Kaniacha baada ya kukosa kazi

Kaniacha baada ya kukosa kazi

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,078
Reaction score
1,227
Dah! Kama utani hivi, jana kani-text "Vipi kuhusu interview uliyoenda kufanya?" nikamjibu "hapana sikufanikiwa", akanitakia usiku mwema wakati si kawaida yake.

Asubuhi kanichunia, nikamtafuta kajibu text moja tu na kunipotezea. Sasa hapokei simu wala hajibu text naona ndio nishaachwa mimi

Dah! Umasiki huu noma sana.

Crying-Blackman-3.jpg
 
Jamii yetu inakuza kizazi cha ajabu sana cha watoto wa kike wanaojengwa na fikra kuwa mwanaume si wa kusaidiwa bali yeye anatakiwa kusaidia tu.

Na pia zinawajenga watoto wa kike kuwa mwanaume asie na mali si wa kuwa nae. Na wasijethubutu kutafuta na mwanamke hata kidogo.
 
Kuwa na kazi, pesa amini usiamini kumefanya watu kuoana na kukosekana kwa hivyo wengi wameachana!
Kuna mtu anamuoa msichan flan kisha anakazi au anatokea familia bota lkn pia kuna wanawake wanaolewa kisa mwanaume flan ana kazi au pesa.

UMASIKINI MBAYA SANA!
 
kanipa hasira sana maana ntapambana sana kwakweli nimeumia
 
Pambana siku moja aje anatembea kwa magoti...

Chukulia positive kuachwa ingiza wazo akilini kuwa yeye ndo alikuwa chanzo cha wewe kukosa hivyo simama kama wewe pambana...

Think positive blood
 
kwakweli alichofanya ni kuniongezea mwendo wa kupambana
Pambana siku moja aje anatembea kwa magoti...

Chukulia positive kuachwa ingiza wazo akilini kuwa yeye ndo alikuwa chanzo cha wewe kukosa hivyo simama kama wewe pambana...

Think positive blood
 
Kudate mwanaume asie na kazi ni wito, wanajistukia tu bila sababu za msingi.
 
Wipe your tears.

Let that teach you that she did not truly love you.

And let it inspire you to get up, brush off the dirt and keep moving by forward in life.

Karucee. Michango yako nailewa sana natumaini atakuwa kakuelewa na yeye...
 
Back
Top Bottom