasi
HV kama hali hiyo inakutokea kwa MTU umeshamlipia mahari; unatakiwa ufanyeje
Ndugu zangu.. nimeongea nae leo mchana. Kaniambia kosa langu ni kwa sababu nilimuuzi jana ucku wakati nilipomuuliza kwa nini hakupokea simu wala kujibu sms yangu? Eti ndio kosa... langu.
Alafu.. yeye kaniambia kuwa mimi huwa namletea stress sana. Nikijiangalia ni stress gani sizioni. sion sababu.. sioni chanzo ya mimi kumletea stress...
Nimekuwa nikimsaidia sana.. kwenye shughuli zake.. mpaka ndugu zake wanashangaa..
mapenz yangu.. misaada yangu leo inaitwa stress...?
Huyu si alikuwa ananitafutia tu sababu ya kuniacha?
Hapo Madame B na Evelyn Salt wamekuelewa.Huyo ni mchizi star wa reggae dancehall Jamaica anaitwa Tiger Man, alikuwa anasema hataki mapenzi ya kitoto "No Puppy Love".
Kuna wakati inabidi kuachana na mapenzi ya kitoto, kutafuta mapenzi ya kikubwa.
Kama hujamuoa ila umelipa mahari unaweza kwenda kuichukua ikiwa umeona huwezi kuishi na mtoto wao.kwani mahari kitu gani. Kwani wewe hujawahi kupoteza pesa au kupata hasara kwenye biashara zako?Basi mahari ichukulie kama hasara na maisha yaendelee.
Pesa bila mapenzi hazina maana![emoji17]acha ujinga tafuta pesa