Kaniacha bila sababu, moyo unaniuma

Tafuta ela mdogo wangu hayo mengine yatakuja yenyewe automatically ,utapendwa mpaka ukijamba akuulize baby umeumia,pole honey!! Ela Tafuta ela baba
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] akikutana na vijana wa mwendo kasi!!
 
Unamuambia humtaki; au unafanyaje kuvunja uchumba na mahari yako inakuwaje; na kwao unawaelezaje
 
Hakuna anayemuacha mtu bila sababu.
 
stori yako nzuri hembu niambie kwa week ulikua unampa shilingi ngapi?
 
huko ndio kukua, na huo ndio ukomavu.
kwa umri wa mwenza wako, nachelea kusema kwamba huyo bado ni msichana.
alafu nimeshangaa uhawara wenu hadi mama wa binti anafaham...[emoji15] anyway......
piga chini huyo na kisha anza kivingine, atakuja kuku kumbuka wakati tayari akiwa amesha kua chuma chakavu
 
Unavunjaje uchumba; kwao unawaelezaje; mahari vp
Mahari ni material things mkuu umepoteza vingapi till now kwao c tatizo u will revial the fact kwamba no marriage at all
 
Sasa unataka ushauri gani?tuwekee namba yake tukuulizie kwanini kakuacha...maana alishakuambia hakutaki..basi sepa tafuta wa size yako....
 
Unavunjaje uchumba; kwao unawaelezaje; mahari vp
Wewe unaoa wazazi wake au unamuoa yeye? Mwanamke akishasema hakupendi jua anamaanisha. Habari ya uchumba au kuogopa kwao utawaambiaje itagharimu maisha yako na utajuta kuoa. Kosea sehemu zingine lakini usikosee kuoa utajuta.
 
Duuh ukweli kabisa....ana jikaka huko kalizimikia ila halimpendi, mapenzi ptuuuuu!
 
Njoo Pm Nikufunze Kubet. Maana Stress Unazitaka Mwenyewe,Piga Chini. Bora Uwe Na Stress Za Kubet Mechi Inapoendelea Timu Ukiipa Ishinde Ikishinda Unakula Hela Kuliko Kupoteza Muda Na Kujipa Stress Kwa Kibushuti Kama Icho Hakikupi Hata Shintano!
 
Msikilize Daddy Tiger kwanza, kama hujamuelewa niulize.

 
Wewe mpotezee tu, hata ukiendelea kuwa naye jifanye huna njaa naye kivile utaona. Kwenye maelezo yako ya kwanza ulitumia mbinu hiyo bila kujijua na baada ya wiki ukasema akajirudi. Mtu yeyote yule ukimuonesha kwamba una shida naye sana ataanza kukuletea dharau.
 
Aisee hivi wanaume wa aina ya

Aisee !!! wanaume waaina yako huwa mnakuwa mmejificha wapi jamani?? eeh ..uwii i wish GOD angenishushia mwanaume kama wew ..anyway pole ..tumeyapitia hayo sasa tunavumilia na tumesahau maisha yanaenda tunasaka hela..tafuta pesa kwanza kaka yangu utapata wa ubavu wako muda ukifika ..utasahau maumivu yote ..fanya maombi na umwombe Mungu akupe wa kufanana na wew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…